Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

Angalau leo kaongea akiwa na akili kidogo. Kauweka unafiki pembeni tofauti na wenzake wanaomsifia Samia kila siku kinafiki kwamba anaupiga mwingi na kwamba tanzania haijawahi kuwa na Rais mcpakazi kama Samia. Ukweli ni kwamba CCM ni ile ile na imechakaa.
 
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.

MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI

Mh Magufuli zama zake zishapita na hazirudi tena. Hivi zamu ya mama Samia
 
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.

MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI

Makonda vs January Makamba.
Ndugu wakigombana, chukua Jembe ukalime
 
Ninaipongeza Air Tanzania kupokea ndege mpya. Hongereni sana. Napenda kuuliza tu hapo awali walisema kuwa ndege aina za MAX zilikuwa na matatizo katika uundwaji huko kiwandani. Je haya matatizo yamerekebishwa. Tukumbuke ile ya Ethiopia iliyopata ajali ilikuwa MAX 8. Kama haya matatizo yamerekebishwa ni jambo zuri sana.
 
Hatuoni ufanisi wa haya mashirika ni wizi tupu
 
Hizo ndege , hadi watu wake wa jikoni wanazikimbia, na ndo sababu ya yule jamaa wa boeing kuuliwa

Ninaipongeza Air Tanzania kupokea ndege mpya. Hongereni sana. Napenda kuuliza tu hapo awali walisema kuwa ndege aina za MAX zilikuwa na matatizo katika uundwaji huko kiwandani. Je haya matatizo yamerekebishwa. Tukumbuke ile ya Ethiopia iliyopata ajali ilikuwa MAX 8. Kama haya matatizo yamerekebishwa ni jambo zuri sana.
Biashara kichaaa Duaniani zi azo kwepwa na Matajiri wengi
 
Lisu atajinyonga kwa wivu akiona legacy inaendelea
Nchi nyingi huwa zinafikia uamuzi wa kuuza Mashirika yao ya ndege, hii ni biashara yenye hasara ni kugusa tu, Hio Air Tanzamia ni hasara kila CAG akikagua, pesa ambazo zingeenda kuwasaidia huduma kule kijijini kwa wazazi wako ndio zinaenda kulipa Mishahara pale Air Tanzania. sasa endelea kushangilia mjinga
 
Biashara ya ndege ni kucheza na nauli ili ndege ijae.....
Ni mwiko ndege kukaa chini....ndege imeundwa kukaa angani...ndipo kwenye faida....inapotua chini ni hasara....
 
Ukiona mafanikio katika kuwaletea Maendeleo Watanzania, basi yameletwa na Serikali ya CCM iliyounda Serikali. Siyo Samia. Ni Mafanikio ya Serikali chini ya CCM. Kuendekeza tabia ya kinafiki ya kumsifia mtu mmoja eti SAMIA anaupiga mwingi si sahihi.

Ipo siku na CHADEMA wakishika hatamu mtaanza kumsifia Mbowe kwa kil akitu kwamba anaupiga mwingi wakati kuleta maendeleo ni collective action
 
Back
Top Bottom