DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Kama kuvaa vizuri ndo maendeleo,mbona jk izo suti zimeigharimu serengeti? Unasaliti nchi kwa suti ya dola 200
taarifa yako inajikoroga mkuu, mara kakubali na hoja itawasilishwa bungeni, ooho mara itajadiliwa kikao kijacho. tushike lipi Candic?
Nilichokiona na kukishudia jana jioni, ni makinda kukataa na kusema wazi hakubaliani na mchakato huo kwa kuwa haujakidhi baadhi ya kanuni, na kwamba inatakiwa iandikwe barua kwa spika si chini ya siku kumi na nne, ndo hoja itakubalika na kusomwa kwa mjadala.
hivyop aliwaambia wajiandae na kikao kijacho
Aisee Lissu amemwambia Spika eti it was immature kwa spika kuikataa hoja ambayo haijaletwa mezani rasmi. Huyu Kamanda anatoa maneno makali kweli nahisi yamefika mpaka Brazil ndo maana Balozi Sefue katumwa Dodoma fasta. Jana alisema eti serikali hii ni ya kidokozi.. Ngoja Nassari naye akomae kidogo nadhani bunge la bajeti tutamsikia anavyomkimbiza spika. My take: Kuongoza bunge nowadays ni kugumu kuliko kukaa magogoni na kuiongoza Tanzania
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.
Ukombozi Tanzania Admin
Huyu mama dawa yake upo jikoni inachemka
Samahani huwa nakukera sana kwa kukuita wewe ni kamanda Deo Filikunjombe; huwa naziamini sana taarifa zako. vipi kuhusu hili la kujihuzuru kwa mawaziriTunasubiri Jumatatu uwasilishwaji wa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri mkuu wetu Pinda Peter kayanza.