Malawi wamelianzisha je na sisi tulianzishe?

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
[h=1]Machafuko yazuka mjini Lilongwe Malawi[/h]
Machafuko yamezuka mji mkuu wa Malawi, Lilongwe, wakati makundi ya upinzani yakipinga serikali ya Rais Bingu wa Mutharika.
110427171145_binguwamutharika_malawi_466x262_pa.jpg
Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi

Mwandishi wa BBC mjini Lolongwe Joel Nkhoma, amesema waandamanaji walikuwa wanachoma vizuizi barabarani na kupora.
Serikali imezuia radio kutangaza moja kwa moja ghasia hizo.
Matatizo yalianza baada ya mahakama kutoa hukumu siku ya Jumanne kwamba maandamano ya nchi nzima, yaliyoitishwa kupinga kupanda gharama za maisha, ni haramu.
Mwandishi wa BBC amesema licha ya uamuzi huo wa mahakama, maandamano pia yamefanyika katika mji mkuu wa kibiashara Blantyre, na katika mji wa kaskazini wa Mzuzu.
Lakini hali imekuwa mbaya zaidi mjini Lilongwe, ambapo waandamanaji wenye hasira walikuwa wakipiga kelele, "Mutharika aondoke", amesema mwandishi wetu.
Mwandishi huyo amesema polisi walifyatua mabomu ya kutoa machozi na wameweka vizuizi barabarani kuzuia waandamanaji kuingia katikati ya mji wa Lilongwe, ambapo maduka yote yamefungwa na mitaani hakuna watu.
Kwa mujibu wa mwandishi wetu ghasia zipo zaidi katika miji midogo iliyo karibu na Lilongwe ya Biwi, Kawale na Nchesi.
Kumekuwa na majibizano ya kushambuliana kati ya polisi na waandamaji, kwa mujibu wa msemaji wa Tume ya Haki za Binadamu ya Malawi Mike Chipalasa.
"Watu wana hasira sana. Hali si nzuri hapa," amesema.
Duka linalomilikiwa na Mbunge kutoka chama kinachotawala cha Democratic Progressive Party (DPP) na ghala la mfanyabiashara mwenye uhusiano na Rais Mutharika yameporwa kwa mujibu wa mwandishi wa BBC.
Pia kuna taarifa za kuchomwa moto nyumba za askari polisi watatu mjini Lilongwe.
Polisi pia wamezuia kamera ya mpiga picha mmoja aliyekuwa akipiga picha maandamano hayo.
Kuna taarifa nyingine zinasema polisi walimpiga risasi sikioni mwandamanaji mmoja, wakati mali ya waziri mmoja iliposhambuliwa.
Maandamano hayo yaliitishwa kupinga kupanda bei ya mafuta, upungufu wa hazina ya fedha za kigeni, kukosekana utawala bora na uhusiano mbaya wa kimataifa.
Wiki iliyopita Uingereza ilisimamisha misaada kwa Malawi baada ya kutokea mzozo wa kidiplomaisa na serikali ya Mutharika.
Uingereza iliishutumu Malawi kwa kushindwa kusimamia uchumi na haki za binadamu.
Hivi karibuni serikali ilipitisha hatua za kubana matumizi, ikapandisha kodi na kupunguza utegemezi wa misaada.
Malawi ni moja ya zilizo masikini sana duniani, ikikadiriwa asilimia 75 ya watu wa nchi hiyo wanaishi chini ya dola moja kwa siku.
My take:Kwa serikali ,ukiona mwenzako akinyolewa tia maji!
 
Ubinafsi umetutawala ndio maana unaona watumishi wa serikali wanawaza kupata mishahara mikubwa tu! siyo mapinduzi ya kiitikadi, CCM itawaongezea mshahara wakati wa kampeni alafu utaona wanavyoipigia CCM kampeni kwa nguvu zao zote 2015.
 
Hiyo ni libeneke ya nguvu, lakini kila kitu kina chanzo, huu moshi unaofuka ni hatari pia kwetu, ngoja tuone!!!!!!!!!!Angalia hapo kwenye red!!!!!!!!
 
[h=1]machafuko yazuka mjini lilongwe malawi[/h]
machafuko yamezuka mji mkuu wa malawi, lilongwe, wakati makundi ya upinzani yakipinga serikali ya rais bingu wa mutharika.
110427171145_binguwamutharika_malawi_466x262_pa.jpg
rais bingu wa mutharika wa malawi

mwandishi wa bbc mjini lolongwe joel nkhoma, amesema waandamanaji walikuwa wanachoma vizuizi barabarani na kupora.
Serikali imezuia radio kutangaza moja kwa moja ghasia hizo.
Matatizo yalianza baada ya mahakama kutoa hukumu siku ya jumanne kwamba maandamano ya nchi nzima, yaliyoitishwa kupinga kupanda gharama za maisha, ni haramu.
Mwandishi wa bbc amesema licha ya uamuzi huo wa mahakama, maandamano pia yamefanyika katika mji mkuu wa kibiashara blantyre, na katika mji wa kaskazini wa mzuzu.
Lakini hali imekuwa mbaya zaidi mjini lilongwe, ambapo waandamanaji wenye hasira walikuwa wakipiga kelele, "mutharika aondoke", amesema mwandishi wetu.
Mwandishi huyo amesema polisi walifyatua mabomu ya kutoa machozi na wameweka vizuizi barabarani kuzuia waandamanaji kuingia katikati ya mji wa lilongwe, ambapo maduka yote yamefungwa na mitaani hakuna watu.
Kwa mujibu wa mwandishi wetu ghasia zipo zaidi katika miji midogo iliyo karibu na lilongwe ya biwi, kawale na nchesi.
Kumekuwa na majibizano ya kushambuliana kati ya polisi na waandamaji, kwa mujibu wa msemaji wa tume ya haki za binadamu ya malawi mike chipalasa.
"watu wana hasira sana. Hali si nzuri hapa," amesema.
Duka linalomilikiwa na mbunge kutoka chama kinachotawala cha democratic progressive party (dpp) na ghala la mfanyabiashara mwenye uhusiano na rais mutharika yameporwa kwa mujibu wa mwandishi wa bbc.
Pia kuna taarifa za kuchomwa moto nyumba za askari polisi watatu mjini lilongwe.
Polisi pia wamezuia kamera ya mpiga picha mmoja aliyekuwa akipiga picha maandamano hayo.
Kuna taarifa nyingine zinasema polisi walimpiga risasi sikioni mwandamanaji mmoja, wakati mali ya waziri mmoja iliposhambuliwa.
Maandamano hayo yaliitishwa kupinga kupanda bei ya mafuta, upungufu wa hazina ya fedha za kigeni, kukosekana utawala bora na uhusiano mbaya wa kimataifa.
Wiki iliyopita uingereza ilisimamisha misaada kwa malawi baada ya kutokea mzozo wa kidiplomaisa na serikali ya mutharika.
Uingereza iliishutumu malawi kwa kushindwa kusimamia uchumi na haki za binadamu.
Hivi karibuni serikali ilipitisha hatua za kubana matumizi, ikapandisha kodi na kupunguza utegemezi wa misaada.
Malawi ni moja ya zilizo masikini sana duniani, ikikadiriwa asilimia 75 ya watu wa nchi hiyo wanaishi chini ya dola moja kwa siku.
my take:kwa serikali ,ukiona mwenzako akinyolewa tia maji!

tuna amani sisi tanzania ndio urithi wetu
 
Mi naona tulianzishe, sababu kubwa ni umeme. Umepanda gharama alafu haupo kila kitu hovyo rushwa bungeni hadi mahakamani. Tlianzishe tuifukuze CCM la sivyo hatutafika.
 
Inatakliwa hii movie tuifanye mbayuwayu akiwa ughaibuni, yaani tunafunga viwanja vyote vya ndege kwa nguvu ya umma asishuke arudi huko huko alipotoka.
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?
 
Mnakula nini mpaka ubongo unageuka kuwa kamasi? Ungekuwa na ubongo wa kawaida huwezi ukafikiri kwa kutumia kamasi kuwa eti kuna machafuko mahali fulani nasi tuanzishe, a shame to you. Tumia akili kama ni pepo la kuandamana nenda kaombewe
 
tuna amani sisi tanzania ndio urithi wetu

Amani? My foot!! Amani ipi?

Tuko gizani, viwanda vimefungwa vijana wetu hawana kazi, wewe unasema tuna amani? Hakuna amani, tumejawa na uoga usio kuwa wa maana, maisha yamepanda maradufu!! wewe unasema tuna amani....

Fyuuuuu.......
 
Mnakula nini mpaka ubongo unageuka kuwa kamasi? Ungekuwa na ubongo wa kawaida huwezi ukafikiri kwa kutumia kamasi kuwa eti kuna machafuko mahali fulani nasi tuanzishe, a shame to you. Tumia akili kama ni pepo la kuandamana nenda kaombewe

Siku zenu zinakaribia nenda kawaambie wenzako Watanzania wanakuja
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?

hivi unadhani babu zako kina Mkwawa, Mirambo, Kinjekitile wangekuwa na mawazo kama yako ungekuwa wapi wewe usiye na haya..hakuna haki inayokusubiri ukiwa umekaa ipiganie na kupigana ndo huku..acha wewe unadhani nani atakukomboa..jisimamie..pambaf
 
Wenzenu hawabaguani kikabila na kidini kama CDM inavyofanya! Chadema hakiwezi kuwa kiongozi wa mabadiliko kwa Tanzania nzima kwa sababu ni chama cha kikwaya kwaya na mbege mbege!
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?
Utawajua tu kwa magamba yao,mimi nimeuliza swali sijataja tanzania,unajua jf inafka wapi na unajua mi niko wapi?unajua ninalenga watu gani? rejea kwenye kichwa cha habari.Unakuwa na akili kama za spika makinda,anauliza endapo kiongozi mkuu kama waziri mkuu akidanganya bunge atachukuliwa hatua gani yeye anakurupuka kusema thibitisha kwamba waziri mkuu kasema uongo.Mi nimetahadhalisha,sijashabikia machafuko.THIBITISHA KAMA NIMESHABIKIA MACHAFUKO ZAIDI YA KUTOA HABARI KUHUSU KINACHOJIRI MALAWI NA KUULIZA SWALI
 
Pala...mpalaa....mpalaa...tila..tilaa! Hili goma la Manzese...Magomeni mje tucheze woteee!! Tipi...tipi...tipi..top...!!!
 
Mwendawazimu wewe, laiti ungeipenda Tanzania hungekuwa na wazo la kuchochea machafuko ndani ya nchi yako. Do you know the exact cost. Mawazo yako ya kiubinafsi na ulafi wa madaraka. Huyo unayemhangaikia awe Rais mmeo na kama ni mmeo sio mwite rais muwapo kitandani? Kwani lazima aende ikulu? Look at you! Machafuko nayo ni ya kushabikia?
Watu wa aina yako,wenye fikra na waoga wa mabadiliko,waliokosa uthubutu wa kufanya maamuzi magumu wako wengi nchi hii!Na ndio mnaorudisha nyuma harakati za kuirejesha TANZANIA mikononi mwa wa Tanzania!
 
Back
Top Bottom