Makonda: Haki ya nani ningempata Naibu Waziri Viwanda ningempiga vibao. Akasirishwa na wafanyakazi kuzulumiwa haki yao kwa miaka 20

Huyu Jamaa ni pumbavu. Miaka 20 ilitokeaje wakati hapa katikati walisema alipatikanaga Rais wa wanyonge aliyemaliza matatizo ya wanyonge Tanzania?! Hata miaka 3 haijaisha baada ya kifo chake anatokea muhuni mwingine tena mwandani wa huyohuyo mtetezi wa wanyonge kwamba kuna watu wamedhulumiwa zaidi ya miaka 20?! Usanii sana.
Mfumo mbovu na uovu
 
Kwanini msafara wake unatumia 2 Lane kama msafara wa kiongozi wa juu wa kiserekali wakati yeye ni kiongozi ndani ya chama chake? Kwahiyo shughuli zetu za kiuchumi inabidi zisimame tupaki magari pembeni hadi yeye apite? Inashindikana nini kutumia Lane 1?
Mnataka mumtikile au mumkolimbe kama filikunjombeee
 
Makonda anapiga porojo na kupoteza pesa za walipa kodi....hakuna la maana analofanya.....mgogoro miaka 20 analeta porojo....khaaa....watanzania wajinga wengi elimu elimu elimu
 
Mwenezi Makonda ameonesha kukasirishwa sana na kitendo Cha waliokuwa Wafanyakazi wa kiwanda Cha SPM Mgololo Kuzulumiwa Haki zao kwa.miaka 20.

Kilichomkasirisha zaidi ni baada ya kubaini Naibu Waziri wa Viwanda ni Mbunge wa sehemu hiyo hiyo ambako Wafanyakazi wamedhukumiwa.

View: https://youtu.be/NcJgZTaMHcI?si=kgg3unAFmyFefOY1

My Take
Makonda angekuwa na executive power ,aisee Sokoine akasome 😁😁😁
View attachment 2898022View attachment 2898023

Pale CCM wanapopambana wenyewe kwa wenyewe.
 
Ugali maharage una ujinga mwingi sana tu.
Huyu jamaa nyie wenyewe raia mlikua mnamsagia kunguni.
Leo mko mbele kwenye misafara mmejaa.
Nyie mmelogwa na mwanga wenu kafa kitambo tu
 
Back
Top Bottom