Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
makondaaaa+picc.jpg

Kwa ufupi
“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.”

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametumia mkutano wake na wananchi uliofanyika leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwapigia debe ‘kiaina’ wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Kinondoni na Siha.

Akizungumza katika mkutano huo wa kupokea na kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Dar es Salaam, Makonda amewataka wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa ubunge Kinondoni na Siha na katika kata 9 unaofanyika Februari 17, 2018.

“Nasikia wana uchaguzi hivyo wananchi wawachague wagombea wa CCM ili waendelee kupata maendeleo. Kuna kijana anaitwa nani vile… Mtulia ..eeh anaitwa Mtulia. Ameangalia ameona watu wanavunjiwa nyumba zao, ameamua ajiunge na CCM ili wasiendelee kuvunjiwa badala yake wapate nmaendeleo,” amesema.

“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.
 
ground nzuri ya petition mahakamani. Intimidation to voters

6. Whether or not at Runazi, Nyarubungo, Biharamulo town and Rusahunga polling stations votes were intimidated, discouraged misled as well as scared
hence were so many spoilt votes and blank papers to the effect that the elections were not free and fair.
 
Kwanini lakini mnatufanyia hivyo? Kwahiyo wenye kadi za CCM wazining'inize mlangoni ili malaika tingatinga asibomoe nyumba zao? How dare you call yourself a government?

Halafu mkitoka hapo mnashangaa kwanini watu hawaipendi serikali...

If only voting actually made a difference...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom