Maksi zangu nazipata bar.........!!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa yeye hata iweje atafaulu tu.....
"sijasoma kwa kujiumiza kama ninyi, mimi maksi zangu nimezipatia bar, sijahonga wala nini kwa walimu lakini mitihani yote nimepata na pesa pia nimepata"
 
hao ndio wale wanaoandika bongo fleva kwenye mtihani......
 
Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa yeye hata iweje atafaulu tu.....
"sijasoma kwa kujiumiza kama ninyi, mimi maksi zangu nimezipatia bar, sijahonga wala nini kwa walimu lakini mitihani yote nimepata na pesa pia nimepata"
Hao lzm watakuwa wanaingia na madesa kwenye mitihani!!!
 
akiongeza funda moja tu atasema alivyompa penz lecturer ili afaulu

nje ya mada where have you been?
dah nilienda safari moja huko mbali,sikuwa na simu ya mana wala computer,dah mbona kuingia internet nilikuwa nahesabu dakika
 
Karibu mkuu nilikumiss je!!!
Uliadimika sana usalama upo?
Mi niko salama mkuu,ila nilikumiss sana,dah nilikutana na mzee mmoja hivi nikajisema lazima atakuwa babu yako Mtambuzi,yaani points zake humu na jinsi anavyoongea kuna uhusiano,ila nilisita kumwuliza mana na yeye angeniuliza.
 
Nashukuru km uko poa,
Hahahah,ungemuuliza tu then akikuliza unamwabia ww ni msomaji wa jf na sio memba!!!
Well come back bana.
 
nashukuru sana,

kumwambia mi nimsomaji tu nitakuwa nimemdanganya mana mwenyewe ni mwenye busara zake
 
asee next time uage ujue kumiss sana ni ugonjwa mkubwa sana? ilikuwa kijiji cha kusadkika
ama ?welcome back
dah nilienda safari moja huko mbali,sikuwa na simu ya mana wala computer,dah mbona kuingia internet nilikuwa nahesabu dakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom