Mama Maria: Kuilipa Dowans tatizo kubwa

Tusipoangalia tutaendelea kuongea mambo ambayo hatuna ushahidi nayo na watu wa aina hii mara nyingi kwa wale wanaojua makundi mbalimbali ya watu tutajua tunawekwa kundi gani! Nani ana ushahidi kuwa Przd ana share DOWANS? jamani tukumbuke kuwa deep thinker anachukua muda kuhukumu pia.

thatha njoo nikupe ushahidi, haikuumi eeeh?
 
PHP:
Tusipoangalia tutaendelea kuongea mambo ambayo hatuna ushahidi nayo na watu wa aina hii mara nyingi kwa wale wanaojua makundi mbalimbali ya watu tutajua tunawekwa kundi gani! Nani ana ushahidi kuwa Przd ana share DOWANS? jamani tukumbuke kuwa deep thinker anachukua muda kuhukumu pia.

Ukitaka kujua JK ni fisadi nambari one............fanya utafiti wa ni jinsi gani Dr. Idrissa Rashid aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa TAnesco..............................................sifa hana hata moja na hata yeye alidiriki kutamba hakuiomba nafasi ile.........................ukizingatia JK na na Mkapa walimtumia Dr. Rashid katika kula hela za Radar na kuipigia debe......................Radar ambayo leo hii tunajua ni bomu na wala hatukuwa tunahitaji wakati hatuna jeshi la anga kwa tafsiri za kimataifa za jeshi la anga......................

Tetea ufisadi.........but at our own risk..........................we suffer because of it............not only you but all of us............................
 
PHP:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Wassira: Msimshinikize JK azungumzie Dowans [/B]

    Kutoa rushwa ya sh bilioni 94 kwa mafisadi wachache walioko sisiem ni kitu kidogo sana, tumwache rais aongelee mambo makubwa kama vyandarua vya bush, kuzindua visima vya maji, kusafiri nje ya nchi etc etc, huo ndiyo uongozi wa Tz!! lol!!:msela:

Thank you Mpenda for this useful post..............................................it is very instructive to all of us........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom