Mama Salma Kikwete's Facebook and Twitter accounts hacked?

Mods hii haijakaa vizuri. Kuna mtu sijui amehack accounts ya Mama Salima Kikwete Facebook na Twitter halafu anapost links za threads za JF zizomkandia Rais (mume wake) na zile zinazoifagilia Chadema. Mods needs to inform Ikulu mawasiliano.
 
Accounts za Mama Salma Kikwete Facebook na Twitter zinapost mambo ya kuifagilia Chadema tuu kwa sasa. Inaonekena kama zimekuwa hacked. Wenye access nae wamtaarifu. This is not good.

Account ya Facebook: Mama Salma Kikwete - Wall | Facebook
Account ya Twitter: https://twitter.com/#!/salmakikwete
Ni kweli mimi pia nimezichungulia inaonyesha kuna mtu amei Hacker hiyo Account ya Facebook ya Mama salma Kikwete au kuna mtu anajifanya yeye ni mama Salma kikwete ili kumuharibia mkuu wa Nchi jina lake itabidi Wahusika walifuatilie hilo suala ikiwezekana wamtaarifu Facebook founder aizuie hiyo Account nawasilisha mimi hivyo.
 
Mkuu ni noma. Naona watu kule fesibuku watu wana-comment tuu kwenye hizo links toka JF. Kweli inaonyesha kabosa Watanzania hatuzomi into details.
 
Mmekazana kuna mtu amehack amehack kwani yeye mama Salma hawezi kuisifu CHADEMA?

Hapana Mkuu. This is not her unless something extraordinary happened in the last few minutes. Hata ile thread ya "SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!" nae kapost kule? Hii nayo inasifu Chadema? Mbaya ni kwamba jamaa anakopi links za humu JF na kupost kwenye account. Huyo mtu ataishia kukopi mpaka thread za jukwaa la wakubwa na kuwe kwenye account yake. Noma for JF.
 
Si pia walitengeneza account ya twitter ya Salva Rweyemamu na kupost utumbo mtupu?

Huko ikulu kitengo cha IT sijui kinaumwa maradhi gani

Halafu how come anatumia password moja kwenye accounts zote mbili?
 
Mmekazana kuna mtu amehack amehack kwani yeye mama Salma hawezi kuisifu CHADEMA?
Mama Salma kikwete iweje akisifu Chadema wakati mume wake ni kiongozi wa chama kingine? iweje wewe Mvua ikikunyeshea waweza kuisifu Mvua ya leo jamani ni nzuri? iweje wewe ukawa Mpenzi wa klabu ya Simba wakati Mke wako mpenzi wa Yanga? Je siku timu yako ya Simba ikiifunga timu ya Mke wako Yanga je usiku wake atakupa mke wako unyumba?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwanza Michelle Obama ndo S.I.Unit ya ubora wa malezi?

Pili, hapa hatuzungumzii watoto wa Salma Kikwete, tunazungumzia account ya Salma, Michelle nae hana?

Gaijin roughly kwa siku huwa unauliza maswali mangapi hapa JF? LOL
 
Hapana Mkuu. This is not her unless something extraordinary happened in the last few minutes. Hata ile thread ya "SAFARI za rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!" nae kapost kule? Hii nayo inasifu Chadema? Mbaya ni kwamba jamaa anakopi links za humu JF na kupost kwenye account. Huyo mtu ataishia kukopi mpaka thread za jukwaa la wakubwa na kuwe kwenye account yake. Noma for JF.

Ngoja tusubiri Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu itoe tamko ndo tutajua ni yeye au sio yeye vinginevyo mi naamini ni yeye mama Salma au unafikiri yeye hajui kutumia mtandao?
 
Mkuu mimi nina hisi kuna Mtu kwenye hii J.f. amei hacker hiyo Account ya Mama Salma kikwete sio kitu mchezo hicho watu wengine wanaleta mambo ya Ligi na ubishi wa klabu za simb ana Yanga humu ndani.
 
Mods hii haijakaa vizuri. Kuna mtu sijui amehack accounts ya Mama Salima Kikwete Facebook na Twitter halafu anapost links za threads za JF zizomkandia Rais (mume wake) na zile zinazoifagilia Chadema. Mods needs to inform Ikulu mawasiliano.

we mwenyewe na avata yako nimekuona umepost huko kwenye FB ya huyu mama
 
... Noma for JF.
Kama hizo accounts zote zipo open to the public na hata mada za hapa JF nyingi ni open to the public, ni vipi JF inaweza kuwa held responsible? (Kwa nini unadhani ni 'noma for JF'?).
 
Ngoja tusubiri Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu itoe tamko ndo tutajua ni yeye au sio yeye vinginevyo mi naamini ni yeye mama Salma au unafikiri yeye hajui kutumia mtandao?

Issue sio kama yeye anajua au hajui kutumia keyboard. Issue ni kuwa accounts zake mbili zimekuwa hacked. Yaani yeye kweli anapost hii? President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook. Wataalam wa hili jukwaa will tell you that her accounts have been hacked. Hata kama ni yeye lakini Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ikitoa tamko kuwa siye yeye utawaamini?
 
Back
Top Bottom