Wanawake wengi wanatamani kuwa kwenye mahusiano na wanaume weusi lakini wanataka wapate watoto weupe!

Elon J

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
630
1,846
Kweli Hawa viumbe wa kuishi nao kwa akili.

Katika kupiga story na mabinti kama watatu hvi kuhusu mambo ya relationship kila mmoja akasema anatamani kuwa ktk mahusiano na mwanaume mweusi japokuwa anatamani kupata mtoto awe mweupe.

Sasa ukiangalia Binti anayekwambia hivo yeye mwenyew ni mweusi pia anamani awe na mwanaume mweusi ila anatamani mtoto mweupe hii imekaaje🤔😂
 
Kweli Hawa viumbe wa kuishi nao Kwa akili!

Katika kupiga story na mabinti kama watatu hvi kuhusu mambo ya relationship kila mmoja akasema anatamani kuwa ktk mahusiano na mwanaume mweusi japokuwa anatamani kupata mtoto awe mweupe.

Sasa ukiangalia Binti anayekwambia hivo yeye mwenyew ni mweusi pia anamani awe na mwanaume mweusi ila anatamani mtoto mweupe hii imekaaje
Yawezekana wakarithi weupe wa mababu zao wa enzi hizo. Mambo ya Genetics ni konki
 
Back
Top Bottom