Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malecela nyie mwacheni alikuwa anatafuta jinsi ya kuktetea wife.Isitoshe inabidi tujiulize beef la mke wa MAlecela Mke wa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Mke wa Msekwa Mwenyekiti wa Sasa Wa CCM.Hapo kuna kitu......LADBA KWA MSISITIZO NAWEZA KUWAKUMBUSHA KUWA WAKATI SWALA LA EPA LINALETWA BUNGENI NA LA ZITO KABWEPIA KUHUSU KARAMAGI CCM WALIKAA KIKAO NA KUWEKA MIPANGO KAMAMBE YA KUWAMALIZA WAPINZANI,NDO AKAANZA YULE ALIYEKATWA MKONO(MUDHIHIRI) AKAJA MAMA MANYANYA STELLA HUYU ALIKUWA HAJAPANGWA ILA WALIJUA KAMA KAWAIDA YAO WANAWAKE KUWATETEA WAKUBWA ZAO AKAWAGEUKA.NDIPO WAKMSIMAMISHA MKUBWA WAO MALECELA AKAMALIZA KWA KUSEMA WAKINA ZITO NA WENZAKE NI WAHONGO NA WAFUKUZWE BUNGENI,Kwa ufupi isingekuwa kauli ya MAlecela Zito asingefukuzwa Bungeni.Pengine labda Uzee unamsumbua anasahau...Lakini Uzee waliaema Ni DAwa....
kama wanagombania kuwa wameianzisha, basi waimalizie mara moja. Wananchi tupate haki yetu.
Jamani, This is Becoming a problem!!!!!
Hoja muhimu kama hii, unakuta almost 4 pages ni ubishani wa jmushi1 kuhusu mambo ambayo hayana mtiririko wa hoja, sasa hii inatupotezea muda mrefu sana kusoma topics nyingi humu ndani kwani mtu unatumia unnecessary time kudeal na hiyo GIGO ya jmushi1.
Nothing can be done wazee au ni mimi mwenyewe ndio napata hii shida????
Jamani, This is Becoming a problem!!!!!
Hoja muhimu kama hii, unakuta almost 4 pages ni ubishani wa jmushi1 kuhusu mambo ambayo hayana mtiririko wa hoja, sasa hii inatupotezea muda mrefu sana kusoma topics nyingi humu ndani kwani mtu unatumia unnecessary time kudeal na hiyo GIGO ya jmushi1.
Nothing can be done wazee au ni mimi mwenyewe ndio napata hii shida????
Unaogopa sana panga wewe? we endelea tu kusuport hao mafisadi halafu ukisikia panga unaruka , mwisho wa uwovu ni panga tu. kama hutaki mapanga jiuenge na sisi tunaotaka mageuzi bungeni kwa njia ya halali.
mbona sisi tuko mbele kulikoni nyinyi mnasema sisi tunatenda kwa vitendo tunawatumikia wananchi kwa ari na nguvu na kasi mpya mwenye wivu ajinyonge
Msimamo wangu kuwa mafisadi wakamatwe ndio msimamo wa wananchi!
sasa nyie mnaotaka kuni attack personally mtaumbuka!
Nakufahamu gaijin!
Najua una ushabiki wa watu flani flani!
Mimi sina!
Niko hapa kwa wakati wa Mungu!
Nakata issues!
Ningekuwa na haja ningekuwa nawapigia simu hao vigogo kama wengine wafanyavyo!
Sina haja hiyo kwasababu nimezisoma RIPOTI ZOTE NA SASA UKWELI UMWENIWEKA HURU!
MAFISADI WAKAMATWE MARA MOJA!
Huwa, nakataa 99% ya anavyovisema jamaa, na hasa style yake ya majadiliano pale anapokuwa cornered ku defend "dataz" zake kwa wale tunaokataa kuzibugia bugia kama maji ya sharbati.
Angalieni tusifanye kama malecela na ccm. Alichoafanya mzee huyu na wenzake ni kutaka kupindisha zile nondo zolizotolea na slaa kwa kuleta itikadi. Tuache kutajana majina na tujadili hoja
Kwenye hili mzee amekosea sana, originally hoja ya mafisadi ilianzishwa na Dr. Slaa hilo halina ubishi, yeye alichotakiwa kusema ni CCM na serikali zimefanya nini about it zaidi tu ya kamati zisizoisha na hakuna matokeo, sasa ni haki ya Dr. Slaaa kuuliza wazi kuwa CCM wamefikia wapi na hili la ufisadi maana wananchi hatuoni kilichofanyika on a serious note!
Kumbe ndio maana wanazima TV huko? Na huyu Chitalilo naye yumo kule nini?
tangu awali nilikuwa skeptic na haya maneno ya anna kilango.
most probably ccm was just buying the ufisadi show. .....time will tell, lakini wasi wasi wangu ni kwa mara nyengine tena ccm imeshinda kwenye propaganda, na kutuuzia anna kilango kwa ngozi ya kondoo kumbe fisi.
malichela is losing it, or maybe they just want to divert attention mpaka muda wa kikao kimalize mambo ya maana yasijadiliwe.