Makovu ya ndevu kunuka!!!

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Za leo jamani,

Mimi na swali hivi mtu kanyoa ndevu vizuri tuu ila sio mpaka chini, bado katokwa na vidonda kama vile vya kunyoa mpaka kwenye ngozi nadhani mnavifahamu then pakawa panatoa harufu nyingine mbaya sana kama ya uozo, hivi nini hasa tatizo na jee mtu huyu afanye nini.

Kwa kweli ameshatumia baadhi na aftershave na vyinyolea mbali mbali ila wapi!

Noambeni msaada wenu JF Doctors.
 
Dadangu Penny, watu wako lunch mida hii, kinyaa....
Huyo atibiki tena.
 
Za leo jamani,

Mimi na swali hivi mtu kanyoa ndevu vizuri tuu ila sio mpaka chini, bado katokwa na vidonda kama vile vya kunyoa mpaka kwenye ngozi nadhani mnavifahamu then pakawa panatoa harufu nyingine mbaya sana kama ya uozo, hivi nini hasa tatizo na jee mtu huyu afanye nini. Kwa kweli ameshatumia baadhi na aftershave na vyinyolea mbali mbali ila wapi! Noambeni msaada wenu JF Doctors.

Penny;

Mshauri atumie Beads Treammer badala ya wembe. Treammer ni mashine ya kunyolea ndevu kama ya kunyolea nywele isipokuwa yenyewe ni ndogo kwa size.

Vipele havitatoka tena. Kama yuko DSM Treammers zinapatikana pale Clock Tower au Top Shop nk. Price From TZS 50K onwards.
 
Hiyo mashine ndo anatumia kwa sasa angalao vipele vilipungua kidogo ila harufu sasa ndo balaa... na yeye yuko Denmark.

Siunaelewa tena mambo ya huku mikumbato kwa sana tuu...imebidi nimwambie asitishe kwa mda tupate sulu kwanza.

Maana ni noma utafikiri bafu haendi ilihali ni twice a day. Asante kwa ushauri wako ndugu.
 
Penny, mwambie atumie mashine ya kunyolea nywele jino alitoe, hii inawasaidia sana watu walio na sensitive skin. Pia kama alipata infection anywe antibiotics for 7 days straight labda itamsaidia.
 
Hiyo mashine ndo anatumia kwa sasa angalao vipele vilipungua kidogo ila harufu sasa ndo balaa... na yeye yuko Denmark. Siunaelewa tena mambo ya huku mikumbato kwa sana tuu...imebidi nimwambie asitishe kwa mda tupate sulu kwanza. Maana ni noma utafikiri bafu haendi ilihali ni twice a day. Asante kwa ushauri wako ndugu.

Penny bado naamini Treammer itamsaidia. Ina levels kama mbili au tatu za kunyoa ndevu. Atumie level ya pili ili asiiguse ngozi kabisa. Itabidi pia atumie dawa ya bumps. It will help.
 
\harufu inaweza kusababishwa na infection from bacteria and the likes, mara nyingine hawa wadudu hutoa usaha au hupumua gesi chafu zenye salfa na hydrogen (in some cases nitrogen containing byproducts) njia mbadala anayoweza kutumia zaidi ya trimmers ni special shampoo with antimicrobicides asubihi na jioni bila kunyoa ndevu kwa kipindi fulani mpaka vidonda vipone kabisa (hapo anakua osama fulani) and then he can use trimmers akipona namba moja au mbili (low)
 
Penny, mwambie atumie mashine ya kunyolea nywele jino alitoe, hii inawasaidia sana watu walio na sensitive skin. Pia kama alipata infection anywe antibiotics for 7 days straight labda itamsaidia.

Umeamua kumpa prescription kabisaa Dr YE! Kwa vile mgonjwa hachagui dawa sitashangaa nikisikia kanywa antibiotic yeyote ile...kazi kweli kweli.
 
Za leo jamani,

Mimi na swali hivi mtu kanyoa ndevu vizuri tuu ila sio mpaka chini, bado katokwa na vidonda kama vile vya kunyoa mpaka kwenye ngozi nadhani mnavifahamu then pakawa panatoa harufu nyingine mbaya sana kama ya uozo, hivi nini hasa tatizo na jee mtu huyu afanye nini. Kwa kweli ameshatumia baadhi na aftershave na vyinyolea mbali mbali ila wapi! Noambeni msaada wenu JF Doctors.

Huh!?!?!? Najua haiwezekani akawa ngosha Balantanda kwa sababu najua yeye personal hygiene na appearance anaitilia maanani sana.

Huyo mtu inabidi aende akamwone mtaalamu wa ngozi na magonjwa yake (Dermatologist). Akishapata ufumbuzi wa tatizo lake, ni muhimu awe anaenda kwa kinyozi kunyolewa hizo ndevu unless anazinyoa kila siku.

Pia, kuna vitu vingine kama wax (i.e. products like Nair for men) zinazotoa nywele kwa kumomonyoa. Au anaweza akajaribu njia ya permanent laser hair removal. Lakini kabla ya kujaribu njia hizi mbili, ni busara aende kwanza kwa huyo daktari wa ngozi na magonjwa yake angalau akapate ushauri wa kitaalamu kwanza kabla hajaamua ni njia ipi aifuate.
 
Shem, sio my beiberry, No, no,no huyu jamaa wetu wakaribu tuu. Jamani asanteni kwa ushauri mlionipa na mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom