Makumira wagoma

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,066
1,136
Lile jinamizi la mgomo wa wanafunzi wa elimu ya juu limepiga kambi Makumira University. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wamezira kuingia class kwa madai ya kutokupewa hela ya kujikimu. Hii imetokana na mwenzao alezimia jana baada ya kudhibitisha kuwa hata batch ya mwisho jioa halipo na kupata mshtuko na ktpelekwa Selian hosp ambapo amelazwa na wanafunz wako katika harakati za kutafuta mchango kwa ajili ya kumsaidia kupata matibabu. Mpaka naandika huu ujumbe uongoz haujasema lolote na haijulikan hatima. Wasnmi hao wamekatishw tamaa kabisa kuokalna na makali ya maisha wanayokumbana nayo pale Arusha. Wapi serikali yetu iliyounda bodi ya mikopo na kuvumilia huu uzembe wa kutokuwapelekea hawa vijana fedha ya kujikimu. Taarifa zinasema wa vijana wanashindia maji na some times maembe kwa mbali then wanatakiwa kuhudhuria lecture kama kawaida. . Source Makumira first student. It is the firt hand info, no suajectivity.
 
Somo la juzi limewaingia...kila mahali ni uzembe uzembe tu sijui wapi kwenye efficiency
 
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeee???...halafu wanajibu hoyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!! Halafu anasema kidumu chama cha mapinduzi! Wanajibu .......kidumuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!ndugu zangu........... Endeleeeeeni basi?heee nyie mnaniachia mwenyewe tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom