Ernesto Sheka
Senior Member
- Oct 24, 2010
- 102
- 0
Nilikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria onyesho la Joseph Mbilinyi (MB) pale Club Bilicanas baada ya Bunge la Februari. Kwa wale mliokuwepo nadhani mnakumbuka matusi aliyokuwa anayatoa Joseph waziwazi huku akipigiwa makofi na Freeman Mbowe, usiku ule mbele ya Wananchi. Mbunge anavitukana vyombo vya habari na viongozi huku akipigiwa makofi na mbunge na pia mwenyekiti wa chama.
Hivi tuna wanasiasa au wanasiasa? Trust me, descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii. And when they clean up, it's a new move, new politics. Upinzani si kubisha tu na kuwa na mishipa migumu ya shingo.
STOP MAKING TANZANIA OPPOSITION POLITICS LOOK LIKE A CRAP! Jifunzeni kwa nini nchi nyingine za EA ikitokea a slight unrest inapewa air time katika vyombo vya kimataifa but not kwetu!