Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
we katavi umekuwa kipindi gani mama tery maarufu sana haswa ka vijana wa 2000's hadi kwenye nyimbo wamemuimba.(john walker) alikuwa anaelimisha jamii kuhusu masuala ya afya ya jamii hususan ukimi na magonjwa yanayoambukiza japo hadi leo sjafahamu ana elimu kiasi gani katika masuala ya afya ya jamii ila alikuwa kipindii hicho radio one docta kila jumatatu pale radio one sterio jamii ila al
Katavi enzi hizo labda alikuwa katika umri wa akigusa radio anakatazwa anaambiwa "acha utahharibu", unajua enzi zile ilikuwa ni rahisi kumfahamu mama Terry kwa kuwa radio station zilikuwa na vipindi vingi vya kusikiliza tofauti na sasa watu hawasikilizi sana radio (wapo specific na vipindi vichache kutokana na radio nyingi kufanya kazi ya kupiga muziki tu kipindi kirefu kwa kuwa kigezo cha ajira ya utangazaji wa radio nadhani lazima uwe DJ)