kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia Dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui Faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko.
Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa
Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee
Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa
Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee