William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,661
- 2,257
1. Hupendi kukosolewa.
Ulianza siasa vibaya kwa kuwa mtu wa kupambana na upinzani na kutoona umuhimu wa upinzani nchini na hasa kuhusika na kashfa ya kumpakazia kesi Lwakatare. uwenda ilikuwa gia ya kupandia ndani ya CCM basi kubali kushirikiana na upinzani na kukuza democrasia kwenye kila ngazi ya uongozi.
2. Bado unaumauma maneno.
Lazima uwe muwazi zaidi hasa juu ya vita dhidi ya ufisadi na kuwa wazi kuelezea hali ya watanzania kukubali kununuliwa. Usitumie mafumbo kuelezea mtandao wa kifisadi unavyokaribia kuipora nchi. Waambie wazi kuelekea uchaguzi watu wasikubali kununuliwa.
3. Kujiamini kupita kiasi.
kuhisi pekeyako unaweza ni makosa hasa kwa siasa za chama chako. Lazima uunde team ya kapeni. Jaribu kuungana na Makamba na kuwa karibu na watu wasio na kashfa.
Japokuwa wengi wenyemakundi hushindwa kusimamia hoja zao bali kuyumbishwa na interest za makundi yao ila hiyo ni changamoto