Imekaaje Hii Mzazi kutongoza Mwalimu Anayemfundisha Mtoto wake?

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
344
241
Kama kichwa cha habari kinavyosema,

Kuna jambo binafsi limenishangaza sana nilivyoenda kwenye kikao cha wazazi cha hii likizo. Moja ya shule ya msingi maarufu hapa Mbeya, nakusikia mkuu wa Shule akisema wazazi waache tabia ya kutongoza walimu wake. Ni kero walimu wanasumbuliwa sana. Mzazi anachukua simu kwa lengo la kuwasiliana na mwalimu kuhusu maendeleo ya mtoto wake anaishia kumtaka mwalimu kimapenzi. Binafsi nimeona kama sio hekima na busara kumtongoza mwalimu anayekufundishia mtoto wako.

Mtoto anaweza kukosea kawaida tu ila mwalimu akaona amechukua tabia za mzazi.

Pia mzazi ukikataliwa na mwalimu unaweka mazingira magumu kwako kuwasiliana na mwalimu, pia mazingira magumu kati ya mwanao na mwalimu. Mwalimu anaweza kukudharau wewe na mwanao. Maana hadi mtoto anapelekwa shule ana wazazi wawili. Pia mzazi hasa wa kiume fahamu kwamba wamama wanafuatulia sana watoto wao wakiwa shuleni kwa mambo mbalimbali hivyo ni rahisi sana walimu kufahamiana na mama wa mtoto.

Tujitahidi wazazi kuweka mazingira mazuri watoto wasome kwa amani na furaha.
 
na anaowakubaliaga amwambie mkuu wa shule pia akemee.

Au naona Vitu minor sana mwalimu mpaka uweke public ...ingetosha huko huko inbox mmalizane simple tu.

Au Uongozi uweke namba ya ofisi inayopokelewa na walimu walezi ....sio personal namba za walezi.

au basi watongozaji watongoze kama Binti wa kawaida na sio kama mwalimu.

.au au au.....
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema,

Kuna jambo binafsi limenishangaza sana nilivyoenda kwenye kikao cha wazazi cha hii likizo. Moja ya shule ya msingi maarufu hapa Mbeya, nakusikia mkuu wa Shule akisema wazazi waache tabia ya kutongoza walimu wake. Ni kero walimu wanasumbuliwa sana. Mzazi anachukua simu kwa lengo la kuwasiliana na mwalimu kuhusu maendeleo ya mtoto wake anaishia kumtaka mwalimu kimapenzi. Binafsi nimeona kama sio hekima na busara kumtongoza mwalimu anayekufundishia mtoto wako.

Mtoto anaweza kukosea kawaida tu ila mwalimu akaona amechukua tabia za mzazi.

Pia mzazi ukikataliwa na mwalimu unaweka mazingira magumu kwako kuwasiliana na mwalimu, pia mazingira magumu kati ya mwanao na mwalimu. Mwalimu anaweza kukudharau wewe na mwanao. Maana hadi mtoto anapelekwa shule ana wazazi wawili. Pia mzazi hasa wa kiume fahamu kwamba wamama wanafuatulia sana watoto wao wakiwa shuleni kwa mambo mbalimbali hivyo ni rahisi sana walimu kufahamiana na mama wa mtoto.

Tujitahidi wazazi kuweka mazingira mazuri watoto wasome kwa amani na furaha.
Kama mwalimu ana chura
 
Na kuhusu suala la waalimu kutongoza wazazi wa mwanafunzi na mwanafunzi mwenyewe.
 
na waalimu waache kukopa kopa pesa kwa wazazi. mmoja kaniazima laki miezi kadhaa iliyopita, badala aombe tu anajifanay kukopa akijua ni mwalimu wa mtoto wangu sitamkatalia. anasema wamecheleweshewa mishahara. tangu apewe, hajawahi kupiga simu miezi 6 hadi mtoto kamaliza darasa lake. na mimi nilichokuwa nahitaji ni aombe tu kwamba nimpe au nimsamehe ameshindwa kulipa kwasababu hata anapokopa nilijua hatarudisha na nilikuwa nimejiandaa kumpa bure kama zawadi ya kumfundisha mtoto wangu. yeye sasa anapata shida, angefunguka tu ili nimwambie wala asilipe nilimsamehe ili awe huru moyoni.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema,

Kuna jambo binafsi limenishangaza sana nilivyoenda kwenye kikao cha wazazi cha hii likizo. Moja ya shule ya msingi maarufu hapa Mbeya, nakusikia mkuu wa Shule akisema wazazi waache tabia ya kutongoza walimu wake. Ni kero walimu wanasumbuliwa sana. Mzazi anachukua simu kwa lengo la kuwasiliana na mwalimu kuhusu maendeleo ya mtoto wake anaishia kumtaka mwalimu kimapenzi. Binafsi nimeona kama sio hekima na busara kumtongoza mwalimu anayekufundishia mtoto wako.

Mtoto anaweza kukosea kawaida tu ila mwalimu akaona amechukua tabia za mzazi.

Pia mzazi ukikataliwa na mwalimu unaweka mazingira magumu kwako kuwasiliana na mwalimu, pia mazingira magumu kati ya mwanao na mwalimu. Mwalimu anaweza kukudharau wewe na mwanao. Maana hadi mtoto anapelekwa shule ana wazazi wawili. Pia mzazi hasa wa kiume fahamu kwamba wamama wanafuatulia sana watoto wao wakiwa shuleni kwa mambo mbalimbali hivyo ni rahisi sana walimu kufahamiana na mama wa mtoto.

Tujitahidi wazazi kuweka mazingira mazuri watoto wasome kwa amani na furaha.
Hii safi sana kama Mzazi ukikubaliwa. Mwalimu anakua Mama wa Kambo wa mwanao. So mtoto anapata some privileges pale school. Yaani mwalimu anakua ana provide extra care Kwa mwanao.

Na ikitokea bas ndio amani na furaha ya Mwanafunzi inakuwepo.
 
Yaani mtu mzima katongozwa ofisin kwake anaenda kushitaki Kwa boss wake?..
Na manesi nao walalamike Kwa madaktari wanapotongozwa na wagonjwa?
Hivi watu wengine mnaishi dunia gani? Umesoma alichoandika ukaelewa? Mwalimu yuko kazini anawasiliana na wewe kikazi kwa sababu ya mwanao halafu umtongoze? Huni kuwa kama kila mzazi atafanya hivyo ita-create mkanganyiko mbaya kabisa? Unajua maana ya mawasilino ya kikazi na mawasiliano ya kibinafsi?
 
Back
Top Bottom