kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
Naombeni mawazo yenu niko kwenye hii nyumba zaidi ya miezi 5 sasa ila mwanzo tulikuwa tunaenda fresh tu, sasa mwezi miezi 2 baadae akanunua Fridge ya kugandisha barafu na anauza za mia mia na Jero pia.
Same to me nanunua vzr tu. Ila naona suala la umeme sasa limekuwa headache kwangu kwani me kwa Mwezi nalipia 10k sema na nilikuwa silipi until mwezi wa ujao, sasa naona kabla ya mwezi huyu Mama ananigongea niongee 4k anasema sasa umeme unaenda sana na Mimi nikamwambia si wewe unauza barafu yeye anasema ndio ila si zinawasaidia hapa kupata maji ya baridi? Sasa mi zinanisaidiaje wakati me nanunua cash?
Anasema kama mwezi huu sitaki kuongeza nihame. Sasa nauli hii imekaaje kwa huyu Mama house na Wenda kuna wengine mnapitia haya mliishiaje? Maana nahisi huyu anataka Kesi.