Mama mkwe anapiga simu usiku saa nne saa tano nikiwa kitandani

Nimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.

Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa tabia ya mama mkwe wangu kumpigia simu mwanaye usiku saa nne au saa tano na wakati mwingine hata saa sita au saba ili wapige story. Wakati huo tupo kitandani na mke wangu. Kawaida yetu sisi saa nne tunakuwa kitandani ili kesho tuwahi kwenda kazini.

Lakini wakati mwingi mida hiyo ndo tunakuwa tukifurahia tendo la ndoa. na sometime mama mkwe naye ndo anapiga simu inakatisha stimu sana, Au hata kama tumelala kujipumzisha au kupiga story mbili tatu tukitafuta usingizi basi anapiga na wanaanza kuongea wataongea muda mrefu hapo kitandani.

Binafsi sidhani kama ni heshima kwa jambo hili. nimejaribu kumwambia mke wangu jambo hili mara kadhaa kuwa sipendezwi nalo lakini naona hanielewi kabisa. Mbaya ni kuwa mama mkwe ni mjane alifiwa na mumewe miaka mingi iliyopita so huwa anakuwa kitandani peke yake maana sidhan kama angekuwepo mumewe angemruhusu jambo hilo.

Naombeni ushauri nifanyeje maana wife anaona kama sipendi aongee na mama yake kitu ambacho si kweli. Namwambia basi awe anaenda kuzungumzia sebulen nalo anaona si jambo zuri.
Hapo inabidi umwambie mkeo labda hakupewa neno kuhusu Ndoa inataka vitu gani na haitaki vitu gani maana katika vitu ambavyo vinachangia kuvunja ndoa nyingi ni wazazi aka wakwe haswa ukikuta mwanamke amemshiba sana kwa mama yake kwa hiyo umwambie akikataa basi mwambie mama mkwe kwamba muda huo unapiga simu sio mzuri ni muda ambao sisi tunapumzika kwa ajili ya maandalizi ya kesho kwenda kazini maana ukisema ukae nalo moyoni itajengeka tabia hiyo mwisho utaona ndoa chungu.
 
Nimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.

Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa tabia ya mama mkwe wangu kumpigia simu mwanaye usiku saa nne au saa tano na wakati mwingine hata saa sita au saba ili wapige story. Wakati huo tupo kitandani na mke wangu. Kawaida yetu sisi saa nne tunakuwa kitandani ili kesho tuwahi kwenda kazini.

Lakini wakati mwingi mida hiyo ndo tunakuwa tukifurahia tendo la ndoa. na sometime mama mkwe naye ndo anapiga simu inakatisha stimu sana, Au hata kama tumelala kujipumzisha au kupiga story mbili tatu tukitafuta usingizi basi anapiga na wanaanza kuongea wataongea muda mrefu hapo kitandani.

Binafsi sidhani kama ni heshima kwa jambo hili. nimejaribu kumwambia mke wangu jambo hili mara kadhaa kuwa sipendezwi nalo lakini naona hanielewi kabisa. Mbaya ni kuwa mama mkwe ni mjane alifiwa na mumewe miaka mingi iliyopita so huwa anakuwa kitandani peke yake maana sidhan kama angekuwepo mumewe angemruhusu jambo hilo.

Naombeni ushauri nifanyeje maana wife anaona kama sipendi aongee na mama yake kitu ambacho si kweli. Namwambia basi awe anaenda kuzungumzia sebulen nalo anaona si jambo sahihi.
nigga!
hao wanakudharau una weakness flani ndo maana hawana adabu jichunguze,
anyways umetaka ushauri here we go...hakuna haja ya complain kuhusu issue ndogo kama hiyo we kama hawakuelewewi na unaona tabia hiyo imekua sugu kuanzia leo hakikisha wife anapokuja kwa bed awe uchi na usifanye chochote ila wakianza tu kupiga stori zao na maza ake we unaweka headphones unasikiliza hiphop songs at the same time unainamisha unapiga miti not less than 45 minutes bao la kwanza,wakati wao wanaenjoy kuongea we unakula hip hip music huku unakula nganga freshi tu,hakikisha hilo zoezi linakua daily mabadiliko utayaona haraka sana then lete mrejesho hapa
 
Siku nyingine akipiga pokea wewe na Mwambie kuwa huwependezwi na tabia yake halafu mwambie pia kuwa muda huu ndiyo tunatafuta mtoto kwa story yako Bado hata mimba Hmajafanikiwa sasa Mwambie kuwa anapokuwa anapiga zile mbegu zenye watoto zinarudi..

Kijana huyu Mama unatakiwa ufahamu kuwa faraja yake ni huyo Mtoto ambaye ni mke wako sasa unataka ampigie nani/ Kingine mzalie wajukuu umpelekee uone kama atakusumbuwa tena.
Mwenzio anasema ana watoto wawili we unasema eti kwa stori yake hata watoto hawajanikiwa, are u criaz? muwe mnaelewa kwanza
 
Vipi kama wewe ukaamua kwenda sebuleni na kufanya shughuli nyingine kwa muda huo?

Usome kitabu, uangalie movie au hata na wewe upigie simu ndugu zako.

Kwetu mwanamme anatakiwa kumu accommodate mkewe na mwanamme hatakiwi kulala kabla ya mkewe in case mkewe akimuhitaji.

Unapoamua kuoa inabidi uchunguze ukaribu wa watu wa familia unayooa, ili kuoa kwako kusimkwaze utakayemuoa kwa kukata mahusiano aliyoyazoea na ndugu zake, au kukukwaza wewe kwa mahusiano hayo kukuelemea usivyotegemea.

Tuchunguzane vizuri kabla ya ndoa.

Sent from my Kimulimuli
Kaka nikuulize umeoa je wewe nikweli hulali mpaka Mke alale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mama mkwe wewe mwenyewe kuwa hupendelei tabia hiyo. Kwanini ukereheke maisha yenyewe ni mafupi. Piga simu kwa mama mkwe mwambie usimpigie simu mke wangu usiku wakati tunalala. Heshima inatakiwa iwe pande zote mbili. Waswahili tunatabia za ajabu sana unavumilia mateso yasiyostahili kwa kumfurahisha mtu mwingine.
Nimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flan.

Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa tabia ya mama mkwe wangu kumpigia simu mwanaye usiku saa nne au saa tano na wakati mwingine hata saa sita au saba ili wapige story. Wakati huo tupo kitandani na mke wangu. Kawaida yetu sisi saa nne tunakuwa kitandani ili kesho tuwahi kwenda kazini.

Lakini wakati mwingi mida hiyo ndo tunakuwa tukifurahia tendo la ndoa. na sometime mama mkwe naye ndo anapiga simu inakatisha stimu sana, Au hata kama tumelala kujipumzisha au kupiga story mbili tatu tukitafuta usingizi basi anapiga na wanaanza kuongea wataongea muda mrefu hapo kitandani.

Binafsi sidhani kama ni heshima kwa jambo hili. nimejaribu kumwambia mke wangu jambo hili mara kadhaa kuwa sipendezwi nalo lakini naona hanielewi kabisa. Mbaya ni kuwa mama mkwe ni mjane alifiwa na mumewe miaka mingi iliyopita so huwa anakuwa kitandani peke yake maana sidhan kama angekuwepo mumewe angemruhusu jambo hilo.

Naombeni ushauri nifanyeje maana wife anaona kama sipendi aongee na mama yake kitu ambacho si kweli. Namwambia basi awe anaenda kuzungumzia sebulen nalo anaona si jambo zuri.
 
Hapo tatizo sio mama mkwe, tatizo ni mkeo, yeye ndo ameindekeza hiyo tabia na inaonekana anifurahia. Ongea nae kwamba hiyo tabia huipendi na inakukwaza kwasababu hiyo mida anyaohangaika na hiyo simu ya mama yake, ndo mida ya 1,2,3, na umwambie kwamba, sio kama hutaki waongee, hapana waongee tu hata kila siku ila sio mida hiyo, kwahiyo soution ni kwamba kabla ya kuingia kulala yeye mkewe awe anampigia mama yake wanaongea ili mida yenu ya kulala ikifika kusiwe tena na fujo za simu unless itokee emergency.
 
mkuu umeandika ukiwa sober kabisa? yaani kama tumelala akianza kuongea na simu naamka naenda kuangalia movie sebuleni? halafu kwa tabia za kwenu unasema mwanaume hatakiwi kulala so inabidi asimame au akae kwenye kochi? maana inawezekana hujanielewa au hujaelewa hii post. wote tupo kitandani tumezima taa n.k then unanambia nisilale ila nikae kwenye kochi au nifanyeje? na suala si kukosa kuhitajiana n.k suala ni kuwa hiyo ni mida ambayo tunakuwa kitandani kwa ajili ya shughuli nyingine zikiwepo za ujenzi wa taifa na pia baada ya hapo wakati wa mapumziko au mazungumzo ya ujenzi wa familia.
Mimi nikushauri japo nipo single ila sio sababu kukosa uelewa Naomba kwakuwa ushaongea namkeo haelewi washirikishe wazee watu wazima uwaelezee ili hili swala wakaongee nayule mama au kuwashilikisha pia watu Wa dini naimani wataweka mambo sawa unajua mama anaweza kuona yupo sawa asijue kuwa ni kosa naimani fwata niliokueleza kila kitu kitakuwa safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wew unamind mambo madogo. angekuwa anaongea na dada ake au shangazi au ndugu wengine at list lakini mama! mwache tu amfariji mama jamani
 
Mimi nikiandika sober au si sober si issue kama wewe uliyeoa wakati hauko sober.

Ni hivi, kabla ya kuoa unatakiwa ujue kama unayetaka kumuoa atakuwa anapigiana simu na mama yake saa tano usiku.

Kama umeoa bila kujua hilo na sasa mna watoto imekula kwako.

Kumlazimisha mkeo asiongee na mama yake ni jambo litakalozua mtafaruku kwenye familia.

Mwanamme anayelala kabla ya mkewe kashakubali kwamba mwanamke ndiye mlinzi wa nyumba.

Ubaya wako huwezi mfumodume (mwanamme kuwa mlinzi wa mwanamke na hivyo kutotaka kulala kabla ya mkewe au hata kymkataza mkewe kuongea na mama yake) halafu hutaki mfumojike (mwanamke kutawala kitanda na mwanamme kukubali kuwa mdogo kwenda sebuleni).

Hujielewi unataka nini. Hujui kama unaenda au unarudi.

Ndiyo maana umeoa mwanamke usiyemjua vizuri na anakupelekesha unakuja kuombabushauri hapa.

Wewe hujielewi. Mwanamme anayejielewa angeweza ku control situatiin hiyo au kutooa mwanamke mwenye tabia hiyo.

Unashindwa kuongea na mke wako kuhusu suala hilo, unaomba ushauri, watu wanakushauri halafu unahoji sobriety?

Wewe ungejua sobriety ungemuoa mwanamke ambaye tabia zake huzijui?

Sent from my Kimulimuli
Kaka punguza hasira huenda ulimjibu vile kauli ikazidi kumuongezea machungu yenye hasira Mimi Naomba usiwe Na hasira mpaka kutoa maneno makali ujue hata wewe sio kuwa mkeo au mchumba wako nimkamilifu hakuna mkamilifu chini ya jua Naomba tuwe wastaarabu Na matatizo yakimkumbuka mwenzio yachululie niyakwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna lishemeji langu moja hivi (ME) nalifahamu kwa sura na ni tumbo moja na wife, sasa hilo jamaa linapenda kupiga simu night kali, uzalendo ulinishinda nikampiga mkwara wife maana jamaa linapiga simu saa tano usiku eti kusalimia alafu ni kila siku sasa.

Kama ndugu yako kaolewa kua na busara ya kupiga simu, utawakwaza wenzako, kwa kua wanakuheshimu wanakaa kimya
 
Mkuu pole. Iliwahi kunitokea hiyo hali nami nikaamua akipigiwa simu nawasha gari naenda kulala hotelini. Kesho akiniuliza nikamjibu nilikupisha uongee na mama yako..... kama mara tatu ilivyojirudia nikalala hotel for a week bila kurudi... akahamaki nami nikamwambia nakupa uhuru uongee na mama mkwe.... huu mwaka wa sita haijarudia tena...
 
Mambo ya hivi ndio yalio sababisha nikachukua sim ya wife na kiibamiza ukutani hadi ikazeeka.... mbaf kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom