Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

Wacha atambe lakini hicho cheo mimi huwa naita ni mbio za farasi. Nakumbuka kuna jamaa mmoja alikuwa na nyodo, aliwahi kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mara, alikuwa anatwa Magesa Mulongo. Yule jamaa alikuwa na sifa za kishamba ile mbaya. Si unajua tena masikini akipta matako hulia mbwata. Sasa hivi hakuna hata anayejua yuko wapi. Nadhani hata nguo alizonunua enzi zake sasa hivi zimeanza kuchakaa na suruali akifunga mkanda inaweka celebration hata kama hakushona na celebration. Huyo sasa hivi ukikutana naye atakuwa anauza vitu vya ndani ili aendlee kujifanya yuko juu.
 
CHADEMA KATIKA HILI WALALAMIKE KWA TUME HARAKA SNA NAPIA IKIWEZEKANA WAENDE MAHAKAMANI HU NI UPUUZI AU WAMJIBU MAKONDA KWA PRESS CONF KWA UKALI
 
Hizo nyumba zinabomolewa na Tundu Lisu na wenzake kina Mbowe na Zitto bila shaka, ukisikia ugonjwa wa akili sio lazima uokote makopo basi huyu ni mgonjwa.
 
ground nzuri ya petition mahakamani. Intimidation to voters

6. Whether or not at Runazi, Nyarubungo, Biharamulo town and Rusahunga polling stations votes were intimidated, discouraged misled as well as scared
hence were so many spoilt votes and blank papers to the effect that the elections were not free and fair.
Baba yake aliwahi kufanya kituko kama hiki, kama sijakosea ni uchaguzi mdogo ulewa Peter Kafumu.
 
Ni dhahiri sasa ukiwa upinzani, utabomolewa nyumba, utapigwa/ kama si kuuliwa kwa risasi, utafuatwa kwa maswala ya kodi na kubambikiwa kesi zisizoisha polisi na mahakamani!
Kila awamu/majira na mambo yake na yote yanaliacha taifa na wananchi katika ujinga na umasikini, ambavyo ndio mtaji wa wanasiasa!
 
Ndo shida kama mtu huarnda shule. Unakua malaya wa siasa. Wewe ni mkuu wa mkoa. Hupaswi kuwa mbaguzi kiasi hicho. Hili ni wazi sana.
Ubaguzi ndio theme ya awamu hii! Uchama, Ukabila, udini na umwenzetu.
Kuna waliosema wakiombwa tenda na majina inabidi kuyabadili ili kutengeza uwezekano wa kupata tenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom