TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Mkuu stress gan wakat hachaguliwi na wananchi,bibi yangu stress zake angemuazima malkia ,nafikir hats malkia asingefikisha miaka 50 ,huku kwetu jua linachoma had mifuko
Huku ni matumizi ya nguvu tu kama huyo bibi yako. Si unaona hata wajukuu wake shida tupu.

Yule kijana wake Andrew shida tu, mjukuu wake Harry ndiyo hivyo ameamua kuoa mjane coloured, huku uchumi ukiwa katika hali ngumu. Anatawala kwa remote (vitu vingi lazima vipate go ahead kutoka kwake kabla ya utekelezaji)
 
Operation London Bridge. Hii ni codename kuhusu mambo yote yatakayohusu msiba wa Malkia Elizabeth wa II pindi akifariki.

Kuna tetesi kutoka huko katika kasri la Buckingham Palace kuwa hali ya Malkia ni tete na amelazwa ICU.

Tetesi nyingine zinasema ameshafariki, hivyo kwasasa ni taratibu zinaendelea kuwekwa sawq ili dunia itangaziwe msiba huo mzito.

Ikumbukwe, Malkia Elizabeth wa II mwenye umri wq miaka 96, alipata wadhifa huo mwaka 1952 mpaka leo yupo madarakani.

Endapo atafariki, mwanae Prince Charles atarithi kiti hiko.

Shirika la utangazaji la Uingereza, BBC wametangaza kuacha kutoa taarifa za hali ya afya ya Malkia mpaka hapo baadae.

Tuendelee kusikilizia hapa kwa live updates...
Msiba huo mzito?
 
Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake.
Tulia uandike vzr, hicho kichwa cha hbr ni matokeo ya kukurupuka kutaka kuwa wa kwanza kutoa hbr.
 
Kwa kweli dear Bibi kaniumiza sana
Nimechoka sana ila ningeenda Buckingham Palace

Kesho nina safari ya kwenda Man na kurudi ila kesho kutwa nitakuwa Windsor nikatoe pole kwa wananchi wa pale

Halafu nilikuwa Tz ndio nimerudi yaani tuko busy kama bibi mwisho kufa tu
Anyway tupeane pole
Kesho Charles anakuja London namsubiri
Poleeeee! kila mwenye huruma lazima aumizwe na kifo cha mtu, mpaka nikajikuta naomba Mungu amfikishe mama yangu umri huo.
RIP BIBI.
Niwakilishe kutoa polee.

N.B Unakumbuka one time nilichokutumaga hapo palace? Umekuwa mzembe unastahili viboko😊 ona sasa bibi kashasepa mambo yatabalika, hiyo connection kisha😭😭😭😭
 
Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
bibi ako hata kijiji hakimtambui hana kazi zaidi ya kutafuna mihogo, acha aendelee kua mzigo kwenye familia
 
Ila tuacheni masihara kuna binadamu wanakua na uzoefu wa pepo ,tangu duniani .mfano huyu malkia akafanikiwa kwenda peponi hatashangaa sana ,maana pepo kaila kweli.ila kuna wengine tumezoea kuungua shida tukifika jehanamu barida tuu,ila tukibahatisha peponi kwanza ntazimia miaka 10000 ,samaanini tunachangamshana
pepo ya nani uyu ataingia? msifanye mchezo na pepo
 
Back
Top Bottom