Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Very simple,ondoka hapo home kapange nyumba sehemu nyingine,au Omba uhamisho kama wewe ni
Muajiriwa.
Ukizidi Kuishi humo Ndani kuna Siku kitanuka na you may end up beating her to death(God forbid) au yeye anaweza akakupiga na kitu Chenye ncha Kali ukafa buree.mark my words brother.
 
Check if msamaha anaoumba ni wa kutoka moyoni na ni kweli anajutia toka moyoni? Kama ndivyo we msamehe coz naamini hatarudia tena na manufaa ya wewe na wanao, kwani ninachokiona kama kweli anaumia na wewe Mapenzi yako kwa watoto pekee anaweza amua maamuzi magumu ya tukose sote (akajiua na watoto) Hususani kama ametokea kule kwa wala Mbwa
 
Wewe Msalala kitendo ulichofanya si kizuri. Sasa kama umeishalipa kisasI kwa nini uendeleze kumtoa mwenzio miaka yote hiyo? Nafikiri yanatosha na muanze upya. Hakuna binadamu mkamilifu.
 
[quote uid=132760 name="Luwoneka" post=15350063]Samehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.[/QUOTE]<br />Acha kushauri mwanaume mwenzio upuuzi, mwanaume kamili hatakiwi kusamehe mke aliemwagiwa manii ukeni na jitu lingine, **** inamilikiwa na mtu mmoja tu at a time, akiongezeka mwingine sio uchi tena huo.dahhhh hysee weee jamaaangu umetalk kitu cha maana saaana we mwanamke aliyevua chupi kwa viwanaume zaidi ya tano nawamwisho kakatikia mkia ndani na kuacha kipande chake ndani Leo hii akwambie eti anaweza kutulia kabisaaa asifanye tena in hali anamtoto Wa mwanaume aliyehai na amempata wee ukonae kaondoka mwenyewe kufanya hukooo alipopata ukamwambia njoo tu baada ya kukuomba msamaha hv kweli atatulia mojakwamoja asichepuke even one day kutest zar!!? Aaaah mim imani imenipungukia jamani mpaka imeniishia kabisa hata kama sinamzalishabado najua nitampa ta tu atayekuja kwangu from alah ili angalau huu moyo utulie kidogo hata kama utaumia huu moyo Wngu lkn ytakuwa maumiv mapya dahhh.nimejaribu vumilia imeshndkana.why can I do???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona simple,hama na watoto wako muache aendelee na umalaya wake hapo,piga chini Malaya huyo asije akakupa ngomaa
 
Msamehe, ona unavyohangaika mwisho utapata maradhi utakufa umwachie kila kitu.
Chukulia tu kiume, jikaze msamehe rudini chumbani ya huko mkapime ili uendelee na maisha.

Hakika hakuna mtu wa kuvumilia harufu ya mav.i ya mtu mwingine, hakuna mwanamke wa kuweza kumlea mtoto wa mwanamke mwingine.

Utaishia kufa mwanangu msamehe yaishe. Wapo wanaume wenzio wanaoumizwa zaidi yako lakini kwa ajili ya watoto wanavumilia tu. Jikaze mtoto wa kiume, yamalize.
Unaelewa maana ya kuchukulia kiume au unaropoka tu
 
[quote uid=132760 name="Luwoneka" post=15350063]Samehe kaka kumbuka hata mkombozi wa dunia hii alisamehe wale waliomsulubu msalabani mpaka. Kumuua ni. nani asiye na dhambi kaka? Usinyooshe kidole kimoja kwa mwenzio huku vingi vinakutazama wewe. Samehe na utubu.
<br />Acha kushauri mwanaume mwenzio upuuzi, mwanaume kamili hatakiwi kusamehe mke aliemwagiwa manii ukeni na jitu lingine, **** inamilikiwa na mtu mmoja tu at a time, akiongezeka mwingine sio uchi tena huo.dahhhh hysee weee jamaaangu umetalk kitu cha maana saaana we mwanamke aliyevua chupi kwa viwanaume zaidi ya tano nawamwisho kakatikia mkia ndani na kuacha kipande chake ndani Leo hii akwambie eti anaweza kutulia kabisaaa asifanye tena in hali anamtoto Wa mwanaume aliyehai na amempata wee ukonae kaondoka mwenyewe kufanya hukooo alipopata ukamwambia njoo tu baada ya kukuomba msamaha hv kweli atatulia mojakwamoja asichepuke even one day kutest zar!!? Aaaah mim imani imenipungukia jamani mpaka imeniishia kabisa hata kama sinamzalishabado najua nitampa ta tu atayekuja kwangu from alah ili angalau huu moyo utulie kidogo hata kama utaumia huu moyo Wngu lkn ytakuwa maumiv mapya dahhh.nimejaribu vumilia imeshndkana.why can I do???

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dawa nyepesi sana ondoka wewe kaanze maisha kwingine mbona simple like that mkuu..... weka miakakati namana ya kullipia watoto ada na matunzo yote.. acheni ubinafsi vikojoleo vyenu vinawaumiza watoto embu wapeni watoto relief hata kidogo jamani.. baba analala na mwanamke mwingine mama analala na wanaume mwingine kweli? mnafundisha nini hawa malaika? embu we mwanume kuwa mwanaume ondoka hapo kama ni swala la hati ya nyumba transfer kwenye majina ya watoto that all .... usiwaze kwamaba unampa faida mama waza kuwa watoto wako wanahitaji malezi mema .. kama ni wasi wasi wa mkeo kuja kutiwa ndani kwako kashatiwa hata kwabla ujamwacha.......

kuwaacha watoto kwa dada yako eti kisa nyie mnashindana kugongana kwenye nyumba yeni ni upuuzi tena upuuzi mkubwa

Miss

Chaga bigup acheni JF iitwe JF na ahsante kwa kuirejeshea hadhi JF

wahenga walisema wapambanapo mafahali wawili nyasi ndo ziumiazo

wanandoa kama mwataka kucheat kweli hakuna hata majumba mabovu ukiachilia mbali gesti na mahotel hadi ulete mtu ndani watoto waone

hivi miiko ya wahenga wetu kuwa baba na mama wakigombana basi watoto wasijue imepotea wapi?
 
siku hizi wanatumia watoto kama chambo ni huruma
 
utaishi nae kwenye shida na raha.
Na anapoanguka mwenzako mshike mkono umwinue.
Tafakari kwa kina dunia ya leo magonjwa mengi yamejaa kemkem, kubadilisha wanawake sio kutatua tatizo hapo, unajimaliza wewe mwenyewe mkuu.
Maadamu amekuomba msamaha kaeni chini myazungumze mmalize tofauti zenu na mjenge familia yenu pia.
Sawa lakini sio kwa kosa la usinzi.
 
dawa nyepesi sana ondoka wewe kaanze maisha kwingine mbona simple like that mkuu..... weka miakakati namana ya kullipia watoto ada na matunzo yote.. acheni ubinafsi vikojoleo vyenu vinawaumiza watoto embu wapeni watoto relief hata kidogo jamani.. baba analala na mwanamke mwingine mama analala na wanaume mwingine kweli? mnafundisha nini hawa malaika? embu we mwanume kuwa mwanaume ondoka hapo kama ni swala la hati ya nyumba transfer kwenye majina ya watoto that all .... usiwaze kwamaba unampa faida mama waza kuwa watoto wako wanahitaji malezi mema .. kama ni wasi wasi wa mkeo kuja kutiwa ndani kwako kashatiwa hata kwabla ujamwacha.......

kuwaacha watoto kwa dada yako eti kisa nyie mnashindana kugongana kwenye nyumba yeni ni upuuzi tena upuuzi mkubwa
Yaani umeongea Point tupu. Nadhani huyu jamaa atafuata huu ushauri.
 
Hukupaswa kulipiza baya kwa baya kwakua hiyo imeathiri hadi watoto amabao hawana hatia, cha msingi hapo ni kumsamehe ukimwekea kinyongo ni sawa na kunywa sumu ambayo itakua inakua polepole pia uwe na huruma na watoto usidhani wanajisikia vizuri kukaa kwa shangazi ni kwa vile tu hawana mbadala. Hata wewe unastahili lawama kwakua unamletea mwanamke mwingine tena mbele yake na unafanya naye huo upuuzi wenu, si bora hata yeye alifanya hivyo wakati haupo? Usijione kua wewe ni mtakatifu sana kwa hayo unayofanyia mwenzio, ebu huyo anaishi vizuri na familia yake wewe haueleweki. Hata ukioa mwanamke mwingine haitakua suluhisho. Take care mwana wane.
Mwanamke Malaya hapana jamani aende tuu
 
Nashukuru umeliona hilo, napenda mawazo kama haya, yanatia moyo sana, nikisoma coments zenu nikakutana na coment inasema neno ""samehe"" yaani natamani huyo mtoa comment angekua mbele yangu nimtwange hata vichwa vitano kwa hasira

Kuna mtu kutoka kanisani kwa ex wife aliwahi kuja kunihubiri nimsamehe huyo kahaba nilimpiga huyo jamaa hawezi kusahau alikimbia bila Viatu akipiga kelele za kuomba msaada

Nikisoma neno msamaha nasikia kichefuchefu kikali sana, hivyo naomba watu wasiliandike kabisa hilo neno
 
Wakuu habari zenu,

Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school,
nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala kwangu mara kwa mara especially weekends, akawa analala chumbani kwangu, haijajulikana hadi leo walianza lini uhusiano huo, alikua akienda kwangu kwa gia ya kuwaona wanaendeleaje.

Niliporudi, nikakuta wife kamtimua kazi house girl wetu bila maelezo ya kueleweka, nikapuuzia, baadae rafiki kipenzi wa wife wa tangu shule na ambae wanasali jumuia moja maana amepanga mitaa yetu, akaniambia kwa urefu uhusiano wa wife na mshikaji wangu, ila kwa sharti la kutomtaja whatsoever the case.

Baadae nikaona niende kumtafuta yule housegurl aliefukuzwa kazi na wife nikampata, aka confirm habari zile na kunieleza kwa kirefu na ndio kisa cha yy kufukuzwa kazi pale kwangu baada ya kumuhoji kuwa " kwanini unamfanyia shemeji matendo haya.

Baada ya kujiridhisha nikamuita wife mbele ya wazazi wake na kueleza kila kitu akabaki kimya akilia, nikamkabidhisha kwa wazee wake hapo hapo, akiwa kwao aliendelea kunibembeleza na kuniomba msamaha kwa kutuma watu mbali mbali wenye heshima, sikurudi nyuma, akasafiri kijijini kwetu kuwaona wazazi wangu na kuwaangukia, alikaa huko mwezi mzima.

Baadae wakaja wote na wazazi wangu hadi kwangu, wakasema pamoja na yote yaliyotokea niishi nae hivyo ametubu, sio ombi ni amri ndio maana wamemleta wao, moyoni nikasema najua cha kufanya, nilishindwa kuwaelewa, wanamtetea mtu ambae ameniumiza despite kuwa nilimuachia kadi ya benki awe anachukua mshahara wangu kuendesha familia, mimi kule kozi nikawa naishi kwa chakula cha kulipiwa na posho kidogo tu.

Wazazi walipoondoka tu, nikaanza kumfanyia visa na matendo mabaya ili aondoke, nikatafuta msichana wangu nikawa najiachia nae pale mtaani bila woga, nakunywa nae bar za mtaani, nikaanza kuja nae home nalala nae chumba kingine, akawa anatufanyia fujo lakini namdhibiti kiume hadi tunajifungia chumbani, nilikua nafanya haya yote ili wife aondoke lakini wapi, yupo tu, anawapigia simu wazazi kushitaki wakinipigia nawaambia huyu ni mke wenu mimi nilimtimua nyinyi mkamleta tena, ni mke wenu.

Tumeishi kwa hali hii tangu 2012 hadi sasa, yule msichana wangu akachoka hizi vurugu akaamua kuniacha, sasa nina mwingine, sina uhakika kama yupo mwanamke huko nje angeweza kuvumilia matendo niliyomtendea huyu wife, lengo ni aondoke lakini hataki kuondoka hata baada ya kumu offer kugawana mali, watoto wameathirika sana na hizi vurugu huwa nikiwapeleka kwa dada yangu wanakataa kurudi

Lakini yote haya aliyasababisha yeye kwa tamaa, nilishamueleza tangu siku ya ndoa kanisani kuwa nitakusamehe yote lakini uzinzi huwa sisamehi, sijamgusa tangu 2012.

Wadau naombeni ushauri nimtoe vipi huyu mwanamke?
Au mnadhani ipo siku naweza kusahau usaliti wake na kumpenda?

Na kama ni kumuacha ndani tutaishi hivi hadi lini?

Kuhusu watoto mnaonaje niwaache uko uko kwa dada yangu walelewe huko wasomee huko huko? Maana tangu likizo ya December wamekatalia huko hivyo school bus huwa linawafuata huko badala ya kwangu.

Nitaheshimu mawazo yenu as my last resort.

Je ulishapima HIV? Usikute mkeo huyo alikuwa keshaathirika na HIV hivyo aliona hata kama mkiachana atapata tabu, ndiyo maana anakuvumilia. Kikubwa piga chini huyo shetani. Hama kaanzishe maisha yako, huyo ni malaya. pia tupe mrejesho msalala kwetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom