Mambo ambayo Babu zetu walitusihi tuyafuate kwenye mahusiano lakini tuliyapuuza sasa tunaonja joto la Jiwe

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe.

1. OA BIKRA
Hii ilikuwa moja ya hoja kuu Kwa kijana anayeenda kuoa. Mimi kama Taikon ninawaelewa wazee na nina sababu ya kufanya hivyo. Ingawaje inaweza kuwa ni Mtazamo wa kizamani lakini Kwa wanaouzingatia wengi wao wanapata matokeo chanya.

2. OA Kabila lako au mnaolingana Mila na desturi. Achana na hawa Watoto wasiojua maana ya kabila, sijui Mila na desturi, hawa waliozaliwa mjini. Hao hawawezi kuwa kitu kinachoitwa ukabila.

Mahusiano hayajawahi kuwasumbua Watu wanaofuata mambo ya Mila na desturi za makabila Yao. Mapenzi yanayosumbua Wenye kuiga Mila za kigeni, wasomi na wadandia Mambo kama dini za kigeni.

3. Mwanaume ni kichwa cha Nyumba.
Kichwa kina ubongo, macho, masikio, mdomo. Mwanaume lazima uwe mwanaume, ukisema umesema, ukisimamia Jambo umesimamia, mchakarikaji, unayejituma kwaajili ya familia na jamii yako.

Hakuna usawa baina ya Mwanamke na Mwanaume. Mwanaume hapswi kufuata matakwa ya MKE au Mwanamke. Wote wanaofuata Kanuni hiyo mahusiano hayawezi kuwasumbua. Hata hivyo mwanaume kama kichwa cha Nyumba hapaswi kuwa muonevu na kutowatendea Haki Watu wa nyumba yake.

4. Mwanaume Halii
Mwanaume kujilizaliza, kutia Tia huruma, sijui. Kupiga magoti au kuwa chawa na mpambe mpambe kijingajinga Huko ni kujiingiza kwenye ushoga. Hakuna Mwanamke anayempenda mwanaume lainilaini, mliaji liaji, dekaji dekaji, hakuna.
Mahusiano lazima yakusumbue tuu!
Umetongoza Mwanamke kakukatalia Achana naye, usibembeleze na kujiliza Liza kama lipuuzi, usije ukadhani kujiliza ndio kutaugeuza moyo WA Mwanamke, zaidi Sana atakudharau.

Umepata matatizo kidogo unalia, sasa unalia nini kama mtoto, sasa Baba mzima unalia Mkeo na watoto wafanye nini. Mwanaume lazima uwe ngangari.

Hawa Wanawake wapo hivi walivyo Kwa sababu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama Wanawake.

Wanawake wanapenda Wanaume washoka, wahuni, wenye Roho ngumu, wasioogopa, wenye Akili, wenye maamuzi.

Nipumzike Sasa.

Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
gru-despicable-me-3-2017 (3).jpg
 
Bikra fata primary ufungwe 30

😀😀😀

Mabinti wengi hutoa Bikra zao wakiwa wanaingia kidato cha tano na wanaoingia chuo kikuu. Nazungumzia Wadada wasomi.
Tatizo wanakutana na wanaume washenzi, wanawadanganya.

Hivyo kama kuna kijana anatafuta Mwanamke wa kuoo aliyebikra basi nitamshauri asubiri wanaomaliza kidato cha nne, kisha akipata waanzishe Courtship Kwa miaka miwili mitatu mtoto atakuwa ameshafika chuo, Aoe. Simple
 
Nakubali shama langu nakubali. tumeteleza Robert Heriel Mtibeli sijui nani atatuokoa mungu wangu. Age Ina songa wazee wanapiga kelele si mikoani si dar es salaam kote kumeoza. Hakuna familia hata Moja yenye binti WA kufaa KUWA MKE wamejaa wadangaji na maisha ya kuigiza tu

Sio mabinti sio vijana.
Watu wamekataa Mila na desturi unafikiri watapata matokeo gani?
Watu hawataki kutambulika Kwa asili zao ati wanasiasa wamewaambia ni ukabila, unafikiri nini kitatokea Mkuu?

Mkataa kwao mtumwa. Ingawaje wengi hawatakubali lakini amini amini nakuambia hakuna Watu wanaofuata Mila na desturi wanaosumbuliwa na mambo ya Ndoa sijui mahusiano, sijui nguvu za kiume n.k.
 
Mimi nimetoa bikra akiwa na miaka 20 nimekaa uchumba mwaka 1, yule mwanamke alibadilika sana ,baada ya kuona namjali na kumuweka kipaumbele..

Wanawake bikra wa sasa ivi siyo sawa na wale wa zamani... wa sasa ivi bikra ikitoka tu unakuwa umeshamfungulia njia ya kudanga ,na sababu kubwa ni utandawazi.
 
Kwema Wakuu!

Nashukuru Kwa sababu mpaka sasa Nina mialiko mitatu ya Idi, nawashukuru wote mlionialika. Nirejee kwenye mada.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Hii ni orodha ya mambo tuliokatazwa na kusisitizwa na Wazee wetu linapokuja suala la mahusiano ya ndoa, sasa Vijana wanapiga mayowe.

1. OA BIKRA
Hii ilikuwa moja ya hoja kuu Kwa kijana anayeenda kuoa. Mimi kama Taikon ninawaelewa wazee na nina sababu ya kufanya hivyo. Ingawaje inaweza kuwa ni Mtazamo wa kizamani lakini Kwa wanaouzingatia wengi wao wanapata matokeo chanya.

2. OA Kabila lako au mnaolingana Mila na desturi. Achana na hawa Watoto wasiojua maana ya kabila, sijui Mila na desturi, hawa waliozaliwa mjini. Hao hawawezi kuwa kitu kinachoitwa ukabila.

Mahusiano hayajawahi kuwasumbua Watu wanaofuata mambo ya Mila na desturi za makabila Yao. Mapenzi yanayosumbua Wenye kuiga Mila za kigeni, wasomi na wadandia Mambo kama dini za kigeni.

3. Mwanaume ni kichwa cha Nyumba.
Kichwa kina ubongo, macho, masikio, mdomo. Mwanaume lazima uwe mwanaume, ukisema umesema, ukisimamia Jambo umesimamia, mchakarikaji, unayejituma kwaajili ya familia na jamii yako.

Hakuna usawa baina ya Mwanamke na Mwanaume. Mwanaume hapswi kufuata matakwa ya MKE au Mwanamke. Wote wanaofuata Kanuni hiyo mahusiano hayawezi kuwasumbua. Hata hivyo mwanaume kama kichwa cha Nyumba hapaswi kuwa muonevu na kutowatendea Haki Watu wa nyumba yake.

4. Mwanaume Halii
Mwanaume kujilizaliza, kutia Tia huruma, sijui. Kupiga magoti au kuwa chawa na mpambe mpambe kijingajinga Huko ni kujiingiza kwenye ushoga. Hakuna Mwanamke anayempenda mwanaume lainilaini, mliaji liaji, dekaji dekaji, hakuna.
Mahusiano lazima yakusumbue tuu!
Umetongoza Mwanamke kakukatalia Achana naye, usibembeleze na kujiliza Liza kama lipuuzi, usije ukadhani kujiliza ndio kutaugeuza moyo WA Mwanamke, zaidi Sana atakudharau.

Umepata matatizo kidogo unalia, sasa unalia nini kama mtoto, sasa Baba mzima unalia Mkeo na watoto wafanye nini. Mwanaume lazima uwe ngangari.

Hawa Wanawake wapo hivi walivyo Kwa sababu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama Wanawake.

Wanawake wanapenda Wanaume washoka, wahuni, wenye Roho ngumu, wasioogopa, wenye Akili, wenye maamuzi.

Nipumzike Sasa.

Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Siri je?
 
😀😀😀

Mabinti wengi hutoa Bikra zao wakiwa wanaingia kidato cha tano na wanaoingia chuo kikuu. Nazungumzia Wadada wasomi.
Tatizo wanakutana na wanaume washenzi, wanawadanganya.

Hivyo kama kuna kijana anatafuta Mwanamke wa kuoo aliyebikra basi nitamshauri asubiri wanaomaliza kidato cha nne, kisha akipata waanzishe Courtship Kwa miaka miwili mitatu mtoto atakuwa ameshafika chuo, Aoe. Simple
weeee msichana akifika darasa la sita anakuwa ashachanwa tayari
 
Mimi nimetoa bikra akiwa na miaka 20 nimekaa uchumba mwaka 1, yule mwanamke alibadilika sana ,baada ya kuona namjali na kumuweka kipaumbele..

Wanawake bikra wa sasa ivi siyo sawa na wale wa zamani... wa sasa ivi bikra ikitoka tu unakuwa umeshamfungulia njia ya kudanga ,na sababu kubwa ni utandawazi.

Kumtoa Mwanamke Bikra sio Guarantee, Guarantee ni kusimama katika nafasi yako kama Mwanaume.

Lazima uwe zile sampo za mwanaume ambaye wanamke wanamtafuta, na wakimpata wanamganda, na kama ikitokea mkiachana Mwanamke akiri kabisa kuwa amepoteza mwanaume wa kipekee ambaye kumpata haiwezekani.

Wee unamtoa mtoto wawatu Bikra alafu bado hautekelezeki majukumu ya kiume unategemea nini?
Mwanaume ni mchezaji anayecheza Full time, dakika 90
 
Back
Top Bottom