Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,161
- 1,493
Ni miaka nane sasa imefika toka kuazishwa kwa tuzo hizi za heshima kwa kutambua mchango wa Malikia wa nguvu katika Jamii.
Hongereni wote waliopata jana, walistahili.
Kwa kuwa Clouds Media ni Chombo kikubwa, ikiwapendeza mwakani shirikianeni na mkuu Maxence Melo na JF kufikia Malikia wengi wanaofanya vizuri.
Kwa mwaka huu wapo wengi waliofanya vizuri, ikiwa ni pamoja na waliopata tuzo, ila yupo pia Flavian Matata akiwa na Taasisi yake ya FMF.
Kwa uchache saana, ila amefanya makubwa kwa Watoto wa kike.
1. Amejenga matundu ya vyoo katika baadhi ya shule za Sekondari mfano ni shule moja huko Njombe amejenga matundu ya vyoo 12, chumba cha Wanafunzi wenye mahitaji Maalum.
2. Ameshirikiana na Taasisi za Serikali kujenga nyumba za Walimu.
3. Kuna Watoto wengi wanasomeshwa/ kupata mahitaji ya shule kupitia FMF
4. Katika Biashara yake ( not sure na product yake) asilimia 10 ya kinachouzwa kinaenda FMF kusaidia watoto wa kike.
5. Anaendelea kugawa Pedi na kutoa Elimu kwa Watoto wa kike kuhakikisha hawakatishi masomo kwa changamoto zozote zile.
6....
Hongera Clouds Media na Kusaga kwa kuendelea kuthamini Mchango wa Wanawake katika kuendeleza Taifa la Tanzania.
Hongera Malikia wote wa nguvu, na Mwenyezi Mungu awabariki saana.
Hongera Malikia wa nguvu namba moja, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha miradi yote ya Maendeleo inatekelezwa.
Mungu ibariki Tanzania