Malawi wamelianzisha je na sisi tulianzishe?

Furusha kureeeeeee viongozi wote wabovu wabovu, tupa mto msimbazi wooote wanatunyonya tuuuuuuu
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?
uwezo wako wa kufikiria umeishia takoni
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?
Mkuu! Machafuko in tz is inevitable hata usipoyashabikia. Soma historia utagundua kuwa hakuna nchi kat ya zilizoendelea ambayo haikupata machafuko, soma historia ya China,Marekan,Russia,German na nyingine nying zilizoendelea utagundua.
 
Back
Top Bottom