Malecela angeukwaa urais ingekuwaje?

Bibi Ntilie said:
Sidhani kwamba SAS anamiliki biashara ama kampuni inayoweza kusababisha aonekane hafai kuwa kiongozi! Mzee huyu ni nambari wani kwa uadilifu! Anazo kumbukumbu za kila senti anayopokea/inayoingia/inakotoka na anayotumia/inayotoka/inakokwenda. Kuna binadamu waadilifu Tanzania hii, bwana. Tatizo Tanzania wenye macho ya kuona na kutambua 'almasi' ni wachache!

Bibi Ntilie,

..kuna mambo fulani yalikuwa yakitokea Makutopora JKT ambayo Salim anatuhumiwa kuhusika nayo. naogopa kuyasema hapa nisije nikafungiwa bure.

..kulingana na tuhuma hizo, Salim hana maadili hata kidogo.
 
Wakuu zangu,
Kwanza samahani sana kuingilia mjadala ambao upo katikati.. Hivi mnapojiuliza Kama Malecela angekuwa rais ingekuwaje! mnajaribu kusema kitu gani maanake nashindwa kabisa kuliweka swala hili akilini. Kwangu binafsi ni sawa na mwanamke anayejiuliza kama ningeolewa na fulani ingekuwaje!.. sijui hizo hisia zinatoka kitandani, hali na mali ya maisha ama kitu gani..

Huyu Malecela mnamtazama kwa kitu gani hasa - Kwa kutazama maendeleo ya mtu huyo, biography ya mtu huyo, mafanikio ya mtu huyo au mapungufu ya mtu huyo..
Hapa nikiwa namaana maisha ya Uongozi hayawezi kupimwa kwa dhana..unless unacho kipimo cha Tanzania iko vipi, na ingekuwa vipi kulingana na mtu huyo..navyoelewa mimi hadi sasa hivi Tanzania inapimwa kutokana na viongozi waliopo/tangulia. Hakuna kati yetu alioyejua Tanzania ingekuwa vipi wakati Mwinyi akiingia madarakani! Mkapa au Kikwete isipokuwa tumekuja gundua kuwa wote ni BOMU na sijui niseme Tanzania imekuwaje kwa kila mmoja wao...
This country is goin' down the drain na sijui ktk hilo drainage tutaweza vipi kupima mazuri wakati ni harufu tupu na mwisho wa drainage unajulikana..

Labda mnambie mnachokusudia ni kumrudisha hapa FMES ambaye kwa hakika hivi sasa kijiwe kimeota majani, hakuna habari mpya... Yaani tumefikia hata kujadili mzee Malecela na Salim hawa babu zenu - Watu ambao ni generation ya Nyerere! Haya Jokakuu anataka kumvua mzee wa watu hadharani wakati aliyoyafanya yamefanywa na wazee wetu Pamoja na viongozi wote Tanzania..
Ama kweli vijana mnakosa adabu..
 
Malecela angekuwa Rais Tanzania ingejiunga na OIC mapema sana kwani huyu Bw anaitwa Juma Samwel Malecela
 
Thanks Mkandara...shule tosha umeitoa, sasa kama ungeRetire ama kuaga hapa tungekosa hili. wale walioretire ama kuondoka kwa kuaga tunaomba warudi. Michango yao ilikuwa ni changamoto katika mapambano ya kifikra. Thanks MKandara, together we can

Ushi
 
Wakuu zangu,
Kwanza samahani sana kuingilia mjadala ambao upo katikati.. Hivi mnapojiuliza Kama Malecela angekuwa rais ingekuwaje! mnajaribu kusema kitu gani maanake nashindwa kabisa kuliweka swala hili akilini. Kwangu binafsi ni sawa na mwanamke anayejiuliza kama ningeolewa na fulani ingekuwaje!.. sijui hizo hisia zinatoka kitandani, hali na mali ya maisha ama kitu gani..

Huyu Malecela mnamtazama kwa kitu gani hasa - Kwa kutazama maendeleo ya mtu huyo, biography ya mtu huyo, mafanikio ya mtu huyo au mapungufu ya mtu huyo..
Hapa nikiwa namaana maisha ya Uongozi hayawezi kupimwa kwa dhana..unless unacho kipimo cha Tanzania iko vipi, na ingekuwa vipi kulingana na mtu huyo..navyoelewa mimi hadi sasa hivi Tanzania inapimwa kutokana na viongozi waliopo/tangulia. Hakuna kati yetu alioyejua Tanzania ingekuwa vipi wakati Mwinyi akiingia madarakani! Mkapa au Kikwete isipokuwa tumekuja gundua kuwa wote ni BOMU na sijui niseme Tanzania imekuwaje kwa kila mmoja wao...
This country is goin' down the drain na sijui ktk hilo drainage tutaweza vipi kupima mazuri wakati ni harufu tupu na mwisho wa drainage unajulikana..

Labda mnambie mnachokusudia ni kumrudisha hapa FMES ambaye kwa hakika hivi sasa kijiwe kimeota majani, hakuna habari mpya... Yaani tumefikia hata kujadili mzee Malecela na Salim hawa babu zenu - Watu ambao ni generation ya Nyerere! Haya Jokakuu anataka kumvua mzee wa watu hadharani wakati aliyoyafanya yamefanywa na wazee wetu Pamoja na viongozi wote Tanzania..
Ama kweli vijana mnakosa adabu..

Nafikiri uisome thread ndo utaelewa misingi ya watu kujadili hivi.Na kwani kuna shida gani hata kama watu watajadili,kujadili kunaonesha uwezo wa mtu wakufikiri! Tusiwe wavivu wakufikiri!
 
Bibi Ntilie,

..kuna mambo fulani yalikuwa yakitokea Makutopora JKT ambayo Salim anatuhumiwa kuhusika nayo. naogopa kuyasema hapa nisije nikafungiwa bure.

..kulingana na tuhuma hizo, Salim hana maadili hata kidogo.

Wow wow wow!! Umesema kulingana na tuhuma....sasa kama ni tuhuma tu inakuwaje anakuwa hana maadili? Kutuhumiwa na kuthibitishwa kuwa ni kweli ni vitu tofauti kabisa. Leo hii mimi ninaweza kukutuhumu wewe kuwa fisadi....je ina maana wewe ni fisadi wa kweli?
 
Nyani Ngabu said:

Nyani Ngabu,

..nimezungumza kwa kutumia lugha ya kiutu uzima.

..tena bado hujaongeza matatizo yake na Balozi mmoja jina lake linaanzia na M.

..nasisitiza kwamba naogopa kufungiwa.
 
Wewe una uoga hewa....kama unaogopa hivyo basi penyeza hizo "ze dataz" kwenye PM halafu watu watajiandikisha kwa majina mengine na kuzimwaga hapa. Au hata wewe unaweza kwenda Library ukajiandikisha kwa jingine na kuzimwaga hapa....
 
Nyani Ngabu,

..mbona "ze dataz" zenyewe kila mtu anazijua?

..si umeona Bibi Ntilie mwenyewe kakimbia?
 
Mazee,

Kama huwezi kusema kaa kimya.Siyo unasema nusu nusu.Hapa ndipo "Where we dare talk openly"

Anaongelewa mungu nje ndani, itakuwa Malecela?
 
Anachoogopa ni kumwaga "ze dataz" za Salim....sijui anaogopea nini?
 
Tukumbushane tu kwamba hii thread inahusu Malecela. Sikonge alipoingiza jina la SAS nikashawishika kuandika ninachojua kuhusu Mzee huyo. Hakuna binadamu asiye na mapungufu lakini uchache wa mapungufu ndio uadilifu!
 
Bibi Ntilie said:
Tukumbushane tu kwamba hii thread inahusu Malecela. Sikonge alipoingiza jina la SAS nikashawishika kuandika ninachojua kuhusu Mzee huyo. Hakuna binadamu asiye na mapungufu lakini uchache wa mapungufu ndio uadilifu!

Bibi Ntilie,

..asante sana. tumeyamaliza.

..manaake Nyani Ngabu na Pundit walikuwa wananichokoza ili nifungiwe.
 
Hamna mtu atakayekufungia kwa kusema ukweli, na penye ukweli uongo hujitenga.

Wewe kama joga unaogopa kivuli chako sema, lakini atakayekufungia kwa kusema ukweli atajifungia mwenyewe zaidi kuliko atakavyokufungia wewe.

Haya sema, Salim aliwafanya nini Makutupora? Usiposema bonge la mzushi, kwa sababu utakuwa umesha create images kibao ambazo hazifai, nyingine zinaweza kuwa mbaya hata kuzidi hayo aliyofanya kama kuna lolote alilofanya.
 
Bibi Ntilie,

..asante sana. tumeyamaliza.

..manaake Nyani Ngabu na Pundit walikuwa wananichokoza ili nifungiwe.

Wewe umesema jamaa hana maadili kwa sababu ana tuhuma dhidi yake....zimwage hizo "ze dataz".....kwa nini unazibania?
 
Pundit,Nyani Ngabu,

..hivi nyinyi mna umri gani lakini?

..mbona Bibi Ntilie amenielewa na kuamua kuyamaliza?

..thread hii ni ya CYGWIYEMWISI JOHN MALECELA. masuala ya SAS yalikuwa ni side show tu.

..naomba turudi kwenye mada kuu.
 
Bibi Ntilie kasema kila binadamu ana mapungufu na mapungufu machache ndio uadilifu. Wewe umesema kulingana na tuhuma za Salim...yeye (Salim) siyo mwadilifu....ulichosema wewe na Bibi Ntilie ni vitu viwili tofauti kabisa....

Mwaga hizo "ze dataz" hapa....
 
Pundit,Nyani Ngabu,

..hivi nyinyi mna umri gani lakini?

..mbona Bibi Ntilie amenielewa na kuamua kuyamaliza?

..thread hii ni ya CYGWIYEMWISI JOHN MALECELA. masuala ya SAS yalikuwa ni side show tu.

..naomba turudi kwenye mada kuu.

Kama huwezi kumwaga data futa kauli zako za scandals za SAS. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuoga. Reputation ya mtu ni kitu muhimu sana, sasa kama unaweza kumwaga nondo mwaga, kama huwezi ondoa statements zote zilizo malicious, ama sivyo utakuwa mzushi tu.

Na swala la umri liko irrelevant kabisa hapa.
 
Pundit,Nyani Ngabu,

..hivi nyinyi mna umri gani lakini?

..mbona Bibi Ntilie amenielewa na kuamua kuyamaliza?

..thread hii ni ya CYGWIYEMWISI JOHN MALECELA. masuala ya SAS yalikuwa ni side show tu.

..naomba turudi kwenye mada kuu.

Usitake kukimbia hapa.....

Vipi nikianzisha thread ya SAS utakuja huko na kuzimwaga hizo "ze dataz"...?
 
Back
Top Bottom