Mama Kilango jiandae mwisho wako ni 2015

Black Bat,
nkukezya evava, nikiho mwenye aha kubiga lukunga kuti uu mlala tehena cho arongie kunu kaya. niliweka kilio cha wana same kwamba maendeleo katika kila sekta yamedorora na kwamba mama kilango ni vuvuzela tu lakini kila mtu alikuwa anafikiri naongopa. pitia post yangu uone malumbano yaliyotokea mwaka 2009.
 
huyu mama bado anapiga domo tu ..kwenye jimbo lake hakuna barabara ya lami hata moja sijui anafanya nini bungeni miaka yote hii, na anafikia ukingo hapo 2015
 
Isiwe yeye tu wapo wabunge kibao wa ccm ambao wamekuwa pale bungeni siku nyingi ila maendeleo jimboni kwao hakuna sasa kilichopo 2015 wasimame kidete cdm kusimamisha watu ili wajue ubunge siyo ndoa bali ni mkataba unaoisha
 
Mimi ni mwanamapinduzi na mwanaharakati ...huyu mama kaja katuharibia jimbo letu anaongea sana na hakuna anachofanya zaidi ya kuwahadaa wananchi wa same.. sasa mama nakuambia kuwa mwisho wako unakaribia..
jimbo zuri lakini wananchi wake wanaishi gizani ..kuanzia afya ,elimu na barabara ...jimbo lote hakuna barabara ya lami hata moja ...wananchi waliahidiwa barabara ya lami toka mkomazi hadi same lakini hadi leo hakuna hata dalili na ni ndoto na nina uhakika wewe mama huwezi kuileta ..sasa jua kabisa kuwa mwisho wako ni 2015...nitapita nyumba kwa nyumba na kuwaelewesha wananchi kuwa nchi yao inaliwa na wajanja na wewe ukiwa mmoja wao...
pokea kwanza hii alert ....

Mimi Nawashangaa sana Ndugu Zangu Wapare!! Mmemuozesha Binti na akapata Mume!! Sasa Nyie Badala ya Kukubaliana na Matokeo Yakuwa Huyo sio wenu Tena Bado Mnataka awatawale!! Duh Hii ni Aibu ya mwaka; Kwa Ndugu Zangu wapare!! Jimbo linalomfaa Huyu Mama ni Mtera na sio Same!! Ila pia huyo mama anajua anavyo wadhulumu Wapare kwani yeye sasa sio wa Huko!! Ila bado Hamjachelewa Sana (Kutenda Kosa sio Kurudia Kosa) ni Muda wa Kuandaa mzawa wa Uhakika na kumpeleka huyo mama kwenye Jimbo lake la Ahadi - Mtera!! Bingwa wa Matusi Ajiandae!!!
 
waungwana ukwli na ushabiki ni vitu viwili tofauti, hivi huyu muungwana ni kweli haone yaliyofanyika au ndio siasa, mana mama najitahidi sana na watu kule wanridhika na utendaji wake, sasa kama lipo la ziada mtuambi tu, ila hili la kuchapa kazi kwa kweli mama wa watu anajitahidi, mimi nadhani mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.
 
Hata hivyo kwenye mjadala wa sheria ya kutunga Katiba, aliikwenda chaka tena kwa umbali mkubwa, na sijui kama ameshapatikana maana nasikia alikuwa anatafutwa kwa kupotelea chakani.
Ha ha ha aa Haya bwana..., ila kazi na dawa...
 
nitawamwagia picha kibao za watu wa sme jinsi wanavyoishi ..huyu mama hamna chochote anachofanya zaidi ya kwenda kwenye misiba na kulia lia ..akifanya hivi wamama wanamhurumia sana na kuona kuwa yeye ndio anafaa kumbe hakuna kitu
Sasa hao kina mama hawatapiga kura 2015.., au una mikakati gani ya kuwabadilisha mawazo ?, au una nguvu za vijana ambao itabidi uhakikishe wanakata shahada za kupigia kura 2015?
 
Mimi ni mwanamapinduzi na mwanaharakati ...huyu mama kaja katuharibia jimbo letu anaongea sana na hakuna anachofanya zaidi ya kuwahadaa wananchi wa same.. sasa mama nakuambia kuwa mwisho wako unakaribia..
jimbo zuri lakini wananchi wake wanaishi gizani ..kuanzia afya ,elimu na barabara ...jimbo lote hakuna barabara ya lami hata moja ...wananchi waliahidiwa barabara ya lami toka mkomazi hadi same lakini hadi leo hakuna hata dalili na ni ndoto na nina uhakika wewe mama huwezi kuileta ..sasa jua kabisa kuwa mwisho wako ni 2015...nitapita nyumba kwa nyumba na kuwaelewesha wananchi kuwa nchi yao inaliwa na wajanja na wewe ukiwa mmoja wao...
pokea kwanza hii alert ....

lakini si kawaboreshea kilimo cha tangawizi?
 
Back
Top Bottom