Makongoro Nyerere: Edward Lowassa ni muongo, fisadi na alituiba pesa kupitia Richmond

Makongoro naapa, atapigwa huyuuu... subirieni... anajiona kuwa mtoto wa Baba wa Taifa ni kutukana watu... maana alianza kumtukana Wassira, akaja Mwigulu na Lowassa... anatukana kila mtu, akijifanya anacheka cheka kuigiliza kicheko kama cha Baba wa Taifa....!!

Huyu Makongoro, alishamtukana sana hata BABA WA TAIFA, ambaye ni baba yake Mzazi, so ana laana ya gongo na ya mzazi wake...!!!!

As well alikiasi CCM na kukisaliti 1995 na kutoa matusi mazito dhidi ya CCM... MAKONGORO TUNAJUA ANATUMIKA VIBAYA... HILO LINAJULIKANA... sasa yeye anaona alisha mtukana baba yake, akamwacha, ashaanza mtukana Wassira, Mwigulu na sasa Lowassa, alianza kutukana since day one akitangaza nia, Wassira akamjibu kwa ustaarabu ingawa alitumia hasira, ila Makongoro atajutia ulevi wake huko mbeleni... asituletee usinzi wake, hana hoja, hana mvuto, kazi yake kutukana wengine, na CCM nashangaa kuwa na mtu kichwa maji kama huyu...

Naamini, anajiona yeye ndie mtakatifu kuliko wote, na hakuna wa kumfanya kitu akitumia jina la baba wa taifa kama umbrella, ila mvua itamfikia, ajichunge na mdomo wake ULIO IVA KWA GONGO...!!!

Very stu.pd, annoying, disgusting hata ukimsikiliza utajua he has very babish, kiddish, childish mind...unethical indeed...!!! Fo.olish...!!

We mkuu unanichekeshaga sana unavyotokelezaga kivingine kabisa. Anyway ni uhuru wa kuongea na mimi naheshimu mawazo yako. Ila tar 12 si mbali mkuu, tutafutane kusikia nani zaidi kati ya Makongoro na edo
 
Hivi kuna mlevi zaidi ya unayemshabikia?

Ww nakusamehe, sbb even what ur writing heri ya mbweha...!!! Ur not living, ur just existing...!!! Corrugated and confused mind...!!!
 
Dada Uda Marekani ipi unaizungumzia? Marekani ninayoifahamu mimi pesa ndiyo engine ya chaguzi zote kuanzia local government mpaka federal government. Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa "super PACs" kwenye chaguzi za Marekani? Umeshawahi kuwasikia special interest groups kama " Labor Unions, Koch Brothers etc" na jinsi wanavyoshawishi chaguzi za Marekani? I hope umenielewa.

Tunajuwa jinsi fedha inavyotumika katika uchaguzi wa marekani. Hata hapa Tanzania ipo sheria ya gharama za uchaguzi lakini nani anafuata.Lowassa anahonga wananchi ananunuwa watu mchana kweupe hakuna anayemchulia hatua.Marekanj unayoitaja wewe vyama vya siasa vinadhibitiwa na sheria za fedha za uchaguzi hapa kwetu Lowasa kaiba huko huko Serikalini halafu anatumia fedha hizo kununuwa uongozi.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
We mkuu unanichekeshaga sana unavyotokelezaga kivingine kabisa. Anyway ni uhuru wa kuongea na mimi naheshimu mawazo yako. Ila tar 12 si mbali mkuu, tutafutane kusikia nani zaidi kati ya Makongoro na edo

Sasa wazanaki umri wa Makongoro hawajafanyiwa jando, na lazima awapige kibogo mwaka huu... !!!

Mtu Gongo imemfanya mdomo mwekunduuuuuuuuiuuuuu kama mnduku wa kukuuuuuuuu unamshabikia, & funny enough IQ ya Makongoro zaidi ya matusi hana kitu... anashika shika kiuno huku akiongea utafikiri yuko na mademu... akikaa kidogo tu anabana pua anashika kiuno, bullshit...damn...anabana bana pua kwa wanaume...!!! Tutamlia kitu cha Arusha siku chache zijazo...!!! mamaaaeeee na hasira sas hivi......!!!

Na hasiraaaaaaaaa..... soon i will bust and blast at Makongoro, coz i hv his mobile number... i will call him now... aache u.ngese... mamaaaaaeeeee...ngoja nimpigie aache ukudaaaaaaas..... napigaaaa simuuuu shit....!!! ajifunze staha ya kuomba udhamini na kura, aache matusiiiiii....!!! tutamziba mdomo na super glue sasa hivi....!!! So disturbed now....huna adabu Makongoro wee, huna akili weee..."!! i am calling him noooow...!!! kunguru huyu...!!
 
Watangaza nia na nyie msituzingue, lowasa co tatizo, bali tatizo ni mfumo mbovu wa cham cha mapinduz, mbona lowasa kajiuzulu lakin watu bado wanapiga pesa tu? Achen ubabaishaji, na ccm yenu iyo
 
Makongoro amekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa, ni mbunge wa afrika mashariki, naamini ni kiongozi wa ngazi ya juu katika chama na serikali. Atuambie huo mgao wa richmond ulikuwaje? Hizi fedha hazikuchukuliwa kwenye gunia atupatie account za wahusika na makampuni yao, zaidi tutaona ni maneno ya mlevi wa pombe kali tu.
 
Lowasa ni mwizi wa mali ya umma.halafu anawatisha ccm eti hakuna wa kumkata jina.huyu mtoto wa nyerere kiboko yake hamuogopi.kama hawa ccm wengine wanaolamba miguu ya mwizi lowasa.
 
Mwaka huu ilani ya CCM ni Lowasa!
Mkuu;
Kwa huwa hushangai unapoona misikiti/makanisa kila siku yanamea ili kupambana na shetani?.

Huwa hushangai ukiwaona mara kwa mara binadamu wengi ajenda yao ni kupambana na shetani?

Sina maana Lowassa ni shetani!

Nadhani utaelewa maana ya hoja yangu!
 
Tunajuwa jinsi fedha inavyotumika katika uchaguzi wa marekani. Hata hapa Tanzania ipo sheria ya gharama za uchaguzi lakini nani anafuata.Lowassa anahonga wananchi ananunuwa watu mchana kweupe hakuna anayemchulia hatua.Marekanj unayoitaja wewe vyama vya siasa vinadhibitiwa na sheria za fedha za uchaguzi hapa kwetu Lowasa kaiba huko huko Serikalini halafu anatumia fedha hizo kununuwa uongozi.

Alafu ww Lowassa kakupigia mande demu wako nn.. unamfuata fuata kama kupe... pelekaaaa milonjo yako kuleeeee.... scented mouth and mind... ukiendelea ntakupiga mtungo... kavu kavu...ukome ukomae...!!! Haemophrodites...!!!
 
Kama ni kweli kwa nini hapelekwi mahakamani? Na jee huo wizi umeanza baada ya kutangaza nia. Kabla ya hapo hakuwa mwizi. Lakini naona bora sasa tumpe yeye ili akaibe nje alete huku maana hatakuwa anaenda kuomba ataenda kuiba atatufaa sana huyu.
 
lowasa ni mwizi tu wala hana sifa za rais tunae mtaka, ccm wakita wafe mwk Hui wampitidshe waone huyo mwizi,
 
huyu mlevi asitufanye hatuna akili bana,pesa zipi za richmond?...
Mkuu;
Unaweza kukubaliana kutokubaliana na Makongoro Nyerere!.

Makongoro Nyerere amekisema kile ambacho kilisemwa kwenye Maazimio ya Bunge kuhusu sakato la Richmond Development Company LLC.

Unatakiwa kwanza usikubaliane na maazimio ya bunge lililokuwa limejaa wanaCCM kabla ya kutokubaliana na maelezo ya Makongoro Nyerere.
 
Lowasa ni mwizi wa mali ya umma.halafu anawatisha ccm eti hakuna wa kumkata jina.huyu mtoto wa nyerere kiboko yake hamuogopi.kama hawa ccm wengine wanaolamba miguu ya mwizi lowasa.

Mpelekee kabaang yako Makongoro akakupige mtungo... ww nyamafu... bigot woman...!!! nenda now... i called him simu yake inaitaaa tu... kajiunge nae ... Lowassa ni mpango wa Mungu...!!

Lowassa ndio kama Yesu wa leo...hutaki kale malimaooooooo...!!! nyokolost...!!!
 
Sasa wazanaki umri wa Makongoro hawajafanyiwa jando, na lazima awapige kibogo mwaka huu... !!!

Mtu Gongo imemfanya mdomo mwekunduuuuuuuuiuuuuu kama mnduku wa kukuuuuuuuu unamshabikia, & funny enough IQ ya Makongoro zaidi ya matusi hana kitu... anashika shika kiuno huku akiongea utafikiri yuko na mademu... akikaa kidogo tu anabana pua anashika kiuno, bullshit...damn...anabana bana pua kwa wanaume...!!! Tutamlia kitu cha Arusha siku chache zijazo...!!! mamaaaeeee na hasira sas hivi......!!!

Na hasiraaaaaaaaa..... soon i will bust and blast at Makongoro, coz i hv his mobile number... i will call him now... aache u.ngese... mamaaaaaeeeee...ngoja nimpigie aache ukudaaaaaaas..... napigaaaa simuuuu shit....!!! ajifunze staha ya kuomba udhamini na kura, aache matusiiiiii....!!! tutamziba mdomo na super glue sasa hivi....!!! So disturbed now....huna adabu Makongoro wee, huna akili weee..."!! i am calling him noooow...!!! kunguru huyu...!![/QUuk jiandae kisaikolojia Makongoro ni namba ya ukweli anavigezo vinavyokidhi
 
Back
Top Bottom