TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Duh Malema! Kuna jambo la kutazama hapa.
Hiyo ni demokrasia ambayo wanaiishi Waingereza.

Fuatilia kifo cha aliyekuwa British Pm Bibi Margret Thatcher alivyokufa kulikuwa na maandamano ya vijana mitaani Uingereza kufurahia kifo chake, na walikuwa na sababu zao za kufanya hivyo.
 
Are you serious?
20220908_195041.jpg
 
Sasa unataka Malkia awe anazurua mtaani,yuko Buckingham.palace akichapa kazi.
Sitaki kucheka kwani bado naomboleza
Ngoja tumzike baada ya siku 10
Hebu angalia wenzetu walianza kuongelea bado akiwa hai kuwa je akifa nani atakuwa Mfalme

Na yeye alibariki na kumpa Charles awe Mfalme

Waafrika wanaogopa sana kifo especially viongozi
Hivi angesema Rais anaumwa angepungukiwa nini
 
Mkuu ugonjwa wa malkia haukutangazwa siku nyingi ni jana tu na kisha msiba. Au kuna sehemu walitangaza wiki iliyopita? naomba link

Pia hakukua na wapinzani waliokua wanamfata fata na kzodoa malkia na kuuliza uliza alipo

Kifo kinaogopwa na mtu yeyote yule. Kuna tofauti kati ya ufalme na urais mfalme wanarithi na Charles ilikua haki yake hata bila baraka za malkia,angeukata tu Charles angeutwaa uking kama sio yeye vasi william na dunia nzima ililijua hilo mapema wala sio suprise. Na kwa Tanzania rais akiukata tu naibu anakua rais na hio iko wazi kwenye katiba haijafichwa
Sitaki kucheka kwani bado naomboleza
Ngoja tumzike baada ya siku 10
Hebu angalia wenzetu walianza kuongelea bado akiwa hai kuwa je akifa nani atakuwa Mfalme

Na yeye alibariki na kumpa Charles awe Mfalme

Waafrika wanaogopa sana kifo especially viongozi
Hivi angesema Rais anaumwa angepungukiwa nini
 
Sio kenge mkuu ni maoni yao yaheshimiwe maana hata waingereza nao wanaonekana kuuchoka utawala wa kifalme sema malkia alikua superwoman mwenye fans wengi hivyo wanaofatia wasipokua ngangari watashindwa kuiendeleza legacy
Halafu Bado Kuna Kenge wanalazimisha mataifa mengine yaachane na ufalme
 
Nawasubiri wazee wa conspiracy za illuminati na freemason najua watakuja na stori zao
 
Hatimaye Illuminat wamepoteza moja ya member wao mkubwa. Taarifa njema kwangu
Pambana na umasikini wako, huo muda unaopoteza kusikiliza/kutazama CD za maustaadhi wasio na uelewa wowote utaukumbuka uzeeni.
 
Back
Top Bottom