Makinda kafanya kazi kubwa zaidi ya JK

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,550
8,642
Baaada ya raisi wetu kushidwa kazi kwenye kila kitu sasa Watanzania wanamtemea Spika Makina kufanya maamuzi magumu nchi na kuokoa nchi tu kwenye janga la umasikini. Kwenye maswala a umeme imeonekana kabisa.

Spika na bunge ndilo lenye power pale walipokataa plan ya wizara na kumfanya waziri arudi na plan ya uhakika ambayo amesaidiwa na wabunge wa kamati kuifanya. Kwenye swala la Jairo spika na wabunge ndiyo wanafanya uchunguzi wakati serikali ikitoa macho na kutokujua cha kufanya ni nini.

Swal la mafuta ni bunge na spika ndiyo wanatoa maamuzi ya kampuni kuchunguzwa. Bunge la Tanzania la sasa ndilo lenye nguvu kuliko chombo chochote Tanzania. Hii inatokana na uongozi wa ikulu yetu kulegalega na kutokuwa na mwelekeo wala plan ya kueleweka.

Uongozi wa Kikwete ni cosmetic tu kwa sasa lakini hakuna sere wala agenda za kuisaidia nchi yetu. Spika na bunge hasa wapinzani wanaendesha nchi bila hata Watanzania kujua kwani wenyewe ndiyo wenye plan. Heshima ya JK imeshuka na ya waziri mkuu vilevile wakati wabunge wameongeza heshima kwa spika hata wapinzani.

Spika wetu hata kama si mtu wa ushabiki amafanya bunge kuwa na nguvu kuliko watanzania wengi wanavyojua na pongezi ni kwa spika, wabunge wa CCM wenye mwamko na wapinzania.

Hata balozi zinaanza kuangalia bunge kuliko raisi kwasasa
 
Mimi navyojua spika ni wabunge wanaogombea na Makinda ndiyo kachaguliwa. Hata kama kwa ushabiki tukisema ndiyo chaguo la ikulu haibadilishi hoja yoyote y serikali ya JK kushidwa kazi
 
Mwanzoni wakati Bunge linaanza, Spika alipwaya sana. Somehow mwishoni amejitahidi kidogo. amejua kuawa pale hafanyi kazi ya Chama.
Pongezi kwa wabunge wa upinzani kwa kuiendesha nchi.
Pinda kuwa makini na maamuzi yako, watanzania siku hizi wanafikiria si kama zamani
 
Lissu kasaidia sana kum-shape baada ya kumpeleka kwenye kamati ya maadili.
 
Mimi navyojua spika ni wabunge wanaogombea na Makinda ndiyo kachaguliwa. Hata kama kwa ushabiki tukisema ndiyo chaguo la ikulu haibadilishi hoja yoyote y serikali ya JK kushidwa kazi

What is funnier is, unawezaji kuwalinganisha JK na Kikwete wakati majukumu yao ni tofauti? Again ni kazi gani aliyoifanya JK hadi kufikia hatua ya kusema Makinda amemshinda JK?
 
Kwa mujibu wa sheria ya kinga ya Bunge, yaani namba 3, ya mwaka 1988, ibara ya 2 inasema hivi:
{the Speaker is not a member of the National Assembly}. Hebu tafsiri kiingereza hiki wewe mwenyewe utueleze ni nini maana yake ndipo ujue uspika uko sehemu gani.

Hivyo kama ungeilewa hiyo usingeweza kumsifia spika kwa sababu hana uwezo wa kuzuia hoja ya wabunge walioileta na kuipitisha kwa mujibu wa kanuni za bunge.

U-boss wa spika ni pale tu inapoonekana kwamba kanuni za mle mjengoni zimekiukwa na yeye ndiye mtu wa mwisho kuhakikisha zinafuatwa na si kwa anavyopenda yeye.

Hivyo msifie aliyeijenga na kuileta hoja ambaye ni Zitto Kabwe ambaye hoja yake ilikwepa kipingamizi cha Lukuvi aliyeingia mkenge kwa kudhani Zitto hakukamilisha kanuni.
 
Safi. Unayo CV ya Lukuvi? Kihiyo
 
Mwanzoni wakati Bunge linaanza, Spika alipwaya sana. Somehow mwishoni amejitahidi kidogo. amejua kuawa pale hafanyi kazi ya Chama.
Pongezi kwa wabunge wa upinzani kwa kuiendesha nchi.
Pinda kuwa makini na maamuzi yako, watanzania siku hizi wanafikiria si kama zamani
si kwamba spika amebadilika ila hivi vitoto vya chadema vimeanza kuelewa kanuni za bunge. akina zitto, slaa, mnyaa na wengineo wapo muda mrefu mbona mambo yalikuwa shwari. simply was utoto na ugeni uliokuwa ukiwasumbua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom