mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Hivi ukiachia hayo mafuta ziwa nyasa... Malawi wana madini mengine au richful resources??!!
Lake Malawi belongs to Malawi as per treaty. Every map I have ever seen agrees with this position. I fully support Malawi's position. Hopefully they can find oil and other resources inside that Lake, that can help uplift the living standards of their wonderful people.[/QU hell no! Ur wrong!%
its a good game that can test muscles of tz army
Baro,
Ulichokisema hapo ndio UTANZANIA
Wala Utanzania hauna definition nyigine,
Utanzania ni UTU na Utu unaweza kuzima Mabomu yote ya Nuklia duniani in a second ...!!
Wamalawi walijue hilo na Wajipime ... When the hell will open loose no a Malawian will stand IT!!
They will see the impossible, nothing like that in their entire life ... !
Kwa Watanzania kuwa kitu kimoja kwa ajili ya Utaifa wetu na Mipaka yetu ..ni jambo la sekunde tu,
Si swala la kujifunza ni jadi yetu ... Tufanya UPDATE TU!!!
Tukiaanza vita kuanzia kaskazini lazima tumtokomeze adui ... upndade wa pili yaani Kusini ... Nk hatujui namna nyigine.
Uganda tuliingilia Kusini ..tukamalizia kaskazini ... Haya si mambo ya kujifunza kwa Mtanzania ...Ni jadi yetu ... Hao wamamlawi watafute nchi ya kukimbilia before its too late!!
Nafikiri salam hizi Joyce Banda, The President .. atazipata na kunijibu kupitia mtandao huu huu!!
Much Welcome Joy!!
naunga mkono, lets clobber these chowderheadsBaro,

Nawapenda watanzania kwa sababu katika ishu kama hizi tunaumoja. Me naona huyu mama anahamu na wanaume wa Tanzania so tumpe anachokitaka
nakubaliana na wewe kwakiasi kikubwa, nchi haina coordination kama zamani, kila kitu kimeparaganyika, utaona namna hata ikulu ilivyokosa mshikamano mara siri zivuje, zimejaa kweny magazeti. wizara ya mambo ya nje naisifu kwa kitu kimoja ina mtu makini sana, lakini aibu ya nchi hii ingekuwa njenje ulaya. hata hivyo malawi ni jirani wa kawaida sana. kwangu sioni ugumu, kwa kuwa historia inaonyesha kwamba mama banda, alikuwa against nasi tangu tunatetea ukombosi kusini mwa africa so chanzo cha chokochoko zake ziko wazi.
katika diplomasia za kimataifa hii utaina state actor ambae ni raisi anaathari katika nchi raisi wa awali hatukuwan shida nae iweje huyu, so rudia historia utagundua kuwa huyu anafaa kumpa adabu bila kusababisha gharama kama za uganda na hata leo zinatusumbua kuziba gap la vita ila
Sina uhakika kama Tanzania sasa tnao uwezo wa kupigana vita na nchi yoyote ya East Africa kwa sasa. tujifunze non spuriously kilichotokea wakati wa vita na Uganda. watnzania walipoiteka uganda walikuta plan zote za vita zilizopangwa kabla na hata wakati wa vita. Tanzania ilishinda vita kwa kuwa wakati ule kulikuwa na Tanzania, kwa sasa hatuna unity tena.
Jambo la pili humimu ni kujua kuwa kwa muda kitambo sasa Tanzania inatawaliwa na Malawi: amngalia; wanyasa wa malawi wako wengi kuanzia Ikulu hadi kwa house boys and girls. hakuna sekata hapa Tanzania ambayo haina mutu wa malawi. so; katika vita kunatakiwa intelgency system ya hali ya juu, sasa hii utaifanyaje wakati Tiss ya tanzania imejaa raia wa malawi?. Kwa sasa wa malawi wanaumoja na wanaangalia mabli kuliko hata Tanzania na juu ya hili hajakurupuka bali walisha drow mchoro wenye plan A, B, C. Tanzania tunataka kwenda mezani tukiwa na nini?, ni nani anyeenda mezani?,
Mie macho yangu kwa ni kwa sasa Tanzania ya leo siyo ile ya Nyerere. ni Tanzania ya kushindwa kila kitu.
Ciao.
Haya Bwana hata Idd Amin alitudharua hivyohivyo kama nyie wamalawi mnavyotudharau lakini kwa hilo umoja upo usijidanganye na hujui kinachoendelea mpaka sasa! hao wajinga ma house boy unao wasema tunawajua sana na kwa taarifa yako kuna watanzania wengi malawi kuliko hata wamalawi waliopo hapa Tz! system yao tunaijua sana wewe subiri utaona tutawatia adabu!