brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,268
Kuna sehem umeona nimemtetea huyo mama kwa alichokifanya...kwahio mama kukosea mbele ya watoto na baba nae anafanya mbele ya watoto.... Alishindwa nini kuhama nyumba na kuwaacha watoto na mama..?alichokifanya huyo mama mbele ya watoto baba nae kafanya hicho hicho kwaio watoto wanajifunza nini....hapo ndipo mnashangaza kweli, mnamlaumu huyu jamaa kwa aliyoyafanya kwan mwanzilishi ni nan? Ww kama mwanamke utaanzaje kuingiza wanaume kwenye nyumba ya mmeo mbaya zaid unalala naye kitandan huku watoto wako wakiwa wanaiona?
Watoto watajfunza nn kwako ww mama? Achen kutetea umalaya, kama ni chuki ya watoto poa tu lakn siwez kukaa na uchafu ndan. Msitetee ujinga onyanen. Kama unajua kuna kuheshimu watoto kwann ww upakuliwe kwenye nyumba ya mmeo? Achen hizo