pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,441
Keshampiga makofi rais mstaafu sembuse waziriHawajiteuwi, huwezi kupiga kibao mwakilishi wa rais.
Keshampiga makofi rais mstaafu sembuse waziriHawajiteuwi, huwezi kupiga kibao mwakilishi wa rais.
Ni Waziri Mkuu MstaafuKeshampiga makofi rais mstaafu sembuse waziri
Mfumo mbovu na uovuHuyu Jamaa ni pumbavu. Miaka 20 ilitokeaje wakati hapa katikati walisema alipatikanaga Rais wa wanyonge aliyemaliza matatizo ya wanyonge Tanzania?! Hata miaka 3 haijaisha baada ya kifo chake anatokea muhuni mwingine tena mwandani wa huyohuyo mtetezi wa wanyonge kwamba kuna watu wamedhulumiwa zaidi ya miaka 20?! Usanii sana.
Nilimaamaniisha keshappigwa kofi rais mstaafu kwenye mkutano wa waislamu, sio ya kibao cha UDSMNi Waziri Mkuu Mstaafu
Mnataka mumtikile au mumkolimbe kama filikunjombeeeKwanini msafara wake unatumia 2 Lane kama msafara wa kiongozi wa juu wa kiserekali wakati yeye ni kiongozi ndani ya chama chake? Kwahiyo shughuli zetu za kiuchumi inabidi zisimame tupaki magari pembeni hadi yeye apite? Inashindikana nini kutumia Lane 1?
Kwa kuwanyoosha wazembe na mafisadi, Acha avuke mipaka. Wananchi wamemkubali. 😆Anavuka mipaka udhalilishaji
Hakuna wa kumuua huyo mjinga. Mbona alipokuwa kijiweni watu walimuacha?. Ndio Leo amekuwa public figure wamuue?. Tuache unafikiMnataka mumtikile au mumkolimbe kama filikunjombeee
Naye wakimvukia mipaka asilalamike.Kwa kuwanyoosha wazembe na mafisadi, Acha avuke mipaka. Wananchi wamemkubali. 😆
Aliyemzaba Mwinyi sio MakondaNilimaamaniisha keshappigwa kofi rais mstaafu kwenye mkutano wa waislamu, sio ya kibao cha UDSM
Kumbe CCM huhitaji pia kura halali za Wananchi mbali na zile za wizi!!CCM tujipongeze kwa kujua kupiga drama....
Kura zinasakwa
Mwenezi Makonda ameonesha kukasirishwa sana na kitendo Cha waliokuwa Wafanyakazi wa kiwanda Cha SPM Mgololo Kuzulumiwa Haki zao kwa.miaka 20.
Kilichomkasirisha zaidi ni baada ya kubaini Naibu Waziri wa Viwanda ni Mbunge wa sehemu hiyo hiyo ambako Wafanyakazi wamedhukumiwa.
View: https://youtu.be/NcJgZTaMHcI?si=kgg3unAFmyFefOY1
My Take
Makonda angekuwa na executive power ,aisee Sokoine akasome 😁😁😁
View attachment 2898022View attachment 2898023
Sisi mabingwa wa kuzuga.Kumbe CCM huhitaji pia kura halali za Wananchi mbali na zile za wizi!!
SuperKigoma hiyo