Badili mida ya kufaidi tunda la ndoa. Either mchana au piga morning gloryNimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.
Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa tabia ya mama mkwe wangu kumpigia simu mwanaye usiku saa nne au saa tano na wakati mwingine hata saa sita au saba ili wapige story. Wakati huo tupo kitandani na mke wangu. Kawaida yetu sisi saa nne tunakuwa kitandani ili kesho tuwahi kwenda kazini.
Lakini wakati mwingi mida hiyo ndo tunakuwa tukifurahia tendo la ndoa. na sometime mama mkwe naye ndo anapiga simu inakatisha stimu sana, Au hata kama tumelala kujipumzisha au kupiga story mbili tatu tukitafuta usingizi basi anapiga na wanaanza kuongea wataongea muda mrefu hapo kitandani.
Binafsi sidhani kama ni heshima kwa jambo hili. nimejaribu kumwambia mke wangu jambo hili mara kadhaa kuwa sipendezwi nalo lakini naona hanielewi kabisa. Mbaya ni kuwa mama mkwe ni mjane alifiwa na mumewe miaka mingi iliyopita so huwa anakuwa kitandani peke yake maana sidhan kama angekuwepo mumewe angemruhusu jambo hilo.
Naombeni ushauri nifanyeje maana wife anaona kama sipendi aongee na mama yake kitu ambacho si kweli. Namwambia basi awe anaenda kuzungumzia sebulen nalo anaona si jambo zuri.
Ebu jaribu kuongea na mkeo mkuu kuhusu kukerwa na hiyo tabia mwambie huipendi kabisaa
Mama mkwe ana wivu, afaidi mtoto wake tu kila siku.
Ila wanaume wa siku hizi hamna maamuzi kabisa. Mnatia huruma
Ukiona hivyo ujue humridhishi mkeo, we usimwambie lolote boresha show yako tu hiyo ndio dawa. Siku moja kaka ake mtu alikuwa anampa taarifa ya ugonjwa dadaake alipiga nikashangaa simu imekatwa! Asbh mi nipo sebuleni nasikia mtu anaomba msamaha kwa kaka....
Huyu muamshie tu dude babaaa...inawezekana tunajichosha hapa kumbe mkewe ndo anamlea jambo dogo kama hilo ndo la kutusumbua hapa ?!
Mkuu pole. Iliwahi kunitokea hiyo hali nami nikaamua akipigiwa simu nawasha gari naenda kulala hotelini. Kesho akiniuliza nikamjibu nilikupisha uongee na mama yako..... kama mara tatu ilivyojirudia nikalala hotel for a week bila kurudi... akahamaki nami nikamwambia nakupa uhuru uongee na mama mkwe.... huu mwaka wa sita haijarudia tena...
Badili mida ya kufaidi tunda la ndoa. Either mchana au piga morning glory
Sawa endelea kupigwa exile na mama mkwemara nyingi wengi huwaza yale yaliyomo kwenye wigo wao. kama wewe unalelewa usidhan wanaume wote wanalelewa.... na mi sikuona sababu ya wewe kuchoka sababu ungesoma na kuona jambo dogo then ungeachana na hili jambo waje watu wazima watoe maoni yao. kwa wenye akili wamenielewa na ndo maana unaona wanatoa ushauri..lakini siku zote wapuuzi hawakosekani na hawajui lipi dogo na lipi kubwa.
====nashukuru... nlikuwa nahitaji kusikia ushauri kwa watu wazima wenye uzoefu na nashukuru coz nawe umeongea kwa uzoefu ukiacha watoto wadogo ambao hawaelewi ninachozungumzia hapa.
====Badili mida ya kufaidi tunda la ndoa. Either mchana au piga morning glory
Wewe ndio wa kutatutua tatizo na si mtu mwingine.unafikiri hapa maamuzi ni nini dada... maana kila jambo limekuwa wanaume wa siku hizi na wanawake wa siku hizi. tuna share haya mambo kupeana uzoefu. na si kila jambo linaishia kwenye solutions zile za kale... nataka kujua kama kuna mwingine ame experience jambo hili
====
sio fair kabisa. Mtu abadili ratiba ya nyumbani kwake? ni wapi atakuwa na uhuru sasa?
Dawa yake ndogo hakikisha upo kupiga show na mwanae na awe analalamika kwa raha ya huba na mahaba achecheeeeee pokea simu mwache asikilize miguno harudiiii huyo niamini mimiNimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.
Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa tabia ya mama mkwe wangu kumpigia simu mwanaye usiku saa nne au saa tano na wakati mwingine hata saa sita au saba ili wapige story. Wakati huo tupo kitandani na mke wangu. Kawaida yetu sisi saa nne tunakuwa kitandani ili kesho tuwahi kwenda kazini.
Lakini wakati mwingi mida hiyo ndo tunakuwa tukifurahia tendo la ndoa. na sometime mama mkwe naye ndo anapiga simu inakatisha stimu sana, Au hata kama tumelala kujipumzisha au kupiga story mbili tatu tukitafuta usingizi basi anapiga na wanaanza kuongea wataongea muda mrefu hapo kitandani.
Binafsi sidhani kama ni heshima kwa jambo hili. nimejaribu kumwambia mke wangu jambo hili mara kadhaa kuwa sipendezwi nalo lakini naona hanielewi kabisa. Mbaya ni kuwa mama mkwe ni mjane alifiwa na mumewe miaka mingi iliyopita so huwa anakuwa kitandani peke yake maana sidhan kama angekuwepo mumewe angemruhusu jambo hilo.
Naombeni ushauri nifanyeje maana wife anaona kama sipendi aongee na mama yake kitu ambacho si kweli. Namwambia basi awe anaenda kuzungumzia sebulen nalo anaona si jambo zuri.
Wanipe mim number za mama Mkwe kama ni mjane tutatafuta usingizi woteVUMILIA TU MKUU, NADHANI MAMA MKWE HUWA ANAUTAFUTA USINGZ KAMA ULIVYOSEMA NI MJANE ANAKUWA MPWEKE KWA HYO FARAJA IPO KWA BINTI YAKE.
KUWA MPOLE NA HAWA MAMA MKWE WA SIKU HZ WA DIGITAL
Mkuu kuwa mwanaumeNimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.