Makinda amepewa escot ya polisi?

Hilo napiga kwa nguvu zote CAG hana escort hata siku moja. But anyway nilishaona kwa macho yangu jaji mkuu,mkuu wa majeshi,mkuu wa polisi wakiwa na escort na mama salma pia nlishakutana akiwa na escort pia

Sasa Madcheda unapinga kwamba CAG hana Escort au Mutungusha hakumuona na Escort last week? Kwani Ulishinda Ali Hassan Mwinyi week yote nzima ukiangalia magari yanayopita na hukumuona CAG akipita? Hebu niweke sawa kidogo kamanda.
 
mkuu wa majesh ni sawa kabisa kuwa na msafara. nilshakitana na msafara wake wa ajabu sana. gari lililokuwa na namba yake hakuwemo ilikuwa na maasakari tu yeye alikuwa kwenye gari ya mwisho tena one ten nyeupe ya zamani kidogo sikupoatapicha kabsa
 
Ni kawaida hata wakati wa mzee Sitta,tena yeye aliwahi kuomba waziri mkuu amuongezee ulinzi mbele ya bunge.Ule ni mhimili kama serikali na mahakama ana haki na wajibu wa kulindwa,jaji mkuu,rais wanalindwa ni utaratibu amboa upo sio mgeni.
 
Ivi Lowasa nayeye analindwa? Ana msafara?

Naskia juzi walimpa saluti alivyoenda kutembelea wahanga wa GLM.
 
:rain:Escort inategemea na mazingira. Kuna wakati Spika lazima apatiwe escort ili kuendana na muda kukwepa foleni zetu za Dar. Kumbukeni kuwa yeye ni kiongozi wa mhimili wa Dola. Sasa mnataka achelewe barabarani kwenye foleni halafu mseme vyombo vya usalama barabarani haviko makini katika kusaidia viongozi? Kwa taarifa yenu hata waziri kama kuna dharura atapewa escort na atapishwa. It all depends na umuhimu wa mtu na jambo lenyewe analoshughulikia. Wewe na mimi pia katika umuhimu wetu ndani ya jamii tunaweza kupewa ambulance ambayo huwa inatoa mlio maalum unaokubalika kuwa ni dharura na huheshimiwa na kupewa njia ya kupita popote pale kwa wakati huo kumuwaisha mtu hospitali. Ni kitu kile kile kutegemea na nafasi ya mtu ndani ya jamii na jambo analolishighulikia kwa wakati fulani. Ingawa hoja ni escort lakini cha umuhimu humu ni kupishwa barabarani. Mabalozi wa nchi za nje hapa nchini pia huwa kwa kawaida hawana escort ila kuna wakati hupatiwa escort kama kuna shughuli muhimu inawakabili, mfano akiwa na appointment na Mh Rais lazima atapewa escort kuendana na muda na pia kwa kuwa yeye ni mwakilishi wa Rais wake, anapewa heshima na hadhi kama mkuu ili kufanya mazungumzo yao ni kwa niaba ya nchi na zao. Labda tu tuwe na tatizo la kutafsiri maana ya escort. Nawakilisha
 
Naskia juzi walimpa saluti alivyoenda kutembelea wahanga wa GLM.

Hata Godbless Lema anastahili kupigiwa saluti kwa kuwa ni kiongozi, navyojua mimi wabunge wanapigiwa saluti...ila sasa ukiwa mbunge unachezea virungu kila siku ndio kazi
 
Mh. Sita alipoomba ulinzi walimkebehi kwa vile Rostam hakuridhia, sasa Makinda mtu wao ameboronga wanahangaika kumlinda, kama hizi taarifa ni za kweli inasikitisha.

Maspika wote waliotangulia sijawahi ona wakiwa na ulinzi/msafara, Mh. Sita tunasali nae KKKT Kinondoni alikuwa anakuja bila escot, hata Msekwa sikuwahi ona akipewa escort (isipokuwa kuna siku alikaimu urais kwa mujibu wa katiba, labda kama nae kakaimu)

Na bado mchecheto utazidi si amekubali kutumika na wenye dhambi, hakuna baraka hapo ni hofu tu kwa kwenda mbele.


Acha kuongea upupu... Spika wa Kwanza kupewa ulinzi alikuwa Samuel Sitta wakati ule alipomuomba waziri mkuu aimarishiwe ulinzi.
 
nahisi atakuwa anamkaimu rais kwa mujibu wa katiba coz jamaa hayupo na makam wake sina uhakika yuko pande zip maana hasikiki.

Speaker hawezi ku-kaimu U-RAIS anymore - Hiyo ilikwisha badilishwa loooong tyme!
 
wewe upo? Mbona umeadimika? Au mapokezi ya al adawi?

Mawazo yako kuhusu wabunge na madiwani wa viti maalumu ni muhimu sana! hata huyu speaker si viti maalumu? Au?

hajawahi kuwa wa viti maalumu tangu amezaliwa lakini alikoanzia siasa kuna uvumi kwamba alikuwa wa vitu maalumu kwa muda mrefe
 
It is only Tanzania wanamuomba Spika ni mtu mdogo... in reality... reporting structure ya Spika, Rais na Jaji mkuu wote wana-report kwa jamhuri... no wengine wote wanaripoti kwa mtu kiongozi mmoja... so Spika anastahili ulinzi sana tu.
 
Hilo napiga kwa nguvu zote CAG hana escort hata siku moja. But anyway nilishaona kwa macho yangu jaji mkuu,mkuu wa majeshi,mkuu wa polisi wakiwa na escort na mama salma pia nlishakutana akiwa na escort pia

Mama salma tushazoe kumwona sana labda hao wanaoongezeka
 
Unajua gharama yake, huo ndo ufujaji wa mali za watz


Hizo mali za wa tz sasa zitatumika kwa lipi sasa? kama vipi tuishi kama somalia bila uongozi maana hiyo itakuwa ni nafuu sana hakutakuwa na gharama za kuwatunza viongozi.
 
It is only Tanzania wanamuomba Spika ni mtu mdogo... in reality... reporting structure ya Spika, Rais na Jaji mkuu wote wana-report kwa jamhuri... no wengine wote wanaripoti kwa mtu kiongozi mmoja... so Spika anastahili ulinzi sana tu.

Sio hivyo tu. Vyeo vyote vinavyotajwa kwenye Ibara za KATIBA ya JMT vinastahili ulinzi, saluti na sasa hivi pension ya nguvu kabisa.
 
wakuu, kila siku huwa napishana na makinda asubuhi akienda ofisini dar. Huwa anakuwa kwenye benz au sahangingi bila msafara wa polisi.

Leo jioni nimepishana na msafara wa pikipiki ya polisi na shangingi mbili nyeusi. Shangingi moja plate number yake ilikuwa imeangikwa s.

Sikuweza kuona nani walikuwa ndani kwenye kila gari. Dereva wangu aliniambia alimuona makinda kwenye ile gari yenye plate numba ya s. Sina hakika kama ni kweli.

Kwa mwenye taarifa za uhakika, je ni kweli makinda amepewa ulinzi na msafara wa polisi?

usiogope kijana
akiondoka rais haya ndio maradhi yake ..unahisi tufanyaje akiondoka anakuwa rais sitta alicheza sana na vingora mpaka akaomba imetosha...anyway
kufa kufaana
 
huyo mama si wangemwamisha kwanza huko Kijitonyama maana kuishi mbali na town halafu na hiyo misafara kwa kweli inakera, Leo msafara wake ulikuwa unapita rightside ya barabara kwa jinsi foleni ilivyokuwa imefunga.
 
Mkuu,

Unaweza kuandika zaidi kuhusu hili? Naona mie sikulisikia. Walipiga Saba nini na kwa nani?

Watakoma maana kuna wahuni wamejipanga kuwafanyia vibaya, si uliona advertise zao kule kwenye msiba gongolamboto!!! walipiga 7 hewani na wakaondoka sasa watashindwa kumkamata Makinda???
 
Back
Top Bottom