Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa

nani kaanzisha hoja is irrelevant!
sasa hata kama ccm walianzisha hoja hiyo ndo iweje?
katika suala la ufisadi kuanzisha hoja kuna umuhimu wake lakini kumaliza hoja ni muhimu zaidi.
waache kujibabaisha, watoe jawabu la nini kinafanyika kwa mafisadi
 
Michezo michafu!
Halafu wamekanusha kuwa pesa hazijarudishwa kwani wameshagundua kuwa kurudishwa kwa pesa ni kukiri wizi ama kosa la jinai!
CHANGA LA MACHO JINGINE!
 
Muda wa kufikiri umekwisha!
Huu ni muda wa hatua za kisheria kabla hawajaanza kupotea kama ballali!

Mzee Malecela amekosea kwa hili. Tunafahamu kuwa ukiongea ufisadi unaongelea CCM! Lakini anachotakiwa kuchukuwa kwenye hotuba ya Dr. Slaa ni kwamba ukiacha zile hoja za ufisadi za zamani ambazo uchunguzi wake umeanza, zipo ambazo hazijapata majibu kama za Benja Mwizi na wezi wenzake wa Deep Green etc. Sasa kusema hoja hizo ni za CCM anajaribu kusema kuwa mtu mwingine hana haki ya kuuliza kuhusu ufisadi huo? ifike wakati ajione kuwa yuko out of place kwani wenzake waliowahi kuwa maPM wamepumzika na kula pensheni yeye ameng'ang'ania Mtera ka vile Mugabe anavyong'ang'ania Zimbabwe!
 
Hii issue si ya CCM wala upinzani, ni ya wananchi.

Anayeanza kusema hii ni ya CCM au upinzani anaonyesha jinsi gani alivyopoteza focus na priority na kutaka kupata "points" badala ya kutatua tatizo.
 
Ukiingia msituni na panga lako utaenda kufyeka miti ama? tukumbuke kwamba tunahamasishwa kutunza mazingira.

Vita ya safari hii ni vita ya Hoja, na Nguvu ya Hoja... ni vita ya kupigania Demokrasia, vita ya kuuacha ukweli ufahamike na kuweka ukweli wazi ili kila Mtanzania afahamu thamani ya Utu na Utanzania wake.

Vita ambayo tutashinda siku ile ambapo tutaamka na kupiga kura ambayo itatuhakikishia kwamba tunajiongoza wenyewe.... na tutakapoacha kupiga kura ya kula.

Acha unafiki wewe mzozo!
Nani anasapoti kauli chafu?
Watu tunasonga mbele na wengine mnaanza unafiki wenu kama kawa!
 
Hii issue si ya CCM wala upinzani, ni ya wananchi.

Anayeanza kusema hii ni ya CCM au upinzani anaonyesha jinsi gani alivyopoteza focus na priority na kutaka kupata "points" badala ya kutatua tatizo.

Hii issue ni ya wananchi na wazalendo...Ambao sasa wanajulikana!
Ama unataka kujidai umesahau CYINIST..OOPS PUNDIT!
Pardon ma language!
 
Hii issue ni ya wananchi na wazalendo...Ambao sasa wanajulikana!
Ama unataka kujidai umesahau CYINIST..OOPS PUNDIT!
Pardon ma language!

I'm a realist

As George Carlin would have it, the real cynics are the one putting their trust in these politicians.
 
I'm a realist

As George Carlin would have it, the real cynist are the one putting their trust in these politicians.

Not me!
Mi nachambua tu hapa!
Wapi hapo umeona nimemsapoti politician wakati huu?
Hapa tunakata issue!
Kama ningejali pundits nad cynists..Ningetangaza kujitoa jf kama Mchambuzi..Halafu unadhani sura ya mchezo ingekuwa hivi?
Jf ni kioo cha jamii na viongozi wa kambi zote wako hapa wakati tunakata issue!
Upande wa ccm ukishinda kwa hoja...SAWA WAPEWE NCHI!
Upande wa wazalendo ukishinda pia wapewe nchi kwa niaba ya watanzania!
 
Acha unafiki wewe mzozo!
Nani anasapoti kauli chafu?
Watu tunasonga mbele na wengine mnaanza unafiki wenu kama kawa!

kulikuwa na haja gani ya kurusha kauli kama hizi? mushi una mdomo mchafu......yes i have said it!
 
Ulimfukuza Mchambuzi!
Ulimjengea hoja za KIFISADI!
WE NDIO FISADI ULIYETUMWA!
MCHAMBUZI RUDI KWANI NIMEPIGA!
 
I'm a realist

As George Carlin would have it, the real cynics are the one putting their trust in these politicians.

Realist!!! And who is an idealist in this context?? I thought most of us here are idealists trying to shape the Tanganyika we want!! Just thinking aloud!
 
kulikuwa na haja gani ya kurusha kauli kama hizi? mushi una mdomo mchafu......yes i have said it!

Hapa ni kijweni!
Kauli ipi hiyo chafu?
Gaijin hakuna atakayeweza kujificha tena!
USHAHIDI UKO NJE NA WATU WAKAMATWE NA SI KUANZA HOJA ZA HOJA NI YA NANI!
 
Mawakala wa mafisadi mmerudi!
Umelala muda mrefu sana!
Mimi HAKUNA KULALA!

Jmushi1,

Naomba nikwambie hili once and for all, sitaki kujibizana nawewe katika lolote lile. Samahani iwapo hili litakuudhi lakini nitajibu hoja zako na sio kugombana nawe kwa majina.

Kama hili ndilo unalotafuta basi ujue kuwa huko siko maana nia yako hapa JF na kwa Tanzania sio nzuri kabisa.

Asante.
 
Hapa ni kijweni!
Kauli ipi hiyo chafu?
Gaijin hakuna atakayeweza kujificha tena!
USHAHIDI UKO NJE NA WATU WAKAMATWE NA SI KUANZA HOJA ZA HOJA NI YA NANI!

kumbe wewe hapa unapachukulia kama kijiwe ndio maana unatoa kauli unazotaka mwenyewe eee!

kumwita mtu "mnafik" unaona kauli safi wakati mtu hajakukera pahali. acha hizo dogo. haipendezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom