makonda wa daladala wamezidi jamani khaaaa!!!!!!!!!!

wapalepale

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
259
56
Ilitokea jana jioni mitaa ya tabata mbele kidogo ya bima, mambo yakawa kama hivi:

Abiria: kondaaaa simamisha kwa mwarabu..
Konda: waarabu huwa hawanipe stimu kabisa sidhani kama itasimaa labda angekuwa mbantu!!!!

watu wakashika midomo.. jamani makonda punguzeni mambo yenu kidogo
 
Hahahahaha abiria alikuwa wa kike?
 
Ilitokea jana jioni mitaa ya tabata mbele kidogo ya bima, mambo yakawa kama hivi:Abiria: kondaaaa simamisha kwa mwarabu..Konda: waarabu huwa hawanipe stimu kabisa sidhani kama itasimaa labda angekuwa mbantu!!!!watu wakashika midomo.. jamani makonda punguzeni mambo yenu kidogo
Tobaaa!!
 
Makonda hawana muda wa chapa ilale. Wanalala saa 7 usku na kuamsha saa tisa daybreak! wanatembea na malimbikizo!
 
don't make urgement with those ****en folks they know nuthing and inferiority complex is their problems
no school kabisaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom