Mama yake Zitto avamiwa

Kina Wassira na Nchemba walishasema kuwa watahakikisha CHADEMA "inakufa" kabla ya 2015!!....Je,inawezekana mkakati wa kuua ndo uko katika action kwa kutengeneza matukio kama haya na kuyahusisha na CDM?.......Likely,japo pia hili la Mama ZITTO linaweza kuwa ni tukio la kijambazi na kihalifu la kawaida km mengine!!

Lakini,matukio kama haya yanapotokea kabla hata ya uchunguzi kufanyika.....moja kwa moja yanahusishwa na chadema,tunashawishika kuamini kuwa CCM wanatekeleza kauli yao kwa vitendo kwa kutumia baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya watumishi wa vyombo vya usalama wasio waaminifu na walioamua kumtumikia kafiri!!!.....THE BIG QUESTION IS.....,WILL THEIR EVIL PLAN SUCCEED??
 
Wenye akili hapa hawapati shida. Kama kuna kada wa CHADEMA alionekana, uwezekano mkubwa huyo ni kada wa CCM ambaye kituo chake cha kazi ni ndani ya CHADEMA, ni Ludovick mwingine. CCM watahangaika sana lakini kila wanachofanya, wananchi wanajua.
una akili sawa sawa wewe???mbona unataka kupotosha mada na ukweli??? mama yake zitto amemtambua kada wa chadema. hata hivyo tuwe tunasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.
 
haya ni maelezo ya mama zito:siku kazaa kabla ya tukio kunamtu alinipigia simu na alijitambulisha kuwa yeye ni mwanachama wa chadema tawi la tabata relini na kuniomba msaada wa mifuko miwili ya saruji kwa ajiri ya kukalabati jengo la ofisi yao.nilikubali kuwasaidia bila kuwa na fikra kwamba ni watu wabaya hivyo walikuja nyumbani na nikawakalibisha ndani na kuwaeleza kuwa nitawapatia 20000 na wao waongeze 10000,niliposimama kuelekea chumbani kuwachukulia kiasi hicho cha fedha mmoja wao alitoa bastola na kunielekezea kichwani huku akieleza kuwa hawana shida na pesa bali wanatka laptop,flash na simu yangu kwa sababu zinamambo muhimu.
Na movie inaendelea.....Napita tu
 
Jasusi la Magaidi at work(Maranda ya mbao).Dhambi itawatafuna mpaka vijukuu vyenu
 
single nyingine hiyo, toeni zote mkimaliza mje na kitabu kingine, hii mada tegemea kuwaona, mtu kama bungeni, taswira, ze marcopolo and lumumba company wakitoa comments nyingi kuongeza pato lao.
 
Wenye akili hapa hawapati shida. Kama kuna kada wa CHADEMA alionekana, uwezekano mkubwa huyo ni kada wa CCM ambaye kituo chake cha kazi ni ndani ya CHADEMA, ni Ludovick mwingine. CCM watahangaika sana lakini kila wanachofanya, wananchi wanajua. Kila mbinu wanayopanga, badala ya kuwasaidia ndiyo inazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi yao.
Vipi yule kijana ameshidwa kwa Sumu ameamua kutumia Silaha? au alikua anatishia tu.
 
Ben Saanane habari za kazi?Zoezi linaendeleaje?Naomba tukutane Manyanya Kinondoni pale kwa Juma.
Pole mama Zitto.Wanakusaka wewe pamoja na familia yako.
 
Siku hizi kila kitu chadema,kibaka kaiba chadema,jambazi lateka bajaji chadema..tausi wa ikulu waugua mafua ya ndege,chadema..nimeamini nyota ya chadema inang'aa.
 
mama zito alifafanua zaidi:aliwauliza kwa nini wanataka laptop,cm na flash yake? walimweleza kuwa anajua sababu na hata siri yake yake ya kutumia nafasi yake ya mwenyekiti wa chama cha walemavu kuzunguka nchi nzima akimnadi zito kwa wanachadema kuwa anafaa kuwa mwenyekiti wa chama cha chadema na rais wa tanzania inafahamika,alisema kuwa anaweza kuwatambua watu hao akiwaona na kwamba mmoja wao si mgeni machoni kwa sababu aliwahi kumuona mkoani tanga kwenye shughuri za chama hicho,aliongeza kuwa amekuwa akiulizwa na wanachama wa cdm kuwa anapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kumnadi zito.sasa ndugu zangu wanajf haya mambo gani siasa gani hizi hawa wanasiasa wanatupeleka wapi? wito wangu kwa vijana hawa wanasiasa watawatumia na kuwaacha bila hata msaada take care.
 
Kwa taarifa zilizopatikana leo kwamba mama yake zito ametishiwa kutekwa hili ni jaribio la wazi la kumtisha kiongozi shupavu aogope kwa yale anayoyasimamia asirudi nyuma tupo pamoja naye afahamu mti wa miba hautupiwi mawe ila viceversa, wewe ni mwanaharakati daima hamna wa kukuzuia .mungu akulinde mpaka 2015 a very important year for taking our country from ccm. Aluta continua
 
Leo kuna habari nzito katika vyombo vya habari kuhusu mama yake Zitto kuvamia nyumbani kwake na watu inaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Hili lina utata mkubwa sana ikizingatiwa kuwa Zitto amekiea akiandamwa sana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA

Ikumbukwe kuwa Deus Msaki ambaye ni mtu wa Karibu sana na Zitto alipangwa kutekwa na CHADEMA, huenda huu ni muendelezo wa mipango michafu inayofanya ndani ya chama chake ili kumhujumu

Ombi langu kwa vyombo vya usalama vifuatilie suala hili kwa umakini mkubwa sana, kwani huenda tukashuhudia movie nyingine hapa

Nawasilisha
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.

Ben Saanane.
 
sasa hivi majambazi yameanza kutambuliwa kwa itikadi ya kisiasa,eti jambazi la chedema/kada wa chadema,itafuata kutambuliwa kwa kanda,na baadae kuanza jambazi la kikristo au kiislamu


Hapo penye red ndio msingi mkuu wa hii movie...lakini wao wanaamini kuwa waTz hawataiona kwani hawana akili kama zao
 
Leo kuna habari nzito katika vyombo vya habari kuhusu mama yake Zitto kuvamia nyumbani kwake na watu inaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Hili lina utata mkubwa sana ikizingatiwa kuwa Zitto amekiea akiandamwa sana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA

Ikumbukwe kuwa Deus Msaki ambaye ni mtu wa Karibu sana na Zitto alipangwa kutekwa na CHADEMA, huenda huu ni muendelezo wa mipango michafu inayofanya ndani ya chama chake ili kumhujumu

Ombi langu kwa vyombo vya usalama vifuatilie suala hili kwa umakini mkubwa sana, kwani huenda tukashuhudia movie nyingine hapa

Nawasilisha

Msiwe mnakurupuka kuandika mambo hauna uhakika nayo. Si kwamba kwa vile unajua kukaa mbele ya computer na kuandika basi ndio uandike ----- humu jamvini.

Ungekuwa umemsoma na kumsikiliza Mh. Zitto alivyo sema kuhusu hili, usinge kuja na hoja mfu ndani ya jamvi hili.

Hivi hapo ulipo una ushahidi kwamba Mh. Zitto anasemwa vibaya na viongozi wenzake au unashabikia hisia za watu wengine ambao hata hawajui ndani ya viongozi wa CHADEMA mshikamano ukoje?

Ingekuwa busara kwako kabla ya kulishwa maneno, uyatafakari kwanza.
 
Honourable zito kabwe is areal politician and now is passing thru a difficult period, just by examples 1, some people call him a traitor i feel bad for him 4 what has done he end with label like this 2, he decided to withdrawal his bid 4 presidence 2015 after a wide condemnation by some people 3.his mother now under danger,4, some people wanted to give him poisons , this proves that honourable zito is a real politician after a lot of propoganda against him he is still strong i hope god will b with u simply u are fighting for rights and equity be4 constitution
 
Back
Top Bottom