G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,582
- 8,465
Unajibu tu kwa pupa kama limwehu fulani hivi..sijui kama umetumia akili kujua jibu langu na comment niliyojibu.sasa ukijua kama mimi mwenyewe ni mwana chadema au hata sina chama chochote sijui utasemaje.Duuu hiv suala kama ili mnaketa ujinga wenu kwel wa kisiasa? Hao chadema au usisimu sa hiv unawasaidia nn walio poteza ndugu zao na wapo na klio? Nyie kla SKU mna amka na chadema tuu? Hat ka ndo mnaingza SKU kwa kuisema ila wakat mwingne hasa seriously tuache ujinga kabsa