Mama mwenye nyumba

Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
chapa ilale
 
Nilijaribu kuleta msichana pale kwangu, ugomvi ukawa ni mkubwa sana, akamvalia msichana wangu kibwebwe

mmh! Kaka hama hiyo nyumba kama unaweza samehe kodi. Au kama vipi usipende kushinda nyumbani. Tafuta company hata ya mdogo wako wa kiume ukae nae.
Nahisi hatari inakunyemelea.
 
Labda sijaelewa vizuri..."MAMA MWENYE NYUMBA" kwa maana ya jukwaa hili si ndio MPANGO WA NDANI? au?
 
Nilijaribu kuleta msichana pale kwangu, ugomvi ukawa ni mkubwa sana, akamvalia msichana wangu kibwebwe

kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.

-THE END-
 
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Kwa kuwa tatizo linatokea mnapopishana nae, badiri njia usiwe unakutana nae.
 
kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.

-THE END-

Hapo penye nyekundu pameniacha hoi....
 
Hana mume, ana watoto watano, kila mtoto ana baba yake.

watoto watano tena kila mtoto na baba yake inaashiria mama ni used kuliko na kwa sababu hiyo she is not worth kupoteza muda wako na resources zako zingine.ukichapa tu ujue umeoa.na kwa sababu kwake kuzaa ni swala dogo usishangae ukigusa tu imoo!we potezea, kodi ikiisha hama nyumba.usije ukajikuta umeoa kituko bure wakati shemeji yupo tena mkali tu ingawa sijamuona.
 
Jana usiku mvua ilinyesha, sikuwepo home wakati mvua ikinyesha, hivyo basi sikuwa na stock ya maji ndani.
Nikatoka nikaenda kijiweni kutafuta wauza maji, nliporudi nikamkuta mama mwenye nyumba wangu yuko chumbani kwangu akipiga deki huku akiwa na chupi tu.
Niliishiwa nguvu na kukasirishwa, nimemwambia asiingie tena ndani mwangu, akaniambia kuwa ananipenda sana na ameshindwa kuzizuia hisia zake, ameniambia anaona hata aibu kunidai pango la nyumba.
Jamani mimi sitaki tena kukaa kwenye nyumba hiyo, naomba msaada wenu nipate nyumba haraka.

Badilishana na Fidel hiki chumba chako.........................Hommie kuna nyama hukuuuuuuuuuu!
 
Jana usiku mvua ilinyesha, sikuwepo home wakati mvua ikinyesha, hivyo basi sikuwa na stock ya maji ndani.
Nikatoka nikaenda kijiweni kutafuta wauza maji, nliporudi nikamkuta mama mwenye nyumba wangu yuko chumbani kwangu akipiga deki huku akiwa na chupi tu.
Niliishiwa nguvu na kukasirishwa, nimemwambia asiingie tena ndani mwangu, akaniambia kuwa ananipenda sana na ameshindwa kuzizuia hisia zake, ameniambia anaona hata aibu kunidai pango la nyumba.
Jamani mimi sitaki tena kukaa kwenye nyumba hiyo, naomba msaada wenu nipate nyumba haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom