Baaada ya raisi wetu kushidwa kazi kwenye kila kitu sasa Watanzania wanamtemea Spika Makina kufanya maamuzi magumu nchi na kuokoa nchi tu kwenye janga la umasikini. Kwenye maswala a umeme imeonekana kabisa.
Spika na bunge ndilo lenye power pale walipokataa plan ya wizara na kumfanya waziri arudi na plan ya uhakika ambayo amesaidiwa na wabunge wa kamati kuifanya. Kwenye swala la Jairo spika na wabunge ndiyo wanafanya uchunguzi wakati serikali ikitoa macho na kutokujua cha kufanya ni nini.
Swal la mafuta ni bunge na spika ndiyo wanatoa maamuzi ya kampuni kuchunguzwa. Bunge la Tanzania la sasa ndilo lenye nguvu kuliko chombo chochote Tanzania. Hii inatokana na uongozi wa ikulu yetu kulegalega na kutokuwa na mwelekeo wala plan ya kueleweka.
Uongozi wa Kikwete ni cosmetic tu kwa sasa lakini hakuna sere wala agenda za kuisaidia nchi yetu. Spika na bunge hasa wapinzani wanaendesha nchi bila hata Watanzania kujua kwani wenyewe ndiyo wenye plan. Heshima ya JK imeshuka na ya waziri mkuu vilevile wakati wabunge wameongeza heshima kwa spika hata wapinzani.
Spika wetu hata kama si mtu wa ushabiki amafanya bunge kuwa na nguvu kuliko watanzania wengi wanavyojua na pongezi ni kwa spika, wabunge wa CCM wenye mwamko na wapinzania.
Hata balozi zinaanza kuangalia bunge kuliko raisi kwasasa