Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,484
30,162
Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.

Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!

Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?

Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?

Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?

Hebu nimuulize tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?

Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?

Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?

Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?

Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!

Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
 
Hakika kabisa alieshiba hamjui mwenye njaa!

Hivi Katika dimbwi hili la umaskini linalotukabili mamilioni ya watanzania, hivi mwakikishi wetu Bungeni, ndiyo atoe mawazo yake binafsi ya kuomba Bunge lifikirie wake wa ma-Rais wastaafu, wake wa ma-Waziri wastaafu nao walipwe pension?
Kwani mkuu hukumbuki kwamba wabunge hawa hawa waliwahi kuomba kuongezewa posho kwa madai kwamba hela wanazolipwa sasa hazitoshi?
 
Hivi huyo mama Salma, badala ya kuwaongelea wazee wastaafu wanaosotea mafao yao kwa miezi kadhaa, Hadi wengine umauti unawakuta kwa kufuatilia mafao yao, ndiyo yeye anaongelea kutaka walipwe pension, wake wa ma-Rais wastaafu??

Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni!
 
Hawa ndio wanyonya damu, mama uhuru umezidi sana hivi angekuwepo mwenda zake angethubutu kusema haya maneno katukosea sana watanzania
Hivi huyu mama ni kwanini hatosheki?

Mume wake amekuwa Rais kwa vipindi viwili.

Hivi sasa yeye na mwanawe Ridhiwani wanakinga shilingi zaidi ya milioni 12, kwa kila mmoja kwa kuwa waheshimiwa wabunge.

Mzee Kikwete naye anakinga 80% ya mshahara aliokuwa anapata kama Rais.

Familia ya aina hiyo bado tu anataka na mafao ya pension ya mke wa Rais mstaafu?

Hakika Hawa viongozi wa CCM ni wanyonya damu za watanzania!
 
Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.

Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!

Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?

Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?

Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?

Hebu nimuuluze tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?

Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?

Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?

Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?

Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!

Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
Nchi hii ni kama ina laana!!
Huyu anawakilisha upeo na mawazo wa mumewe! Wote wanaakili ndogo na wanajijali wao tu, ndio maana JK, mwanae na marafiki zake wanajulikana kwa sifa ya wapiga dili huo ni ubinafsi wa kiwango cha laana!

Nchi hii wazee wetu mjini navijijini wanaishi maisha magumu wengine hawana msaada wowote maana hawakuwahi kuajiriwa, walipokuwa vijana walikuwa wanalima...sasa hivi hawana nguvu tena, lkn wanatakiwa kula, kuvaa, kupata matibabu, kuishi kwenye nyumba n.k...

Haya mambo ndio ya kuyaongelea Salma, wewe tayari umeshiba unataka ule nini cha zaidi?
 
Hivi huyu mama ni kwanini hatosheki?

Mume wake amekuwa Rais kwa vipindi viwili.

Hivi sasa yeye na mwanawe Ridhiwani ni wabunge, bado tu anataka na mafao ya pension ya mke wa Rais mstaafu?

Hakika Hawa viongozi wa CCM ni wanyonya damu za watu!
Hawana aibu tu, hata huo ubunge alitakiwa kuuachia, familia ya wapiga dili
 
Nilichomwelewa ni kwamba anadai kabla ya waume zao kuwa viongozi wakuu (rais, vice & waziri mkuu) walikuwa na ajira zao. Baada ya waume zao kupata nyazifa za juu, walilazimika kuacha kazi zao na kufanya majukumu kama wake wa viongozi wakuu.

Sasa point yake ni haki ya mafao yao ya kazi walizokuwa wanafanya mwanzo ndo wanazitaka😎😎😎
 
Unataka kuniambia kuwa yeye mama Salma, hakupewa mafao yake ya kuacha Kazi yake ya ualimu baada ya mumewe kuwa Rais wa nchi?

Usipende kutetea Hawa viongozi wa CCM, wanyonya damu za watanzania masikini, ambao kwao, matumbo yao ndiyo wanayoyapa kipaumbele.
 
Watanzania wengi tunatabia ya kukurupuka na hata kudandia mada bila kujipa muda wa kuona au kusikiliza kitu husika.

Mbona madai ya Mama Salma yako sahihi??

Amesema pension zao za kazi ambazo walikuwa wanafanya kama watumishi wa Umma wapatiwe, akaenda mbali kwa kutolea mfano yy alikuwa mwalimu akisema mara baada ya mumewe kuwa Rais aliachishwa ile kazi lkn hakupata stahiki zake kama ilivyotakiwa kwa mtumishi wa Umma pindi anapostaafu.

Kwanini sisi watanzania ni wajinga wa kudandia vitu na kuanza kulaumu bila kuelewa kitu chenyewe??
 
Unataka kuniambia kuwa yeye mama Salma, hakupewa mafao yake ya kuacha Kazi yake ya ualimu baada ya mumewe kuwa Rais wa nchi?

Usipende kutetea Hawa viongozi wa CCM ambao kwao, matumbo yao ndiyo wanayoyapa kipaumbele.
We ni fala, nenda kamsikilize utaelewa, sio unaanzisha uzi kijinga kiasi hiki wakati hujamsikiliza, amesema wazi hawapewi hayo mafao pale wanapoachishwa kazi zao ambazo walikuwa wanafanya.
 
Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.

Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!

Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje watanzania?

Hivi Katika kipindi kama hiki, ambacho Taifa linapitia Katika kipindi kigumu mno cha uchumi, kwa kupanda bei kwa kila kitu, kutokana na kupanda Sana kwa bei za mafuta, wakati kipato cha mtanzania hakijaongezeka, hivi ni wakati sahihi wa kutumbukiza maoni binafsi ya kuomba kulipwa pension kwa ajili tu ya kuwa ni mke wa Rais mstaafu?

Hata hivyo nimuulize mama Salma, hivi hatosheki na kipato anachopata cha maslahi ya ubunge wa "kupewa" wa kipato cha shilingi milioni 12 kwa mwezi, ukiacha maslahi mengine ya Mheshimiwa mbunge, kama vile "seating allowance" ya kila kikao cha Bunge kinavyoendelea?

Hebu nimuuluze tena mama Salma, hivi haridhiki na pension anayolipwa mumewe, Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?

Hebu pia nimuulize mama Salma, hivi haridhiki na "upendeleo" aliopewa mwanaye Ridhiwani Kikwete, ya ubunge, ambapo pia "amezawadiwa" u-Naibu Waziri, ambapo anapata maslahi kibao?

Hivi mama Salma, hayaoni matatizo ya mamilioni ya watanzania, wanaohangaika kila kukicha, kutafuta riziki zao za kila siku, ambao hata wakifika umri wa uzeeni hawalipwi pension yoyote?

Hivi mama Salma, hayo uliyoyaongelea Bungeni, ndiyo mawazo ya wapiga kura wako wa Jimbo la Mchinga, waliyokutuma uwasemee?

Hakika baada ya kusikia kauli za mama Salma, alizozitoa Bungeni, nmeamini kabisa, kuwa hatuna wawakilishi wa wananchi huko Bungeni, bali tuna viwavi wa CCM wanaotaka kula kwa kuvimbiwa na watuache watanzania tukiwa hatuna kitu kabisa!

Nimeamini kuwa nchi hii kuendelea kuwachagua wawakilishi toka chama tawala cha CCM ni kuendeleza laana, ambayo itaendelea kututafuna kwa vizazi vingi vijavyo!
Mimi naona kama ofisi ya first lady inatambulika kikatiba na inategewa bajeti, kwanini wasipewe pession? tuache ku waonea kisa wana pesa haki itendeke mbona maraisi wa bunge majaji wanapewa pension licha ya kua maisha na mishahara yao ilikua mizuri?

Kwanini mama Nyerere Mama Magufuri mama Mkapa wa sipewe pession, kwanini wabaki kupata msaada na zawadi wakati katiba ina watambua, hapana hapo kuna point, tusitangulize hali yetu ngumu ya maisha kufanya uamuzi
 
We ni fala, nenda kamsikilize utaelewa, sio unaanzisha uzi kijinga kiasi hiki wakati hujamsikiliza, amesema wazi hawapewi hayo mafao pale wanapoachishwa kazi zao ambazo walikuwa wanafanya.
DINHO
Matusi ya nini?

Tunajibizana kwa hoja na wala siyo kwa matusi.........

Povu lote hilo la nini?

Au wewe ndiyo mama Salma?
 
Back
Top Bottom