Makinda alegea kwa Lissu kuridhia hoja ya kutokuwa na Imani Waziri Mkuu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
tundu.jpg

Tundu Lisu ameomba mwongozo kwa Speaker Makinda juu ya kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na hoja hiyo imekubalika kuwasilishwa Jumatatu siku ya kikao cha mwisho bungeni. Speaker amesema hakupinga uwasiliswaji wa hoja hiyo isipokuwa kadiri ya muda, kanuni na ratiba haiwezi kujadiliwa katika kikao hiki ila kikao kijacho.
 
Amekubali akiwa nje ya mjengo ama?

Tundu Lisu aliomba mwongozo huo kabla ya kuahirishwa bunge siku ya leo, na Makinda ndio akatoa utetezi wa kwamba hakukataa hoja hiyo, ila alidai kadiri ya ratiba ya bunge haiwezekani kujadiliwa Jumatatu ila katika kikao kijacho. Kwa hiyo ameridhia hoja iletwe Jumatatu.
 
Hii ilikuwa saa ngapi? Hata ivo kiroboto lazima amgwaye tundu huyu bwana hatari ati

Msibishe vandugu zangu, hata hapo awali nilipoleta mada ya Katibu Mkuu Kiongozi kukutana na Makinda kufanya mikakati ya kuinusuru serikali wengine walipinga na sasa mmeona kinachoendelea Bungeni kama ifuatavyo Katibu Mkuu Kiongozi kuonana na viongozi wa kamati za fedha.

6+(3).JPG

2+(5).JPG

10.JPG

5+(2).JPG

4+(2).JPG
 
Mpaka sasa kuna taarifa ambazo siyo rasmi kwamba mawaziri wako kwenye press conference ya kujiuzulu now for more visit zitokabwe on twiter
 
Mbinu ya magamba_usanii! ni kumwongezea lema na slaa mafuta ktk chopa ndo dawa yao..mimi mtaa wangu hakuna ccm wala balozi wao,nimesafisha yote,huwa naisikia ccm via Tbc tu,cjui ipo tena..
 
Hii mibunge hata kuvaa haijui? shati na tai za disco. Suti ya kuchezea lawn bowling ndio anatinga navyo bungeni? Poleni sana. Halafu anajiona wa maana!
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin
 
Tunasubiri Jumatatu uwasilishwaji wa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri mkuu wetu Pinda Peter kayanza.
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin
 
We ndo unajua kuvaa eeeeh! Bas v.i.p unajiona mjaaanja **** we
Hii mibunge hata kuvaa haijui? shati na tai za disco. Suti ya kuchezea lawn bowling ndio anatinga navyo bungeni? Poleni sana. Halafu anajiona wa maana!
 
kwani mtu kuwa na mayai au kutokuwa nayo ni personal attack?

Kwani hujui MD25?

Kama huji kaa kimya kaka usilazimike kuchangia hakuana amri ya polisi eti ni lazima kuchangia usipochangia utakamatwa au kushitakiwa siyo hivyo kabisa, tunatakiwa kuwapinga watu bila kuingilia utawala na mambo yao binafsi.

Kama mjinga mmoja alisema eti Mbunge fulani asichaguliwe kwa sababu hana mke SWALI: Mke wa mbunge au mume anakusaidia nini wewe mwananchi? Mayai ya huyo mtu yana faida gani kwako wewe na watanzania kwa ujumla? Elewa kuwa hakuna chuo wala shule ya ustaraarabu jiheshim tu kaka na usitumie lugha kali ambayo hata mama yako akisoma kwa hakika atasikitika japokuwa unatumia pen name, hatuendi hivyo JF inasomwa na watu wa rika zote kutumia lugha kama hizo wote tunaoingia humu tunaonekana wahuni.

Hata hivyo mada yenyewe ilihusu maslahi ya umma wewe ukaingiza masuala bianafsi sijui ulielewa mada au ulikuwa una maana gani!!!!!??????
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin

Ningeiheshimu hiyo group kama ingekuwa hapa jf, huko fb sijui tweeter naona kama uarabuni bin zanzibar vile!!!! huko jiungeni wenyewe, MIMI NAKOMAA HAPAHAPA JF.
 
Back
Top Bottom