Malumbano ya hoja ITV, kauli ya Baba wa Taifa kuhusu muungano

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Yupo mkinga....

Huyu mzee sometimes sijui anaongeaje!

Wakati mwingine yes wakati mwingine no!
 
Mzee Mkinga yupo makini, kwa ufupi amezungumza yafuatayo:

1. Ana kisukari takriban miaka 12 sasa
2. Ameahirisha operation ya jicho ili aje kuchangia hoja
3. Amefiwa na mama mkwe wake na ameshindwa kusafiri kwa kuwa anajidunga sindano
4. Muungano umeanza akiwa na miaka 14
5. Dr.Shein, Dr. Amani Karume na Ali Karume ni waumini wazuri wa muungano
6. Yeye ni mwana CCM safi
7. Viongozi wa chama hicho ndio wenye mapenzi ya dhati ya muungano
8. Kuongeza vipengele 10 juu ya muungano wa awali siyo tatizo kwa kuwa kuna nia njema.
9. CDM ina sera ya majimbo ambayo itaua muungano.
Hayo ndiyo ya Mzee Mkinga wana JF
 
SNdg wanabodi tafadhali nisaidieni ktk hili...UK na USA wanafuata muungano wa aina gani? waliungana vipi? aina gani ya muungano itawezesha kila nchi iweze kuwa na mamlaka kamili ?..natanguliza shukrani za awali...
 
Huyu Mkinga ana hisa IPP? Mara yupo Radio One, mara yupo ITV,,,,, hivi hakuna watanzania wenye uwezo wa kutoa hoja zaidi ya Mkinga?
 
Back
Top Bottom