Januari hana maana kabisa na sheria yake SHUT UP. Hafai kabisaaa, na asirudi bungeni tena
Mwigulu asidhanie watu tumesahau alivyokuwa anapiga mabomu wapinzani, sasa kati ya wapiga kura million 23 atapigiwa na wana ccm wenzake million 6
Nazidi kuwashangaa wtz kuhusu hawa watangaza nia
Mwigulu ongelea kuhusu katiba mpya na masuala ya muungano
January hawezi kuungana na Mwigulu kwa sababu tayari January ameungana na Nape Nnauye kuhakikisha wanammaliza Mwigulu kisiasa. Sehemu yao ya kukutana ni south n sun ndipo wanapopanga mikakati yao ya ovyo
Cha kushangaza mafisadi wote wanaingia na kutangaza nia ya kugombea urais,sijui ndio mbinu yao kupitia kitengo cha interejensia
HEKAYA ZA KIBAVICHA NA UPUMBAVU WA ufipa USIULETE KWENYE MAMBO YA MSINGIHajajibu issue za pale SOWETO...
Mwigulu mbona mnampakazia maneno hivyo,jamaa sema hammujui ni mtu poa sana,huo ugaidi mmemfundisha nyinyi...
Huko ndipo kujieteta kwenu?Hii issue ipo live na wazi kabisa.Its a matter of time mwigulu atarudishwa ground zero kujibu.Leo si unamwona hata yeye ccm inamtia aibu hadi anajaribu kujiweka mbali.... HEKAYA ZA KIBAVICHA NA UPUMBAVU WA ufipa USIULETE KWENYE MAMBO YA MSINGI