Tuzo za Malkia wa Nguvu zinahitaji marekebisho

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
783
525
Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki;

Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu zaidi kumtia moyo ili wengine pia wawe inspired kufanya, hawa watangulizi wetu ambao wanabaki kama icon watumike katika kuvitia moyo vipaji vipya aidha kwa kushriki kutoa tuzo, team yako itambue vpaji vipya kwa maana wakpo wengi wanaofanya mengi ambayo hayajatanbuliwa.

Kama ambavyo kuna hoja ya wanaume kuachwa na kila kitu ni mwanamke, Clouds njooni ubunifu mpya wa kutoa tuzo kwa genda mwakani tuone Malkia na Balikia kwa kila category. Natoa hoja.
 
Tuzo mda mwingine zinawekwaga ki'politics'.. yani wanaotaka excitement au isheheni mirindimo. Ndo mana wanachagua wale watu watakaoleta vibess.

Narudia kuwa tuzo zinabebaga politics ndani yake. Wengine sio kama washindi, ila watoa tuzo wanazingatia mirindimo
 
Yes,
Nimekua excited na mkuu wa chuo Cha ulinzi (NDC)

Dr. Lucy Shule

img_1_1711386343366_1711386501133.jpg
 
Yes,
Nimekua excited na mkuu wa chuo Cha ulinzi (NDC)

Dr. Lucy Shule
Sijaju amkuu hizo categories wamezigawa vipi kwa hao wanawake wa nguvu huko clouds.. mimi sio mhusika wa Moja kwa Moja lakini nilishawahi kuhusika kwenye hizi ishu miaka kadhaa nyuma.

Kwan wanatumia mfumo wa nominations au wanachagua watu kadhaa alafu wanaiweka majina Yao kama contestants ili wapigie kura?
 
Back
Top Bottom