Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

Well kifupi ni kuwa Mchagua Jembe si Mkulima!!!!!!!!! Mtu kama unaugwadu wa kutosha huwezi kuanza kukagua kagua, huyu kaoga kweli? Boxer safi hili kweli, kucha mbona ndefu? Ananipapasaje kwa nguvu au taratibu?, ananibinuaje kwa nguvu au taratibu? Vuzi mbona halijakatwa? Romance nusu saaa(Hadi unajiuliza anafunction kweli huyu?) Na ukimalizia badala uskumbukie uroda unakurupuka condom iko wapi? iko wapi? KWELI!!!!!!!???????????

Kifupi kama kuna chemistry none of that matters ila kama ni kujifosi lazima ugundue each and every one of those factors.

Mh lara 1 kwenye swala la usafi hapo mwenzangu muhimu - utakua hujawahi kukutana na kituko (nje bonge ya brotherman ila harufu ya mdomo ka papa kaoza)! walah hata kama umelewa pombe yote inakata ghafla na ashki ndio inaisha kabisaaa unaanza siku zako hapo hapo!
 
unajisiaje,nikushike wap,sikuumizi hayo ni maswali ya kawaida sana kwa mtu na mpenzi wake kuuliza hapo mi naona umenidanya kwa kweeeeli!
 
ukiondoa ishu ya usafi, kwa sisi wagidaji tunaenda kiunyume chake, mchezo kwanza mengineyo baadae, KakaKiiza amemaliza kila kitu, hivi kweli na pombe zangu na nipo kwenye heat ya kufa mutu nitaanza kufikiria sijui love bite, wengine hiyo kuongeleshwa ndio inatufikisha tunapotaka kufika kwa upezi zaidi, Mchambuzi na ukitaka usifaidi haya mambo uyapange kama 1,2,3, huta enjoy kabisa.
 
Naogopa usije ukanishukia maana nakujua ukitoka hapo mtaa wa nyerere patakuwa hapatoshi hapa mjengo wakimataifa!lol! Caroline Danzi mpana kama zuria la ikulu!

halafu nyieee,
Wewe na nivea mshaanza kuchakachua huu uzi....................LOL
 
Last edited by a moderator:
Mhh nime kubali kweli we, mtambuzi una tambua kweli uzi wako nime u gostar but kuna kitu ume sahau hapo nacho ni vile vidushelele vidogo, mi nashukuru mungu kani susia, lakini nime ckia malala miko mengi kutoka kwa madem nilio wahi ku namorar nao kwamba dusshelele ikiwa ndogo haiwa fiki sasa najiuliza haiwafiki wapo,? Mtambuzi nifafanulie hapo ukiwa kama ngariba
 
Anko wambieeeeeeeeee haoooooooo!! manake umenigusa ndipoo mtu anakuparamia kama anaendesha farsi au ana twanga
kama kapewa mpunga,akikusogelea hilo jasho lake ndio usiseme unahisi kuzimia,ah lakini mie nakwambia leo mwenzangu naumwa hata siwezi kufanya chochote tena wacha niondoke naona kama ntazidiwa,manake hali ya hewa chumbani ishaharibika akishavua viatu tuuu na shati unataka kufa........
Hahahahahaahah! Unamwambia tena unaumwa PUMU n humo chumbani hakuna hewa kabisa. kwa kweli inabore sana halafu ukute ananuka kwapa, AgrrrrrrrrrrrrrH! Pwaaaatwa! kichefuchefu kitupu!
 
Hahahahahaahah! Unamwambia tena unaumwa PUMU n humo chumbani hakuna hewa kabisa. kwa kweli inabore sana halafu ukute ananuka kwapa, AgrrrrrrrrrrrrrH! Pwaaaatwa! kichefuchefu kitupu!

Nakwambia! hapo bado hajavua suruali wala soksi haijatoka mguuni unaweza sema kuna nguru chumbani,kisa cha kuzimia..mana unaanza kusikia kizunguzungu uso umeukunja ah shida yote ya nini...
 
Halafu aliyesema mimi sikosolewi hapa ni nani?
Mbona watu wananipa makavu na ninanywea tu mara nyingi.......

Unanivika kilemba cha ukoka bana.................. lara 1

eheheheheheeee daaaaah..., nimecheka sana bwana....mtu mzima unajitetea...humu jf hata aje nani kupigwa ujungu lazima... I got ur point mkuu Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi leo umetukuna kabisa maana wanaume ile midadi ikipanda hata hajali mwanamke yeye ni kupachika tu kama gilo la penalty!!! Mwanamke ukumwezea kwa maneno umeua kabisa!! Anakuwa laini kama mlenda!!! Ile K inakuwa inalainika tu kama vile umeweka mlenda wenyewe kabisa!! Yaaani kitu na mchi kabisa!!! Point tupu ila ni asilimia chache sana za wanaume wanafuata haya mambo!!! Rough creatures!!!
 
Na Wote tuseme "Aaamen". I mean, topic hapa inasema "Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya." Msisitizo hapa ni kwenye neno "Mpenzi Mpya" na sio "one night stand" wala "tuliyezoeana"... Yaani I need a minimum of at least 4 traits of the 7 that Mtambuzi has identified....just saying:wink:
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, hapo kwenye kutaja majina ungewatahadharisha wale wenye partners wengi.....
mautamu yakikolea akili inaweza isitambue kabisa nini kinaendelea.......
unaweza kushtukia umeshushwa sababu umetaja Amina kumbe upo na Scola
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, hapo kwenye kutaja majina ungewatahadharisha wale wenye partners wengi.....
mautamu yakikolea akili inaweza isitambue kabisa nini kinaendelea.......
unaweza kushtukia umeshushwa sababu umetaja Amina kumbe upo na Scola
FP una akili sana wewe, hiyo nili over look aisee........

Hebu ngoja nifanye edit kabisaa........
 
Last edited by a moderator:
FP una akili sana wewe, hiyo nili over look aisee........

Hebu ngoja nifanye edit kabisaa........
usifikirie sababu wewe "huchiti" ukadhani kila mtu, lol!
unaweza kuona treni ifunga breki na kusimama kabla haijafika stesheni.........
unapojitahidi kuwaza kilichotokea unakutana na TT anaulizia uhalali wako wa kuwa kwenye treni
 
usifikirie sababu wewe "huchiti" ukadhani kila mtu, lol!
unaweza kuona treni ifunga breki na kusimama kabla haijafika stesheni.........
unapojitahidi kuwaza kilichotokea unakutana na TT anaulizia uhalali wako wa kuwa kwenye treni

Ha ha ha ha haaaaaa.........

Natamani hii maneno aisome Babu DC Dark City na Mzee ODM Asprin......... LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom