Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute


The Malawi government has begun talks with Tanzania to resolve the border dispute over Lake Malawi, Malawi's Foreign Affairs Minister Ephraim M'ganda Chiume told reporters on Friday.

The Minister played down fears of looming diplomatic tensions between the two neighbouring countries following Malawi's decision to start exploration of oil on Lake Malawi.

"The fact that our two countries are engaged in open and cordial discussions over the issue is a very good signal and therefore there should be no reason for any anxiety," said Chiume at a news conference in Lilongwe.

The Minister however thinly unveiled that Malawi would not give up an inch of the Lake when he said from the Heligoland treaty and the OAU/AU resolutions; it is Malawi government's conviction that border still remains the eastern shores of Lake Malawi.

"Tanzania believes that the border should be along the middle of Lake Malawi. They base their argument on common international law whereby situations where two countries are separated by a body of water, the border is along the middle of that body of water," he said adding;
"It is Malawi's position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty. It does not apply in this case because the border was clearly and specifically defined in a treaty."

There was no immediate comment from the Tanzanian embassy in Lilongwe but last week print media quoted Tanzania's Foreign Affairs Minister Benard Mzembe warning that further exploration of oil in Lake Malawi will jeopardize the ongoing negotiations and ignite security threat.

"…any exploration or research activities for oil or gas must stop forthwith as this will likely to jeopardize the on-going negotiations and pose a security threat," Mzembe was quoted as saying.

In 2011 Malawi awarded gas and oil exploration contract to Surestream to conduct Environmental Impact Assessment.
But Tanzania wants this to stop and also reportedly seeks part ownership of the lake.

According to the Malawi's Foreign Affairs Minister, the border between the two countries was defined in the Heligoland Treaty in signed 1890 by Germany and Britain – colonial masters of Tanzania and Malawi respectively.

"Furthermore the Heads of State of OAU made a resolution in 1963 that member states should recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence. The African Union made similar resolutions in 2002 and 2007," said Chiu



Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute | www.malawitoday.com
 
Hiwezekani yaani wanyasa tukienda kuoga ziwani tubebe passport?wakati AU inpitisha hiyo resolution ina maana hakukuwa na dekegates toka tz?
 
wanasahau kuwa tz tunao wanyasa wengi sana na wanaongea kinyasa/kimalawi kama vile wale wanyasa walioko malawi tu.....malawi wanashindwa kuelewa nafikiri jamani...ila vita si nzuri, armicable resolution nafikiri ndio solution hapa.
 
Lake Malawi belongs to Malawi as per treaty. Every map I have ever seen agrees with this position. I fully support Malawi's position. Hopefully they can find oil and other resources inside that Lake, that can help uplift the living standards of their wonderful people.
 
Part of lake nyasa is in tanzania full stop. No argument there...if it wasnt for oil they wouldnt have bothered about it... typical africans..
 
Its good that at last Tanzanian troops might have something to keep them busy at last!!!!!
 
Lake Malawi belongs to Malawi as per treaty. Every map I have ever seen agrees with this position. I fully support Malawi's position. Hopefully they can find oil and other resources inside that Lake, that can help uplift the living standards of their wonderful people.
tomilay, you are wrong!! historical documents show that both Tanzania and Malawi do not own the lake. The Heligoland-Zanzibar treaty prevents German from owing the lake, and the British Central Africa Order in Council, 1902." does not does not include the lake as part of Malawi. Article 1 of that document reads as " The limits of this Order are the territories of Africa situate to the west and south of Lake Nyassa, and bounded by North-Eastern Rhodesia, German East Africa, and the Portuguese territories. The said territories are in this Order referred to as "British Central Africa " and " the Protectorate."
 
I like the short sited view of socialist Trained TZ leaders.Everything is subjected to the so thought to be master key Dialog.Malawians are clever,they keep on an endless talk while foreign investors are guaranteed every rights.And then when everything is ripe they would openly say no (possibly Membe wont be alive) and if TPDF tries to erupt Big guys would rise to protect their interests.Then we would possibly loose if we dont decide well, and fainally we would loos part of mbeya and people would redefine lots of treaties and Malawi would keep on gaining.We should make quick decision, while we hold them into discussions we should do more to develop the area,encourage massive emigration and possibly place ferries.Its shame CCM have done nothing during the dark ages till now.

Sasa hivi wamalawi wanawekeza katika maeneo ya ziwa, wanaoa wanyawa wa bongo ambao ndio hao wamechwa na uduni wakila kitu huku wakiachiwa kwenda soma na kufanya shopping malawi.Kuna kila dalili wanaweza tutuosa kama wazenj wanavyoweza tutosa kwa ajili ya wa- oman.Serikali imelala mambo mengi.Uzalendo hakuna, raia wamechoka hawatoa umbea tena kwa serikali, na wakitoa umbea hakuna wa kuufnyia kazi.Komba anayetisha wapinzani jukwaani kaishia lalamika kuwa Malawi wamendeleza upande wa kwao.Kwake yeyealidhani kuwa kwa vile wale wana maji moja, na sisi tuna maji mengi(akimaanisha maneo yenye maji).huy ni mwanajeshi asiyeona mambo marahisi yasiyojificha, sijui wataonaje yaliyojificha.

Ni muda nasi tukajenga diplomacy ili likitokea la kutokea basi tuwachape hawa jamaa kwa nguvu zote kabla jamii ya kimataifa haijaamka basi tuwe tume maliza.Wakija mezani tayari tuna maeneo na wasimamizi wengi muhimu wawe jamaa zetu.Au hata tuwe na burgain chip ya kuwafanya wawe upande wetu.Vitu kam akuwaambia uchina kuwa hatutaitambua taiwan, USA, tunaweza Chechynia, au hata tukawapa uwekezaji fulani wa kizushi ambao hautazidi faida ya madini yanayozunguka mikoa ya karibu na ziwa,pamoja na nafasi ya kufaidi tafiri mbalimbali za Ziwa.
 
Lake Malawi belongs to Malawi as per treaty. Every map I have ever seen agrees with this position. I fully support Malawi's position. Hopefully they can find oil and other resources inside that Lake, that can help uplift the living standards of their wonderful people.

unatumia masaburi yaliyo malemavu katika kutoa hoja ww
 
I think people could be wise to recognize the fact that the lake belongs to both countries. Malawi wasitafute balaa zisizo na sababu. Wale makomandoo wao wanaotengenezwa UK na USA watashangaa watakayoyaona kama wakiingia vitani.
 
Lake Malawi belongs to Malawi as per treaty. Every map I have ever seen agrees with this position. I fully support Malawi's position. Hopefully they can find oil and other resources inside that Lake, that can help uplift the living standards of their wonderful people.

nashindwa hata kukujibu...
 
hawa jamaa wanatutafta ila watakipata wanachokitafuta sababu wameshatuona watanzania ni watu wakuchukuliwa mali zetu na mipaka yetu kirahisi wakaulize uganda tulivyowafanya ...kwenye suala la mipaka yetu watanzania lazima tuungane tuache uchama,ukabila na udini lazima tupiganie mipka yetu kwa ajili ya vizazi vilivyopo na vijavyo
 
hawa jamaa wanatutafta ila watakipata wanachokitafuta sababu wameshatuona watanzania ni watu wakuchukuliwa mali zetu na mipaka yetu kirahisi wakaulize uganda tulivyowafanya ...kwenye suala la mipaka yetu watanzania lazima tuungane tuache uchama,ukabila na udini lazima tupiganie mipka yetu kwa ajili ya vizazi vilivyopo na vijavyo
Baro,

Ulichokisema hapo ndio UTANZANIA
Wala Utanzania hauna definition nyigine,

Utanzania ni UTU na Utu unaweza kuzima Mabomu yote ya Nuklia duniani in a second ...!!
Wamalawi walijue hilo na Wajipime ... When the hell will open loose no a Malawian will stand IT!!
They will see the impossible, nothing like that in their entire life ... !

Kwa Watanzania kuwa kitu kimoja kwa ajili ya Utaifa wetu na Mipaka yetu ..ni jambo la sekunde tu,
Si swala la kujifunza ni jadi yetu ... Tufanya UPDATE TU!!!

Tukiaanza vita kuanzia kaskazini lazima tumtokomeze adui ... upndade wa pili yaani Kusini ... Nk hatujui namna nyigine.
Uganda tuliingilia Kusini ..tukamalizia kaskazini ... Haya si mambo ya kujifunza kwa Mtanzania ...Ni jadi yetu ... Hao wamamlawi watafute nchi ya kukimbilia before its too late!!

Nafikiri salam hizi Joyce Banda, The President .. atazipata na kunijibu kupitia mtandao huu huu!!

Much Welcome Joy!!
 
Part of lake nyasa is in tanzania full stop. No argument there...if it wasnt for oil they wouldnt have bothered about it... typical africans..

Hapana kaka, si rahisi kama unayodhani; Jaribu kusoma kidogo historia, mgogoro huu si wa leo wala jana, na Wamalawi wamekuwa wakiamin kuwa Ziwa lote ni la kwao, isipokuwa sehemu inayomilikiwa na Mozambique! Kwa vile Watanzania hatuna viongozi wenye msimamo tumekaa kimya mpaka yalipotokea masuala ya mafuta ndy tunaona ziwa ni la kwetu pia! Tofauti na hapo tulikuwa hatuna shida na Ramani wanazofundishwa watoto wa Malawii kuwa ziwa ni Mali yao Tanzania hawana chao!!! Ukifanya search ya Harakaharaka Google utapata kuona Ramani nyingi zinaonesha Tanzania haina kipande chochote katika hilo ziwa: https://www.google.co.tz/search?q=m...JyKFYTj4QSZrIFw&ved=0CF0QsAQ&biw=1024&bih=578

Hata Google Map wameonesha Ziwa lipo nje ya mipaka ya Tanzania!

Miaka yote hiyo Tanzania imekaa kimyaa!

Wenzenu wanaendelea na kazi Ziwani nyie mnakenua meno, haya mkawang'oe sasa kama Nia mnayo, Sababu Mnayo, na muangalie kama Uwezo pia mnao! Kama ni vita, atakayeanza kurusha risasi ni Tanzania! Act wisely.
 
Back
Top Bottom