Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Miez mitatu kashindwa kuvumilia, huyo ni Malaya tu, mwamamke wa tabia hizo mgumu Sana kubadilika.muwe mnachunguzana vyema kabla ya kiapo
 
Kama hukuwahi kumsaliti kwa siri tangu muoane achilia mbali haya unayoyafanya kwa sasa, usimsamehe.

Lkn kama uliwahi kumsaliti kwa siri na mpaka leo hajajua nakuomba usimhukumu kiasi hicho.

Yesu alisema asiye na kosa na awe wa kwanza kurusha jiwe hakuna aliyeweza kurusha jiwe.

Mimi sikushauri kwenda kwa kiongozi wa dini wala wa kimila au kwa wazazi. Malizaneni nyie wenyewe ndani ya nyumba.

Wanawake ni hawa hawa huyo utakayemuoa badala ya kukusaliti ATAKUUA, Mark my words
 
Kama hukuwahi kumsaliti kwa siri tangu muoane achilia mbali haya unayoyafanya kwa sasa, usimsamehe.

Lkn kama uliwahi kumsaliti kwa siri na mpaka leo hajajua nakuomba usimhukumu kiasi hicho.

Yesu alisema asiye na kosa na awe wa kwanza kurusha jiwe hakuna aliyeweza kurusha jiwe.

Mimi sikushauri kwenda kwa kiongozi wa dini wala wa kimila au kwa wazazi. Malizaneni nyie wenyewe ndani ya nyumba.

Wanawake ni hawa hawa huyo utakayemuoa badala ya kukusaliti ATAKUUA, Mark my words

Tulishamalizana miaka mingi, tangu 2012 hatuna ndoa tena, sijaja hapa kuomba ushauri wa kufufua ndoa iliyokufa since 2012 nilikuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumtoa kahaba kwangu maana amekatalia kwangu tangu mwaka huo tulioachana

It is advised to read very carefully before you start attempting questions
 
Tulishamalizana miaka mingi, tangu 2012 hatuna ndoa tena, sijaja hapa kuomba ushauri wa kufufua ndoa iliyokufa since 2012 nilikuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumtoa kahaba kwangu maana amekatalia kwangu tangu mwaka huo tulioachana

It is advised to read very carefully before you start attempting questions

Duh, kama yeye kahaba kwa kutembea nje ya ndoa, sijui wewe utaitwaje kwa kufanya uasherati mbele ya watoto wako. Ulikosea sana mkuu. Kama mlifunga ndoa halali then tafuta talaka bila kusahau kuigawa hiyo nyumba pande mbili equal equal!!!!
 
Asante
Kuna watu humu mnaushauri wa kijinga sana mmekalia tu kusema asamehe saba mara sabini mara yeye hajawahi kucheat, mara sijui wanawake mnauvumilivu. Huo wote ni upumbavu. Kama ummenda kupakuliwa kwa kutegemea msamaha hyo itakula kwenu hapa ni ,mwendo wa kuwabwaga tu maana tumechoka.

Hata mm binafsi mke wangu akicheat au nikamhisi tu hapo hakuna mjadala ni kazi ya notice tu. Wanawake siku hizi hamjielewi kabisa mnawaza kubanjuliwa tu japo sio wote.

Mtoa maada kuwa na msimamo kama mwanaume hakuna kumsamehe mwondokee mwachie nyumba. Mm binafsi mwanaume anayemfumania mke wake ama anagundua mke wake amecheat halafu bado anaendelea kuishi naye huyo anakuwa na mapungufu yake au jogoo halifanyi kazi au hana uwezo wa kupata mwanamke mwingne
 
Tulishamalizana miaka mingi, tangu 2012 hatuna ndoa tena, sijaja hapa kuomba ushauri wa kufufua ndoa iliyokufa since 2012 nilikuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumtoa kahaba kwangu maana amekatalia kwangu tangu mwaka huo tulioachana

It is advised to read very carefully before you start attempting questions
Alikosea kumuingiza mwanaume ndani, that means hata uwezo wa kukua anao, kwani guest ziliisha
 
Aaah hiyo simple tu uza nyumba kajenge kwingine akitaka mgao mwambie aende mahakamani, au mwachie chumba kimoja vingine pangisha akaishi na wapangaji wewe hama nenda katafute nyumba nyingine oa kabisa kisha mtumie salamu. Hongera kwa kuvumilia kuishi na jipu kwa miaka minne
 
hahaaa maaanina hapo ingekua thread imeanzishwa na mwanamama hahaaa wangeshikilia bango mama asamehe maisha yaendelee na blablah kibao..
 
Sisi sote ni binadamu na hakuna aliye perfect..
Msahama ni adhabu kubwa sana kuliko kulipiza kisasi..
Una uhakika gani mwingine utakayempata atakuwa perfect?
Wanawake wengi tu huwafumania waume zao na kuwasamehe..
Jitahidi kusali sana..
Iombee familia yako..
Usimuache mkeo jitahidini muijenge familia..
 
huyo aliyekuwa mkeo ni kimeo yaani anamvulia chupi rafiki yako tena ndani ya nyumba yako. endelea na msimamo wako usirudi nyuma. sasa vp kuhusu matumizi hapo nyumbani
 
Unaonekana unatumia diplomasia sana ndio maana yupo mpaka sasa. ..

Badili vitasa funga nyumba ataingiaje.
 
"never argue with stupid people,they will drag you down to their level,and then beat you with experience"Mark Twain
Am off we endelea tu kuniquote,ila mimi ni mwanamke sina mboo ya kukusugua huko nyuma,pole...ukishamaliza kutumia kamusi yako ya maneno kama bitch,mavi etc utajiskia vizuri ngoja nikuachie uwanja utangaze biashara yako,wanaume wengi humu huwezi kumkosa top wako,teh
The thing about stupid pipo is that they think they are the one who r smartest in the room so i can see
Dont worry about mi being bottom ts all okay so thanks
 
Muwe na huruma mpwa.

Mtuachiage na sisi mara moja moja
Hehehe kwanza umeskia wazee wa international routes tulichowafanya watu kwao?
You are next mpwaa wembe ni ule ule i fear for u simba wa kuchora mpwa
 
Hehehe kwanza umeskia wazee wa international routes tulichowafanya watu kwao?
You are next mpwaa wembe ni ule ule i fear for u simba wa kuchora mpwa
Shauri zako.... we shauri zako. Mwaka wa mabadiliko huu!!
 
Wakuu habari zenu,

Mwaka 2012 nilienda kozi nje ya nchi kwa miezi 3 hapa hapa Africa, nyuma niliacha mke na watoto wawili walio primary school,
nikiwa kozi rafiki yangu akawa anakwenda kulala kwangu mara kwa mara especially weekends, akawa analala chumbani kwangu, haijajulikana hadi leo walianza lini uhusiano huo, alikua akienda kwangu kwa gia ya kuwaona wanaendeleaje.

Niliporudi, nikakuta wife kamtimua kazi house girl wetu bila maelezo ya kueleweka, nikapuuzia, baadae rafiki kipenzi wa wife wa tangu shule na ambae wanasali jumuia moja maana amepanga mitaa yetu, akaniambia kwa urefu uhusiano wa wife na mshikaji wangu, ila kwa sharti la kutomtaja whatsoever the case.

Baadae nikaona niende kumtafuta yule housegurl aliefukuzwa kazi na wife nikampata, aka confirm habari zile na kunieleza kwa kirefu na ndio kisa cha yy kufukuzwa kazi pale kwangu baada ya kumuhoji kuwa " kwanini unamfanyia shemeji matendo haya.

Baada ya kujiridhisha nikamuita wife mbele ya wazazi wake na kueleza kila kitu akabaki kimya akilia, nikamkabidhisha kwa wazee wake hapo hapo, akiwa kwao aliendelea kunibembeleza na kuniomba msamaha kwa kutuma watu mbali mbali wenye heshima, sikurudi nyuma, akasafiri kijijini kwetu kuwaona wazazi wangu na kuwaangukia, alikaa huko mwezi mzima.

Baadae wakaja wote na wazazi wangu hadi kwangu, wakasema pamoja na yote yaliyotokea niishi nae hivyo ametubu, sio ombi ni amri ndio maana wamemleta wao, moyoni nikasema najua cha kufanya, nilishindwa kuwaelewa, wanamtetea mtu ambae ameniumiza despite kuwa nilimuachia kadi ya benki awe anachukua mshahara wangu kuendesha familia, mimi kule kozi nikawa naishi kwa chakula cha kulipiwa na posho kidogo tu.

Wazazi walipoondoka tu, nikaanza kumfanyia visa na matendo mabaya ili aondoke, nikatafuta msichana wangu nikawa najiachia nae pale mtaani bila woga, nakunywa nae bar za mtaani, nikaanza kuja nae home nalala nae chumba kingine, akawa anatufanyia fujo lakini namdhibiti kiume hadi tunajifungia chumbani, nilikua nafanya haya yote ili wife aondoke lakini wapi, yupo tu, anawapigia simu wazazi kushitaki wakinipigia nawaambia huyu ni mke wenu mimi nilimtimua nyinyi mkamleta tena, ni mke wenu.

Tumeishi kwa hali hii tangu 2012 hadi sasa, yule msichana wangu akachoka hizi vurugu akaamua kuniacha, sasa nina mwingine, sina uhakika kama yupo mwanamke huko nje angeweza kuvumilia matendo niliyomtendea huyu wife, lengo ni aondoke lakini hataki kuondoka hata baada ya kumu offer kugawana mali, watoto wameathirika sana na hizi vurugu huwa nikiwapeleka kwa dada yangu wanakataa kurudi

Lakini yote haya aliyasababisha yeye kwa tamaa, nilishamueleza tangu siku ya ndoa kanisani kuwa nitakusamehe yote lakini uzinzi huwa sisamehi, sijamgusa tangu 2012.

Wadau naombeni ushauri nimtoe vipi huyu mwanamke?
Au mnadhani ipo siku naweza kusahau usaliti wake na kumpenda?

Na kama ni kumuacha ndani tutaishi hivi hadi lini?

Kuhusu watoto mnaonaje niwaache uko uko kwa dada yangu walelewe huko wasomee huko huko? Maana tangu likizo ya December wamekatalia huko hivyo school bus huwa linawafuata huko badala ya kwangu.

Nitaheshimu mawazo yenu as my last resort.
 
pole sana kaka,kama nakuona vile unavyovimba mimacho.
kichwa cha habari nilijua mama wako anamteteaje?
kumbe mama wa watu yuko bush,nyie mjini huku mnamsumbua tu....wala hajui kitu.
we fanya yako,uzinzi wa mkeo tupa kule maisha yaendelee....hata wewe mzinzi tu,ila hujiweki bayana.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom