Mama Mzazi wa Blandina Nyoni kuzikwa leo Iringa

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,950
nipo nyumbani hapa mitaa ya Wilolesi manispaa ya Iringa kwenye msiba wa Mama Mzazi wa aliyekua katibu mkuu wa Wizara ya Afya
 
Dhambi ya kuwanyanyasa wafanyakazi wenzie pamoja na vifo vilivyotokea wakati wa mgomo wa madaktari, aliokuwa ameusababisha yeye ndo vinamtafuna.
 
Vipi ile kampuni yake ya Catering imeshinda pia tenda ya kuhudumia huo msiba?!

RIP Mama Blandina Nyoni
 
Jamani thread nyingine, pole yake but do we really need to know.
 
nipo nyumbani hapa mitaa ya Wilolesi manispaa ya Iringa kwenye msiba wa Mama Mzazi wa aliyekua katibu mkuu wa Wizara ya Afya

Kwa taarifa tu, Blandina Badi Nyoni bado ni katibu mkuu wa wizara ya Afya kutokana na taratibu na sheria za kazi serikalini; yeye amesimamishwa ,hajafukuzwa!! Mama yake Blandina atazikwa kijijini kwao Ilembula mkoa wa Njombe na sio Iringa!! R.I.P wa NYIMBO.
 
Bwana alitoa, na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe! Nawapa pole familia na wote. Apumzike kwa amani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom